Search results

  1. J

    Hapa CHADEMA mmeingia kichwakichwa, hii inaitwa force king!

    binafs namwona 6 km mfa maj,mnafik na aliyechoka kifikra.nasema hv kwa sabab ya kaul zake nyng zinazomfanya aonekane hana msimamo.hana ubav wa kuikabil cdm kwa kaul zake kwan cdm tayar wanamfaham vzr.mwache aendelee kuipa umaaruf cdm!
  2. J

    Mbinu ya Chadema Kumjenga Lowassa na Kummaliza Sitta yabainika!

    magamba wote ni wachafu.lowasa anatafunwa na kashfa ya ufisad.naye 6 kaanzisha ugomvi wa mawe kumbe jumba lote la mabwepande ni la vioo.sasa ngoja dr slaa abomoe.inafahamika ccm ni mfumo wa watu weng wachaf na cdm inapinga the whole system not individuals wa ccm!
  3. J

    Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    hakika umekuwa critical thinker mzr.u deserve to be jf member and never stop revealing the truth.tz ya leo na kesho itajengwa na wenye moyo wa uzalendo.hata safar ya waisrael kwenda nchi ya kanan ilikuwa na vikwazo ambavyo ni sawa na magamba wa ccm.tusiwajal,tuwapuuze kwan wao wana interest ndan...
  4. J

    Sitta: Tuheshimu maamuzi ya Mahakama (Igunga)

    court ipewe mamlaka kikatiba kusajili vyama vya siasa kwan ofis ya msajil ni idara ya ofis ya wazir mkuu so pocbl kuna bias kwan wazir mkuu ni member wa one of the political parties,tendwa is not impartial.again namuunga mkono mtatiro kuwa katiba ijayo iondoe by election kuepusha unneccessary...
  5. J

    PM, Hon. Mizengo Kayanza Peter Pinda; Sorry, You are very wrong!

    umenena kaka.kwa mfumo tulio nao ktk ukusanyaj wa maon ya katba mpya iko wap legitimate expectation kwa watz kuwa katba itatokana na maon ya wananch?inawezekaje kwa mfumo huu chama kingine kuongoza dola?majb yatapatkana kwenye katba ijayo ambayo nayo wananch wamekosa iman na mchakato unaotumika...
  6. J

    M4C msisahau kupita kwa wafuatao...

    msisahau kwa maige,rage,lusinde,ngeleja,makinda(bi kirembwe) na lukuv maana utadhan ana hatmilik na bunge kwa kuomba miongozo ya kulinda serikal kwa maov yake.
  7. J

    Polisi waendeleza madudu muleba

    kwa kufanya hvo mhimil wa mahakama umedhalilishwa kwa ujnga wa polis wasiojua hata 'a' ya sheria.kuna procedures maalum za kufuata ili kumuwajbisha hakm au judge kwa misbehavior aliyo nayo kuliko kudhalilisha mhmil huu wa haki na sheria.polis wana kes ya kujb b4 the court of law.
  8. J

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    hakika umenena kaka!hz thread nyngne tuwe care nazo kwan znalenga kugawa chama.tuache porojo,tujenge chama.tambua kuwa jf inatumiwa na vibaraka wa ccm!
Back
Top Bottom