Search results

  1. Lusajo

    Natafuta Bodi ya Starlet Remix/Reflect

    Natafuta body ya gari aina ya Starlet Remix au Reflect. Anayejua wapi naweza kupata naomba ni inbox tafadhali
  2. Lusajo

    Mr II- SUGU aanzisha Blog

    Katika pitapita yangu mtandaoni nimekutana na Blog ya Mr II sugu ambayo ni suguformbeya.blogspot.com
  3. Lusajo

    Usia kwa viongozi

    Nimeiwaza hii kitu baada ya kukumbuka maneno ya Mheshimiwa, Mtukufu wetu wa zamani, aliyekuwa Raisi bwana B.W Mkapa ya kwamba Watanzania ni wajinga. Yaani nikawaza mimi, baba na mama, babu na bibi na watoto wangu ni wajinga! Kweli!? Lakini kwa upande mwingine nikawaza kwamba ilimchukua Mandela...
  4. Lusajo

    Msaada kuhusu computer

    Naomba kama kuna mwana jamii atanisaidia. Nina Computer HP M9150F for some reason haijionyeshi kwenye monitor, Computer ina miezi 5 na ilikuwa inafanya kazi ila aubuhi moja naiwasha inawaka lakini hai-display kitu chochote kwenye monitor na ninayo nyingine ya zamani lakini ina display kwenye the...
  5. Lusajo

    Ni Nini Chanzo Cha U-Terrorist?

    Naomba kuuliza hili swali? Ni nini chanzo cha U-Terrorist? Kwa nini mambo hayo yanatokea? Kwa nini watu wa West na wanaosapoti mambo ya West ndio Target? Kwa nini inahusishwa na Uislam na wakati waislam wengi tunaishi nao kwa Amani? Kwa nini Mandela alikuwa kwenye Terror watch List...
  6. Lusajo

    Thailand wamechagua Waziri Mkuu Mpya

    Ni Abhisit Vejjajiva Ni wa upinzani Ana miaka 44 Ni baada ya wananchi kuiondoa serikali kwa migomo, ikiwa ni pamoja na kugoma kwenye Airport yao.
  7. Lusajo

    Mafisadi Waachiwe!

    -------------------------------------------------------------------------------- (Mod's naomba muiache/muipe muda kabla ya kuichanganya na nyingine) Nimeona niandike hii hapa inaweza kuwa njia ambayo itakuwa ni win win situation kati ya mafisadi (Wahujumu uchumi) na wananchi wa nchi...
  8. Lusajo

    Terrorist attack in India

    nimeona CNN sasa hivi kwamba kuna multiple attacks ya ma-terrorist india na wana target Americans Gunmen strike at series of targets popular with tourists and business people Seventy-eight reported killed, almost 200 injured Ongoing gunbattles reported at two hotels CNN-IBN reports...
  9. Lusajo

    Obama win sparks push to end racism in France

    PARIS (AP) -- Inspired by Barack Obama, the French first lady and other leading figures say it's high time for France to stamp out racism and shake up a white political and social elite that smacks of colonial times. A manifesto published Sunday - subtitled "Oui, nous pouvons!", the French...
  10. Lusajo

    Sarah Palin 'did not know Africa was a continent

    Sarah Palin spent "tens of thousands" more than the quoted $150,000 on clothes for the Republican campaign, met McCain aides in her hotel room dressed in nothing but a towel, and did not know Africa was a continent, according to new reports. Fox news has reported that Mrs Palin did not...
  11. Lusajo

    National holiday in Kenya on Obama victory

    Nairobi, Nov 5 (DPA) Kenyans took to the streets early Wednesday morning to celebrate Barack Obama’s election to the White House as the nation’s president declared a national holiday.In downtown Nairobi and in Kibera, one of Africa’s largest slums, people dressed in suits on their way to work...
  12. Lusajo

    Zanzibar kuna viongozi wangapi?

    Naomba kuuliza, hivi Zanzibar (Tanzania Visiwani) kuna viongozi wangapi? na ina watu wangapi jumla?. Kwa sababu nimeona watu wafananishe na Tanzania Bara (Tanganyika) na idadi ya watu, maana nilikuwa nataka kujua "ratio" ya watu na viongozi kati ya Tanzania Bara na visiwani? na Je ni wangapi...
  13. Lusajo

    Ushindi wa Obama (primaries) umekufundisha nini?

    Nimeangalia "Obama Revealed" tena kwenye CNN last weekend na kuona ni wapi Obama alikotoka na sasa hivi ndio hivyo anagombania Uraisi wa US kwa Ticket ya Democratic Party ambacho ni kitu cha kihistoria. Nilikuwa naomba maoni ya wana jamii yaani waangalie katika Positive side ya ushindi wake...
Back
Top Bottom