Search results

  1. PastorPetro

    Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    Nadhani huyo ali Rest in peace. Umaskini kitu kibaya sana. Na bila shaka huyo aliyochomoa wways za betri, na huyo mvuta sigara alikufa pia!
  2. PastorPetro

    Rais Joseph Kabila, amfukuza kazi Naibu Waziri Enock Ruberangabo kwa kosa la kupiga punyeto ofisini

    Kwa kweli ni aibu, lakini tushukuru hakumbaka mtu. Ninashauri yeye na mke wake waende Retreat ili mapenzi yao ikolee tena, asiwe na haja ya kufanya vitendo vya kitoto kama hivyo ofisini.
  3. PastorPetro

    Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Tumwombee Rais John Pombe Magufuli maana ana maadui! Alindwe kwa damu ya Yesu Kristo. Amen.
  4. PastorPetro

    Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Mkuu wa Shirika ni lazima alipwe mshahara mkubwa na marupurupu. Hakuna ubaya hapo. Ila hizo sitting allowances naona inaweza kuwa issue.
  5. PastorPetro

    MJADALA: Je, kuna madhara yoyote ya kufanya mapenzi wakati wa hedhi?

    Wapendwa, tafahadalini waache akina mama wakiwa na hedhi. Uke unajisafisha Pia mtachafua mashuka.
  6. PastorPetro

    Magufuli kuita CV za ma RC na DC nchi utaiendesha

    Fagio la Chuma litapita!
  7. PastorPetro

    Mashirika ya ndege kuathirika na katazo la kutosafiri nje ya nchi

    Mbaya zaidi ilikuwa wanaokwenda kwenye hizo semina na mikutano nje hawakuwa na sifa za kwenda. Wengi ni marafiki na ndugu wa vigogo. Huko kwenye semina na mikutano kazi yao kupasha moto viti na kutoroka kwenda shopping. Kuchanga pointi za maana wanashindwa na ripoti wanshindwa kuandika. Bora...
  8. PastorPetro

    Mbunge Elibariki Kingu awasilisha barua kwa Katibu wa Bunge kuhusu posho "Sitting Allowance"

    Wengine wanahitaji hizo posho kwa ajili ya kulipa school fees na mambo mengine. Tutaona kama wengine watamwiga.
  9. PastorPetro

    Filikunjombe VS Mtikila - mtendaji VS mwenye blabla

    Na wote marehemu sasa. Mwenyezi mungu alaze roho zo mahala pema mbinguni. Amen.
  10. PastorPetro

    Rest in Peace Mchungaji Christopher Mtikila

    Nimepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Comrade Mchungaji Christopher Mtikila. Nimeona picha za ajali na mwili wa marehemu. Ninaamini kuwa ni ajali na hakuuwawa kwa vile dereva alikuwa anaendesha kwa mwendo kasi na Comrade hakufunga seatbelt. Naona alitupwa nje ya gari...
  11. PastorPetro

    Mahakama ya Kisutu yawahukumu Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona kwenda jela miaka 3

    Shillingi Bilioni 11 ya mwaka 2003 siyo shillingi bilioni ya leo 2015! Adhabu ndogo mno. :sleepy:
  12. PastorPetro

    Buriani Mhe. Komba wa 'Joka la kufugwa'

    Rest in eternal peace Captain John Komba. Alipata B.A. kutoka Washington University kimombo haikuwa taabu kwake. :baby:
  13. PastorPetro

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Rest in peace Captain Komba.
  14. PastorPetro

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Ninamheshimu Askofu Kakobe. Kama ana ujumbe kutika kwa Mungu ni bora usikilizwe!
  15. PastorPetro

    Watoto wa marehemu Godfrey Rupia wamtetea Mama Yao

    Nimesikitishwa na jinsi watanzania walivyo na majungu. Godfrey Rupia alivyofariki Tanzania kuna watu waliochafua sana Bupe Rupia ambaye alikuwa ni mke wake wa kwanza na mama wa watoto wake wawili. Watoto wa marehemu sasa wametoa maoni yao. Ukisoma utaona uchungu walionayo dhidi ya manjungu ya...
  16. PastorPetro

    Serikali Imelifungia Shindano la Miss Tanzania kwa Miaka Miwili

    Tumrudie mungu. Acheni mambo ya uzinzi!
  17. PastorPetro

    Tufanye Check-Up Mara kwa Mara

    Wanaume wote Tanzania wenye zaidi ya miaka 50 wanatakiwa wafanye check-up! Mgundue ugonjwa mapema mpate matitbabu. :photo:
Back
Top Bottom