Search results

  1. TreasureFred

    Taarifa ya daktari wa rais

    Tatizo la wabongo bwana Daktari kaongea mnataka aseme kitakacho kufurahisha aina ya mawazo mabovu,pure sudist mind mnaambiwa hana Tatizo ooooooooooo semeni mtaaibika Nchi ngumu kukubali ukweli HAUMWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII KAFANYENI KAZI AU MZEE UNATAKA...
  2. TreasureFred

    Ubungo 2010: Nani zaidi, Nape au Mnyika?

    Post yangu ni result ya post ya Achebe alosema kuwa NAPE ana elimu kuliko Mnyika my intrest ni kupata facts from Achebe juu ya swala nililouliza then tuweze kujadili hilo ndg umekimbia kabla ya kuanza kutembea
  3. TreasureFred

    Ubungo 2010: Nani zaidi, Nape au Mnyika?

    Kaka/Dada hebu kabla sijatoa mtazamo wangu niambie NAPE amemaliza degree ya kitu na chuo gani?ili tuweze ku evaluate elimu yake na baada ya hapo tumfananishe na Mnyika. Naomba msaada wako.
  4. TreasureFred

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Lucas Selelii Lumambo. Kwa miaka 15 ameshindwa kulisaidia jimbo lake kwa jambo lolote,wananchi wanao ishi km kadhaa karibu na mgodi wameathirika visima vyao vya maji vimeathiri vimeathiriwa Na uchafuzi wa Mazingira wa Mgodi kwa kuwa ana malori pale hawezi kukemea na matairi ya magari hupewa na...
  5. TreasureFred

    Ipp mpaka leo hatujapokea mishahara

    Wana Jf Nimesukumwa kuandika post hii baada ya kupata tetesi kuwa mwenyekiti anaenda Tabora kutowa msaada wakati mpaka leo hii hatuja pokea mishahara yetu. Mwezi ulopita tumepokea tar 8,juzi imetumwa email na idara ya uhasibu kuwa ttusitegemee mishahara soon hili ni jambo la kuikitisha...
  6. TreasureFred

    Gazeti la Mtanzania vipi?

    Mimi nilifanikiwa kuangalia shughuli yote kupitia Star TV jana na sijaona sehemu Mtanzania walipokosea, lakini hebu tuangalie magazeti mengine 1. NIPASHE: PENGO ATEMA MOTO MAZISHI YA ASKOFU - Ahoji kulikoni ufisadi kila kona - Auliza wapiganaji ni wakweli...
  7. TreasureFred

    Gazeti la Mtanzania vipi?

    Kwa yoyote aliemsikiliza Pengo gazeti la mtanzania limeandika alichoongea, wamegusa angle zote kuu mbili ya waraka na ya vita vya ufisadi,
  8. TreasureFred

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    Kwanza Wanajamii,let me put clear my Stand ninaunga mkono maamuzi ya KABWE ZITTO. Mbili;Nimesikitika andiko la Kibanda kuonyesha wazi anafanyakazi ya muajiri wake angeweka wazi msimamo huo mapema ningemuelewa.but akiwa mwanahabari ninae muheshimu nimesikitika sana kuona kuwa Tayari...
  9. TreasureFred

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Kaazi kweli kweli,Kwanza si kweli ulichoandika,na kauli inayomuhusu Guninita anayodai kuwa ilitamkwa na JK ni aina mpya kabisa ya uongo uliopo katika medani za kisiasa katika Nchii hii,JK hakutoa kauli kama hiyo. Pia ni aina mpya ya Uzandiki na uongo uliotumia hapa unataka kutuaminisha kwa...
  10. TreasureFred

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Wana Jf taarifa zilizonifikia sashivi ni kwamba JK amemuita Sita na kumwambia kuwa hali ya ukumbi umeina nitakupa DK kumi ujiteteee ukizitumia vizuri utapona ukishindwa kuzitumia sitazuia wazo la wewe kutakiwa kurudisha kadi ya ccm. Taarifa zaidi ni kuwa babu sita wapambe wote wamemkimbia...
  11. TreasureFred

    Selelii aapa kuiangusha Serikali Novemba!

