Search results

  1. M

    Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

    Wewe Nyani Ngabu inaelekea unachuki binafsi. Hizi kesi hakuna kitu kwa taarifa yako. Huyo Alpha aliingia choo cha kike baada ya kutaka kupambana na serikali mahakamani. Wengine wengi wamekuta deal zao ndiyo maana ni miezi tu kama kitwara hafungwi mtu miaka 30.Jiandae kisaikologia na punguza...
  2. M

    Kashfa ya Ufisadi Jumuiya ya Washington kuvuruga mkutano wa CCM DMV

    Kwa bahati mbaya sana hizi habari za jumuiya ni kweli
  3. M

    Ze Utamu blogger under arrest?

    Mimi huwa na pita pita humu kupata habari nyeti lakini si mchangia mada. Lakini sijapendezewa na huu mtindo wa kuto taja majina especially kwa watu kama Zeutamu walio umiza watu wengi kwa kutumia mtandao vibaya. SASA MIMI NINAWEKA JINA LAKE HAPA KUMALIZA MZIZI WA FITINA. JAMAA ALIYEKAMATWA NI...
  4. M

    Shepu ya epa

    iddi simba
  5. M

    Acknowlegment kutoka kwa waandaji wa old skool bash

    Poleni waandaaji..mimi kama mtu ambaye nimesha tayarisha vitu kama hivi naelewa jinsi gani mlivyo jisikia....lakini chukueni hii kitu kama mfano and take lesseons learned very seriously kwani Watanzania ni forgiving people.. I am sure mtabounce back stronger than ever. But all in all we had fun...
  6. M

    Columbus for the 4th of July - R U Coming?

    Duu...hii bash is what I have been waiting for.....yaani kwenye website kuna mawe sio mchezo..kama jamaa watafanya kweli this will truly be party of century! jamaa zangu kibao kutoka Europe wanatia timu....
Back
Top Bottom