Search results

  1. N

    Membe: Kabudi aliyeshikilia ndege sio Canada bali ni mkulima, balozi unamsingizia bure kule kwao Mahakama na Serikali haviingiliani. Mtafute mkulima

    Yeye ametoa elimu na ushauri tu sasa wewe unakurupuka na masuala tofauti nonsense!
  2. N

    Ajira kwa misingi ya vyama italivuruga Taifa

    Kwa hiyo unatarajia CCM itatawala milele hongera sana mkuu! Unashindwa kabisa kutambua kwamba kuna watu lukuki ambao hawaaamini katika chama chochote cha siasa unafikiri hao unawaweka katika situation gani!
  3. N

    Ikulu, Mwambieni Rais mlioyaona jana na leo. Msifiche!!

    Hata mimi ninapata shida sana ninafikiri hii nafasi ya CAG ni bora ikaondolewa tu maana ikiendelea kuwepo na utekelezaji wake ukawa chini ya maelekezo ya Serikali basi itakera zaidi!
  4. N

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Kwa nini unahusisha masuala ya upinzani kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama hili? Hivi watz tukoje basi tumuombe Mungu sana aturehemu!
  5. N

    RC wa Tanga aagiza Polisi na TAKUKURU wamkamate Mwenyekiti wa TPSF Mzee Shamte kwa ubadhirifu na dhuluma ya Sh. bilioni 54

    Ha Halafu kumbuka hiyo ni tuhuma tu! Sasa kwa mfano baada ya upelelezi anaonekana hahusiki je atasafishwa je! Ni vizuri viongozi wetu wakajali utu angalau kiduchu!
  6. N

    Fr.Titus Amigu: Viongozi wa dini kuingia woga hata kusema uongo

    Thanks Father AMIGU! kwa kweli Kwa muda mrefu sana tangu yalipoanza maelekezo ya kwamba Dini zisiingilie masuala ya siasa, NILITAMANI KUMPATA KIONGOZI WA DINI MMOJA MWENYE UJASIRI WA KUYASEMA HAYA AMBAYO PADRI AMIGU AMEYASEMA, MUNGU AKUBARIKI SANA BABA
  7. N

    Mh Kubenea Kuuguruma Manzese , Aliwahi kutahadharisha kuhusu ndege yetu kukamamatwa na imekamatwa kweli

    Mkuu kudaiwa siyo shida hata kidogo maana hata sasa tuna madeni ya kutosha. Lakini sasa ndiyo ifikie hatua ya kukamatiwa ndege ýetu pendwa? Hiyo ni hatua inayoashoria uzembe ndani yake, hivi kweli kama mtanzania huna chchote cha kuiambia Serikali yako pendwa kuhusu uzembe huu! Jamani tujaribu...
  8. N

    Zitto: Akiba ya fedha za kigeni yazidi kuporomoka , uwezo wetu wa kuagiza bidhaa wakati wa dharura wadidimia

    Mkuu Zitto amekupa taarifa ya BOT kuhusu hali halisi kwenye kibubu cha Taifa sina hakika kama huwa unazipia na kuzisoma taarifa hizi muhimu za BOT, badala yake unakuja na utumbo huu kwa maana hiyo huoni mahusiano yoyote ya uchumi wetu na kuporomoka kwa reserve iliyopo basi taifa letu ni la...
  9. N

    Kwa mwendo huu, sijui kama ATCL itamudu ushindani wa kimataifa wa biashara ya anga

    Hapo ndiyo huwa ninawashangaa sana waTanzania wenzangu! Badala ya kutoa ushauri wa kulisaidia shirika letu wewe unataka kuwaaminisha watu kuwa hilo ni tatizo dogo sana! This is very bad, Katika industry ya usafiri wa anga hakuna jambo baya kama kutokuaminika kwa ratiba za ndege zenu hii inaua...
  10. N

    Hali si hali: Magufuli ana uungwaji mkono kiasi gani ndani ya chama?

    Hata mimi ninaona ni mazungumzo ya kawaida sana, maana kwa watu waliotoil kuinadi ccm na baadaye wanaambulia matusi ya Musiba, nilitegemea mazungumzo yao yangekuwa na maneno makali zaidi ya haya. Kwa ninachokiona Mkulu inabadi atumie busara sana katika kudeal na suala hili na endapo atakurupuka...
  11. N

    Kangi Lugola: Hakuna mtu muongo kama CAG Assad! Akithibitisha madai yake nitajiuzulu

    Kama ziko kwenye makontena kwa nini hamkumuonyesha wakati anakagua?
  12. N

    Gharama za matibabu ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, nchini India kwa kipindi cha miezi mitano ni kufuru!

    Anapata wapi nguvu ya kusitisha mshahara wa Lissu kwa takwimu hizo hata aibu hamna jamani!
  13. N

    LIVE: Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga anaongelea ishu ya ndege za Fastjet

    Sasa kwa kuwafungia fastjet ndiyo mmewasaidia wale wanaodai au ndiyo mmewadidimiza kabisa!
  14. N

    Rais Magufuli anawachanganya mawaziri, makatibu wakuu na manaibu wao katika majukumu yao, na anasababisha migongano katika wizara

    Sasa kwa utalamu wako hayo maagizo aliyoyatoa kwa Naibu waziri yalikuwa sahihi kwake kweli! Yaani afike wizarani aanze ku initiate mashauriano ya kuondoa wakurugenzi kweli hapo wizarani patakuwa salama kweli hebu tuwe wakweli tujenge nchi yetu!
  15. N

    Rais wa wanyonge mbona huwa haendi kuwazika wanyonge kama wa Bukoba, Ukerewe, Zanzibar, Luck Vicent ila uzinduzi hakosi

    Taarifa ya leo maiti zilizopatikana ni 224 kwa mawazo yangu duni ni busara kwa kiongozi wa nchi kuhudhuria hata kama ni kuja kuzika na kurudi ni lazima tuwe na vipaumbele majonzi yaliyoko Mwanza ni makubwa mno, ila uwepo wa Mkuu ungeongeza faraja!
  16. N

    Rais Magufuli: Mh. Heche toa mkono mfukoni unapozungumza na mimi, wewe ni kama mwanangu wa kumzaa

    Hivi kwa akili zako hela za jimbo zinagawiwa kama njugu si kuna kamati maalumu jamani na zinakaguliwa na CAG hivi hizo pesa si zinatolewa kwa mujibu wa sheria?
  17. N

    CHADEMA tayari kimewaagiza Mawakili wake kuanza kufanyia kazi taarifa za kuwekwa kizuizini Mkiti wa S/Kijiji cha Natta

    Kama tuhuma za majukwaani ndiyo final mbona yule Mkurugenzi ametuhumiwa na badala yake akapewa na fulsa ya kuoa wake watatu pamoja na dada ya yule aliyetoa tuhuma, we must be fair vinginevyo tutavuna tunachokipanda leo!
  18. N

    Hoja ya kumfuta Nape Nnauye uanachama CCM

    Hebu acheni tukosoane bwana hivi nyinyi ni watu wa aina gani hamtaki kukosolewa?
Back
Top Bottom