    Kaka/Dada umeleta hoja nzuri kabla hatujajadili msimamo na kauli yake tuangalie Background ya Selelii. 1:Kielimu Selelii ni Form Four na amejaaliwa kufaulu kwa D mbili uchama sekondari. 2; Kisiasa, selelii ameingia bungeni 1995,kwa msaada mkubwa toka kwa RA,2000 pia ktk kura za maoni...
  12. TreasureFred

    Selelii aapa kuiangusha Serikali Novemba!

    Hi ni hoja ya kipumbavu (samahani kwa lugha kali lakini sina njia nyingine ya kuonyesha mapungufu ya hoja hii ya shangazi) Hakuna uhusiano kati ya kubanwa kwa selelii na huyu kijana unaemtaja na kauli aliotoa,Pia selelii kutoa kauli kama alotoa ni mtazamo wake maswali muhimu ambayo...
  13. TreasureFred

    CCM yamwangukia Bashe!

    invissible pls ondoa huu utoto
  14. TreasureFred

    CCM yamwangukia Bashe!

    Hivi lini Falsafa hii ya mtu akifanya kitu tunaanza kujiuliza KATUMWA NA NANI?why tusiulize kitu kilichomsukuma kufanya jambo hilo badala ya kuwaza huyu katumwa. Aina hiyo ya mawazo mgando ni hatari sana ktk jamii,Bashe nzega i think ni kwao,na kwanini uulize mkutano wa JPILI tu usiulize...
  15. TreasureFred

    Gazeti la Jambo Leo... Vituko vitupu!

    Jamani tusimshambulie GT katika alichoongea hapa kuna mambo ya kujiuliza Moja Huyo mmiliki asieonekana ni nani?pia kwanini GT kaleta hoja ya ufisadi wa Wizara ya maliasili kuhusu alichoongea Zito abt Fungu la kuitangaza Sector ya utalii? Wana Jf tusijibu vitu kwa ushabiki labda nianze kutoa...
  16. TreasureFred

    Matokeo Biharamulo: Chadema yaongoza Mijini, CCM vijijini!

    Wana jf kwa taaifa za uhakika nilizopata ni kuwa tume ya uchaguzi imeitangaza ccm kuwa imeshinda bharamulo magharibi kwa kupata kura 17,561 sawa na 51% na chadema kura 16,670 sawa na 48.4%. But taarifa zaidi zinasema kuwa chadema wamekataa matokeo kwa hoja kuwa matokeo ya kata tatu...
  17. TreasureFred

    Je kulikoni IPP? Malalamiko na kuacha kazi kwa wafanyakazi

    Wana jf tusaidieni ushauri imekuwa ni tabia hapa kwetu ipp,mishahara kuanza kutolewa kuanzia tarehe 5 mpaka 10 ya mwezi unaofata,that means baada ya siku 35 mpaka 40. Cha kushangaza wahindi wetu wao wanajilipa tarehe 25th ya mwezi,lakini pia kumeibuka mtindo wakupeana kupitia dirishani kwenye...
  18. TreasureFred

    Je kulikoni IPP? Malalamiko na kuacha kazi kwa wafanyakazi

    wana JF taarifa nilizopata leo toka ofisi ya MSHANA ni kuwa SAKINA DATOO jana jioni amekabidhi barua ya kuacha kazi Rasmi toka IPP ninafanya jitihada kupata kivuli cha barua hiyo ili niiweke hapa,kwani naambiwa ni barua ya page tatu inayoeleza matukio mengi yaliyopelekea yeye kufanya uamuzi huo...
  19. TreasureFred

    Who is Hussein Mohammed Bashe?

    Hard Hitter nimeona nijaribu kukushauri kuwa huyu bwana kama unataka kupata taarifa sahihi juu ya Idara ya usambazaji (circulation) na perfomance yake nivizuri ukapata taarifa ya Steadman ya media report ya 2007,2008,na 2009,then utakuwa katika nafasi ya kuongelea juu hili. kuhusu kuporomoka...
Back
Top Bottom