Tatizo lipo kwa huyo kijana. Miaka 33 ni MTU mzima na anao uwezo wa kujisimamia. Anaonekana bado ni kijana kifikra na kimaamuzi ndio maana analia lia eti anaharibiwa.
Huyo mama anamuharibiaje kwa watu ambao hawaishi karibu wala kufanya kazi pamoja?
Mbona tunawaonea Viumbe hawa?
Hivi Zaidi ya umaarufu wana uwekezaji gani wa maana unaowapatia fedha? Jana tuliwananga kwa kula hela za misiba, Leo tunataka wachangie, watatoa wapi?
Kiukweli sio jambo jema kurukia dada wa rafiki yako. Kiuhalisia nyie ni ndugu na mnasaidiana kwa hali na mali. Bora huyo rafiki aseme amebadiri gia angani ameamua kumuoa dada hapo inaingia akilini.
Kama kaweza kwa sister akili ikimruka si ataenda kwa Bi Mkubwa. Mipaka ni muhimu.
Usimliaji wako unanikumbusha mbali sana, miaka ya 1970/80. Enzi hizo mastaa walikuwa wachache sana na MTU akiwa staa ni STAA wa ukweli.
Ukimuona MTU kama Michael Jackson anahojiwa kwenye media unaona kabisa anajibu kwa madaha na huku huku akinata. Inakuwa kana kwamba media na hadhira...
Wakati unafikiria nini cha kufanya Mkatie mwanao Bima ya Afya.
Pia anza kupima kina cha maji hapo nyumbani ili uone jinsi gani utamleta mwanao aje kukaa na wewe.
Binafsi naamini wajibu wa mzazi ni kupandikiza kile anachoamini kitamsaidie mwanae kupitia malezi
Duuhhh Kazi kweli kweli.
Binafsi nimebaini Sisi weusi (waafrika) hatutaweza kuendelea kwa haraka na kuufukuza umasikini. Kila anaepanga anasema alipanga ili ipate akili ya maisha. Haya mmepata akili ya maisha mbona umasikini ungali umetamalaki?
Zamani katika baadhi ya jamii (mfano wasukuma)...
KOSA HUWA HALIHALALISHI KOSA.
Kwa maana hiyo jamaa yupo sahihi. Alizaa nje sawa, na mtoto aliemzaa ni wake. Mwisho wa siku aliamua kuvuna alicho panda kwa kumleta mtoto wake kwake na si kwa mtu mwingine.
Wakati wote, muda wote tambua upo sokoni. Katika kutenda na kunena ni vyema kuwa makini. Ni kweli "Mavi ya kale hayanuki" lakini kwa ulimwengu wa sasa yaweza nuka.
Kuna dhana hutumika katika masuala ya fedha. Dhana hiyo hufahamika kama "Input output ratio".
Swali la kujiuliza je, nini manufaa ya kuja kwa meli hii kaw uchumi wetu na katika mnyororo wa thamani? Au ni mwendo wa vigeregere mithili ya juha kwa kila jambo linalofanyika katika awamu hii ya...
Hongera sana kaka, mfumo wa soko huria unalengo la kuchochea ushindani ili upatikane unafuu kwa wateja/walaji.
Kwa kiasi kikubwa huduma za benki zetu nyingi hasa zile ambazo tunazimiliki wenyewe(watz) na kwenye menejimenti tupo wenyewe zinakuwa na uendeshaji wenye kukwaza wateja.
Jambo la...
Naomba tukubaliane kutokukubaliana.
Kila mmoja huwa ana ndoto zake au kuna aina ya maisha ambayo hupanga kuyaishi. Kila uchwao ni mapambano ya kufikia ndoto/maono uliyojipangia.
Kuoa/kuolewa ni sawa na kuwekeza au kununua hisa kwenye soko la hisa. Kuna mengi ya kuyatafaki kabla ya kuchukua uamuzi.
Haya bhana, ujumbe umefika.
Na wale ndugu zetu wa ziwa magharibi ambao kwao dharau ni hulka yao utajuaje kama dharau ni ile ya asili au ndio kakugeuza kifokorokwinyo
U
Kuweni na UTII,si vyema kila siku kuja kulia mbele ya jukwaa hili,"Nilimpenda lakini hakuonyesha kuthamini upendo niliompa".
Kuweni watii watii mpaka mauti
Kwenye vitabu vya mapokeo kina mama wamepewa wajibu wao kama ilivyo kwa kina baba. "Enyi wake WATIINI waume zenu, enyi waume wapendeni wake zenu". Kina mama wengi walio kwenye mahusiano yenye migogoro hulalamika kuwa wenza wao hawawapendi. Kina baba wengi wenye mahusiano tia maji tia maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.