Search results

  1. M

    Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    Du! Lowassa anawakosesha usingizi kichizi, mbona hoja hiyo inaibuka sasa hivi wiki kiasi mbili toka picha hiyo itoke.Mwenye uzi angedadisi basi na kwenye magazeti mengine waliyotumia picha Kama hiyo tena akiwa katika mavazi na eneo tofauti(kwa maana kuwa ni siku nyingine).Hiyo picha kihabari...
  2. M

    Hai express Dar-Dodoma laharibika

    Abiria wa basi Hai express linaloenda Dodoma wamecharuka muda huu hapa kimara baada ya basi hilo kuharibika.hivi sasa vurugu,mabasi ya hai kumbe yamechoka
  3. M

    WAZIRI MKUU PINDA: Maiti wote wa mlipuko wa Bomu watazikwa na Serikali!!

    Hivi mtu haoni Woga,aibu au haya kusema uongo?Nassar alimpiga makofi wakala wa CCM ambaye ni kijana wa kisomali mlemavu, na Kama haitoshi alimtisha kwa bastola,ndipo morani wa kimasai wakapandisha mori na kumkimbiza Nassar.Kwanini hakukimmbilia polisi?hebu tujiulize,mtu aliyejeruhiwa vibaya...
  4. M

    Lowassa aifanya Monduli koloni lake, kinara wa dhuluma kwa wamasai/watz

    Hebu tutumie majukwaa haya ya kijamii kujenga Hoka za msingi.Ukitaka kumjenga mtu mjenge kwa hoja zenye mashiko,Ukitaka kumbomoa mbomoe kwa hoja zenye mashiko.Ndugu yangu Kibaya-Kenya,chukua muda wake kidogo na uchunguze utendaji wa Lowassa katika wizara zote alizopitia, bila kuwa na mtizamo...
  5. M

    Inside Mtwara: GESI ISITOKE - LOWASSA

    Hizo ni chuki na woga,Lowassa sasa hivi hufuatwa, alikutana na wazee waliyomfuata na Kama Kawaida yake aliwasikiliza na kuondoka.Huo ni uongo,huyu ndiyo mzee wa maamuzi magumu
  6. M

    Iringa: Lowassa akabidhiwa tuzo ya heshima

    Ni dhahiri kuwa Watanzania sasa wamebaini Lowassa ndiye kiongozi anayefaa kuinasua nchi.Style ya uongozi wake ni Kama kagame
  7. M

    Lowassa afunika Iringa

    Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio...
  8. M

    Lowassa: Bungeni haongei, makanisani, kwenye mahafali na kwingineko msemaji mzuri!

    Watanzania wengi wetu ni watu wa kusahahu sana na kubebwa tu na upepo wa wakati huo.Hivi mmesahu Dec 12 mwaka jana Lowassa akihojiwa na BBC ndiye aliyeibua hoja ya kuwepo na timu ya watlaam ili kupitia upya mitaala yetu kuangalia kama inaendana na karne hii ya sayansi na teknolojia.Nakumbuka...
  9. M

    Lowassa: Vijana wengi wanafungwa kwa makosa madogo madogo

    Ni mtu asiyejua ni maana ya uongozi makini, shupavu na ujasiri, atampinga Lowassa.Huyu jamaa anatisha, hajawahi hata siku moja kukurupuka na kusema jambo la hovyo hovyo tu, tokea aingie kwenye siasa.Ni ujasiri wake ndiyo uliyowapa wananchi wa Shinyanga, maji ya ziwa victoria, ujasiri huo...
  10. M

    Wana CCM Arusha walisukuma gari la Lowassa Mzee wa maamuzi magumu kwa furaha ya kumuona.

    Nguvu ya Edward Lowassa kisiasa ilidhihirika katika ziara ya Katibu Mkuu mpya wa CCM Abdulrahman Kinana na ujumbe wake mkoani Arusha. Kila walipofika, Lowassa alishangiliwa sana. Kali ilikuwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid alikuwa wa mwisho kupanda jukwaani, pale jina lake lilipotajwa...
  11. M

    Wabunge CCM wamsafisha Lowassa.

    Ni ukweli uliyowazi kuwa kuondoka kwa Lowassa nchi imeshuhudia ombwe la utendaji kazi.Watanzania tuna tabia ya kusahau ya nyuma.Tukumbuke uwanja wa mnazi mmoja ulivyokuwa tayari umeuzwa kwa mwarabu, nani alichukua maamuzi magumu kuzuia na kuwaambia wananchi wachukue mabati yaliyokuwa...
  12. M

    Wabunge CCM wamsafisha Lowassa.

    HATIMAYE wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameibuka na kumsafisha Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, huku wakidai taarifa ya Kamati teule iliyokuwa ikiongozwa na Waziri wa sasa wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe, ilijaa upotoshaji. Yaani wanakumbuka shuka wakati kumekucha.
  13. M

    Kwanini Zitto na Lowassa wanapotajwa kuhusu urais kelele zinakuwa nyingi?

    Ningependa kumzunguzia zaidi Lowassa, ambaye tayari utendaji kazi wake tumeushuhudia.Zitto ndiyo kwanza anachipukia kwenye siasa.Hebu nielezeni ni katika wizara gani ambayo Lowassa amepita hakukuwa na matunda.Watanzania ni watu wa kusahau.Mnakumbuka jinsi alivyozuia kuuzwa kwa uwanja wa mnazi...
Back
Top Bottom