Search results

  1. A

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    MAPENZI!! Mahusiono yenu yana umri wa mwaka!! Hii ina maana kwamba binafsi ushaona anakufaa, au siyo dadangu!! Mimi najadili hili specifically kwako. Huyo baba of course ushampenda, anakumudu na unammudu, huna sababu ya kuhofu watu watasemaje, wee jali moyo wako je, jamaa anaukonga moyo wako...
  2. A

    Chupi

    mimi hata siijui hiyo chupi unayoizungumzia, kwani ni nini? mtoahoja nfafanulie plz, mweeeeee!!!!!!!!!
  3. A

    Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

    Wee mbiga mwigulu, wee wa namna gani? Wee hujifunzi uungwana kwa waungwana? Wee kila mtu anakupaka mbovu hujioni kuwa wewe ni kituko? Fahamu kuwa mkeo anapata shida kubwa kupitia hili, watoto pia wanapata taabu kwa hili! Na kisaikolojia wewe ni pure kichaa, kasoro tu hujaanza kuokota tu makopo...
  4. A

    'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    Aiseeeee, wee mdada una akili sana hata nashindwa kukufananisha, safi sana. Mimi nimekuelewa vizuri sana na ningependa uongeze kasi ya kukemea uchochezi wa CDM. Tuko pamoja uda, maana maendeleo yoooote haya yanachochewa na CDM na hatiamaye wamemchochea Jaji wa mahakama ya kanda ya Tabora...
  5. A

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Binafsi nikushkur tu mwigulu kwa kuwajulisha Watanzania hasa wapiga kura wako kuwaza kulipoishia, ndivyo mtazamo wako ulivyomfupi na ndivyo wanairamba pia wanapoishia kuwaza. Mtanisamehe wanairamba kwa kauli hiyo na wala kwa sasa hamtokwepa kashfa hiyo labda baada ya uchaguzi mwingine ndipo...
  6. A

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Heee, kumbe mwigulu ni kichaa? Mamaaaa!! Masikini jimbo la Iramba!! Lakini, ni nini maana yake? Huu ndo mwanzo wa kuchafua hali ya hewa, ebu fikiria mimi pia nifanye ujinga kama aloufanya yeye kwa chama chake nini kitatokea? Hapana, wananchi wa jimbo lake na Watanzania kwa ujumla...
  7. A

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Mshkaji wetu uspende vya bure vitakutokea kwa pua, TUMIA PESA KUPTA PESA.
  8. A

    Wanaume naombeni jibu

    Through uzoefu, wapenzi huwa hawaachani haaaaaata!! Ila tu hitilafu ndiyo hutokea ndiyo utakuta matusi, kashfa nk. Kama wewe unafikri kuna kuachana unadhani kwa nini huwa wanarudi? Na nadhani wakirudi huendelea kujimuvuzisha nao, si ndiyoeee! Pia fahamu kuwa kule alikokuwa pia hajaacha ila ni...
  9. A

    Mshahara wa wabunge wapanda mpaka 11,000,000/-

    Nikutie moyo rafiki yangu, Job hatukani tena lakini akija kujaribu kutukan plz ntaarifu nafahamu madudu yake kibao,tutahakikisha anajidhalilisha mwenyewe na jimbo tunamnyag'anya, au vipi mkuu! Kwa upande wa maposho...
  10. A

    Dr. Slaa: Hakuna huruma kwa wabunge wala rushwa

    Dr/baba paroko hata hajakosea chochote binafsi niko pa1 naye 100% tena CDM waciangalie ujuu wa jina la mtu wala jamii inamheshimu kwa kiasi gani bali tartib zifuatwe kwa mujib wa katba yao. Kengemumaji acha haraka bwana.
Back
Top Bottom