Search results

  1. M

    Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    jamani wengine mna hoja hafifu nini maana ya Comedy? Wa jiite comedy then wasichekeshe? maajabu
  2. M

    Ndugu za mume wangu na mama Mkwe wananichanganya

    Asanteni sana kwa maoni yenu. Kama nilivyosema mie ni mama wa miaka 32 sasa mawazo yeu nimeyasoma na kuyaelewa ila sasa napenda kuwaelezea zaidi kuwa juzi niliomba kuonana na mume wangu kanisani mimi na yeye na mchungaji lakini kuonyesha kuwa matatizo yako kwao yeye alikuja na mkwe wangu wa kike...
  3. M

    Ndugu za mume wangu na mama Mkwe wananichanganya

    Habari zenu? Naomba mnisaidie mawazo, mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 4, nimeolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa mwaka 2004. Mume wangu alikuwa mtu mzuri sana kwangu yaani sijawahi kupata mwanaume kama yeye sema sasa familia yake ni watu wabaya sana, kabla sijaolewa watu walinishika...
  4. M

    Masoud Kipanya na Fina Mango wa Clouds FM

    Nimepata bahati ya kusoma blog ya Michuzi muda mfupi uliopita na nimeona taarifa pamoja na maoni mbalimbali ya wadau. Pengine bila ya kutoa ufafanuzi, watu wataendelea kuongea mambo ambayo hayapo kabisa. Ukweli ni huu ufuatao; Nitajizungumzia zaidi mimi kwa vile ishu yetu na Fina ni moja ila...
  5. M

  6. M

    Masoud Kipanya na Fina Mango wa Clouds FM

    nimesoma bongocelebrity Kipanya kasema amefukuzwa kazi kwaajili ya kuongelea utendaji mbovu wa wenzao ambao waliwaharibia kipindi cha mahojiano kati yao na balozi.
  7. M

    Wanawake wa PWANI

    Pwani kuna raha yake jamani, utanajua hapa cha kuangalia ni handlering si mwajua pwani kwa mahaba, waweza kuwa huna hata senti lakini ukajiona tajiri kwa kubembelezwa. Mambo ya pwani ni Pole, Asante na Samahani ila sasa umkute aliyefundwa akafundika na mzoefu wa kumlea mwanaume babu. Kungwi lao!
  8. M

    Nimekubali Ndoa Ni Ngumu Kwa Wote, Japo Ni Raha Pia, Unasemaje?

    Jamani tatizo siku hizi hakuna Ndoa ni pesa tu, si wanawake si wanaume wanaangalia pesa. NDOA, DOA, OA, Aaaah kumbe mambo yenyewe ndio hivi? Maisha ya sasa hata mtu umpe mboni ya jicho lako hakuna cha maana.
  9. M

    Mke Wangu Hataki Kuendesha Gari Linalotumia Mfumo Wa Manual

    ha ha ha ha kazi kwelikweli kumbe manual ya hivyo uwiiiii sikuwa na habari basi inabidi na mie nifatilie kwa karibu ili nilichambue hili somo la manual na automatic. Watu mnajua kubadili topic aminia.
  10. M

    Mke Wangu Hataki Kuendesha Gari Linalotumia Mfumo Wa Manual

    ha ha ha yaani wewe humjulii mwanamke jamani? Yaelekea humwambiii kihuba. Watakiwa unamwambia wakati ambao ni muafaka, umerudi nyumbani umeoga umekula mko chumbani kama sio mwaangalia tv basi mwabadilishana mawazo. Unaanza huvi unajua mke wangu unapendeza sana ukijua kuendesha manual na...
  11. M

    Sio ubize wa kii'ivi

    Hi hi hi mtoto amepinda uwiiiiiii safi sana imetulia
Back
Top Bottom