Search results

  1. M

    Urgent for ladies only

    Awe na atleast digrii moja kwani tender yenyewe ni ya kimataifa
  2. M

    Urgent for ladies only

    kama wewe ni mwanadada unahitaji mume na una sifa zifuatazo nipm haraka iwezekanavyo -uwe na kazi -uwe mrefu kiasi -usiwe mbaya sana wala mzuri sana kisura -Usiwe mpare wala mhaya Mengine yote yanajadilika baada ya kuwaona wahitaji Wahi nafasi ni chache.
  3. M

    Nampenda lakini still anacheat na ex wake

    Ya kawaida sana mkuu kama ni test nitaipa C
  4. M

    Nampenda lakini still anacheat na ex wake

    Mwenzangu ana mke tayari
  5. M

    Nampenda lakini still anacheat na ex wake

    Wakuu nina mpenzi wangu nampenda sana lakini huwa ananicheat na kusex na ex wake ambae wanafanya nae kazi ofisi moja na kila nikimuuliza anakataa na kujifanya kununa hali inayosababisha kila wiki tugombane.Nimemvumilia vya kutosha nampenda sana ila nashindwa kuvumilia kumegewa na...
  6. M

    Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

    Mimi mbona nawatafuta sana,inbox me na wewe uwe mke kuanzia leo uachane na mambo ya vimada
  7. M

    Natafuta girlfrend

  8. M

    Nimechoka kuwa Single

    Mwanamaludi sihitaji picha mkuu,nahitaji mtu mkuu
  9. M

    Nimechoka kuwa Single

    Habari zenu akina dada,mimi ni kijana mzuri sana kitabia,ila hadi sasa hapa nilipo na miaka yangu 29 sina mwanamke ninaeweza kusema ni mpenzi wangu.Nimechoka na haya maisha jamani kila siku mawazo tu na upweke.Najua wengi mtatoa mamneno ya kejeli ila mimi niko seriouz natafuta girlfriend...
  10. M

    Anayehitaji mwenzi kutoka pande za majuu

    Mngejua huko makuu watu wanavyosota ata msingesema mnayosema little angle na mamndenyi.Kule hakufaii wewe,wale ni watumwa tu.
  11. M

    Akina dada soma hapa muhimu sana

    Jaman beb usiseme hivyo ni vibaya!!
  12. M

    Akina dada soma hapa muhimu sana

    wewe ni mdada mbona umesoma hii post wakati ni kwa akina dada tu
  13. M

    Akina dada soma hapa muhimu sana

    Wadau nimewahi kupost uzi wangu wa kutafuta mke hapa bila kuweka vigezo ila hadi sasa hakuna mafanikio yoyote.Sasa kwa mamlaka ya hisia zangu na moyo wangu naomba nirudie tena na nitangaze nia yangu kwa mara nyingine.Mimi umri wangu ni miaka 30 na ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo 1.Awe...
  14. M

    Chupi yako unaanika wapi.................?

    mimi sifuagi so sijwahi kuanika mahali popote
  15. M

    Re -advertised:natafuta mke sio demu!!

    Natafuta mke sio demu jamani,vigezo ujiridhishe mwenyewe na tabia,sura na umri wako.niinbox weka contact zote muhimu ikiwezekana hata wadhamini wawili na mawasiliano yao pia.
  16. M

    jamani ninatafuta mke sio demu

    I LOVE U umri ni namba tu jamani,karibu
  17. M

    jamani ninatafuta mke sio demu

    I LOVE U umri ni namaba tu jamani,karibu
  18. M

    jamani ninatafuta mke sio demu

    kwa alie tayari aniibox ASAP hakuna kigezo chochote zaidi ya wewe mwenyewe ulivyo.
  19. M

    Rafiki yangu na dada yangu wananichanganya.

    Jaman nina rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki kwa muda mrefu sasa ila namjua ni tapeli na malaya sana na ameoa wake zaidi ya wawili bila ndoa na kuachana nao sasa cha kusikitisha zaidi amemrubuni dada yangu na anataka kumwoa na tayari ameshampa ujauzito.Nimeshindwa nimsaidieje dada yangu...
Back
Top Bottom