Search results

  1. D

    Msaada mkopo wa ujenzi toka PSPF

    Hawana hela hao bwana unasumbuka tu...!wastahafu kuwalipa yenyewe shida itaweza kutoa mkopo wa nyumba
  2. D

    Safari ya Singida, hoteli gani nzuri naweza kufikia?

    Nenda rafiki resort nzuri sana
  3. D

    Mengi na gesi ya Mtwara

    "With deepwater drilling rig rates is around $420,000/day and similar additional spread costs, a deep water well of duration of 100 days can cost around US$100 million" Hapo ndio ujue kwanini watu wanamwambia mengi hana uwezo wakuchimba gas.sababu gas kuchimba sio kama unachimba maji asubui...
  4. D

    Juma Jux muziki unamlipa sana. Avuta Ndinga ya hataree

    Dogo huyo anatesea hela za mama ake,wakishua tangia kitambo mie nimesoma nae pamoja na dada ake anaitwa fetty green acres hawana shida hao.
  5. D

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Sinza-Kijiweni au Sinza-Lion

    Hakuna chumba cha elfu 50 sinza labda tandale
  6. D

    Mikopo ya NSSF kupitia saccos

    Tembelea ofisi zao utapata maelezo zaidi Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  7. D

    Azam Media Ltd is coming soon

    Kila kitu kinaenda kwenye mchakato wa kimataifa.itakuwa satelite television itapatikana tz nzima Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  8. D

    Azam Media Ltd is coming soon

    Tajiri wetu sasa kaamua kutumia fursa iliyokuwepo kuingia kwenye media industry ya kuanzia satelite tv yake.mchakato sasahivi anaomba kibali TCRA. Haya sasa waliukowepo wajipange sana sababu huyu mtu analeta ma exparties hamna mambo yakujuana hapa. Hamna digitek,continental wala startimes...
  9. D

    Looking for a girlfriend of ma life

    Check on ma number 0789896095 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  10. D

    Looking for a girlfriend of ma life

    Mine 0789896095 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  11. D

    Looking for a girlfriend of ma life

    I'm 26 year old,black in colour,slim body n height 170cm.I'm working in reputable fund in Tz, I'm serious looking for a girlfriend of ma life,good looking,humble,respectable and intelligent. She should be a graduate and working or searching for employment. I would love to hear from any girl...
  12. D

    Natafuta boyfriend atakayekuwa mume wangu baadae!

    I'm single boy lookin for a real woman,am 27 working in security fund,muslim.f ua interested pm me.thanx Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  13. D

    Mshahara wa kuanzia NSSF

    Mshahara nssf wa kuanzia ni mkubwa kuliko taasisi yoyote kwa ma graduate,mwaka jana imeongezwa sasahv wanachukua tek hm 1.8 n gross ni 2.5 Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  14. D

    Moto wawaka jengo la PPF Tower - Dar

    Kikosi cha zimamoto kilisema hakina hela kikaanzisha utaratibu wa kila gari kulipia elfu 20 kama kibali cha fire extuingisher.tena mzigo unapitia TRA automatically sasa hzo hela wanapeleka wp wanashindwa kununua vifaa?au mradi wa mtu kujipatia hela?tujiulize sie janga la moto lishakua lakitaifa
  15. D

    hello

    nashukuru kujiunga leo na JF
Back
Top Bottom