Search results

  1. S

    Bima bima bima.......pata bima ya gari zako

    habarin za kazi watanzania wenzangu mim ni mtanzania mwenzenu ninae tafuta maendeleo nina shughulika na shughuli za bima kwa lugha nyingine ni insuarence agent bima zitolewazo no .bima za magari .bima za moto .bima za maduka na nyumba .bima za mizigo na kadhalika watanzania tuungane...
  2. S

    natafuta mashine ya pop corn

    jaman mshine ya pop con nitapata wapi na bei gan
  3. S

    Tanroads lindi

    mkuu umeitwa lini na umepigiwa simu au kuna sehemu wameandika majina mana na mimi nilituma maombi:bowl:
  4. S

    Walio itwa na maxcom

    maxcom ni wakala wanao uza mashine zinazo uza umemem vocha za mitandao yote ,malipo ya television mpesa na huduma nyinginezo
  5. S

    Toyota colola sedan E-AE114

    oi mie nina mia tano natafuta boda boda
Back
Top Bottom