Search results

  1. Omari Issa

    Tanzania kuna jumla ya makabila mangapi?

    Habari zenu wadau? Nimeona nije na kauzi haka ili niweze kupambanua uelewa. Ninachokijua na ambacho kinaandikwa kwenye machapisho mbalimbali ni kwamba Tanzania kuna makabila zaidi ya 120. Sasa ukisema zaidi ya, huwa haioneshi idadi halisi ya makabila hayo. Naomba mwenye uelewa atujuze idadi...
  2. Omari Issa

    News Alert: PLEASE I ASK FOR THE LEGAL HELP

    MSAADA TUTANI Hello folk! I'm humble, asking for your legal help! I may be ignorant of the right path of legal procedure in handling this case! Mr X come to my shop one day and he asked for some goods for loan! Since he has been indebted to pay back the loan, the man changed his SIM line and...
  3. Omari Issa

    Syllabus za Vyuo vya VETA

    Habari wana jukwaa? Tafadhali, kama uzi unavyojieleza, naomba msaada mwenye syllabus ya kozi zifuatazo zinazotolewa na vyuo vya VETA hapa nchini. 1. English language 2. ICT 3. Enterpreneurship 4. Life skillls PM itapendeza zaidi Ahsante
  4. Omari Issa

    Msaada wa Kitaaluma Unahitajika

    Habari zenu wanajamvi! Tafadhali naomba mwenye TEMPLATE za kupanga matokeo kwa divisions, FORM TWO, FORM FOUR na FORM SIX anipatie please! Thanks!
  5. Omari Issa

    Msaada wa Haraka!

    habari zenu wakuu? Naomba mawasiliano ya viongozi wafuatao wa serikali. 1. Katibu/Naibu katibu Mkuu/Waziri/Naibu waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. 2. Katibu/Naibu Katibu Mkuu/Waziri/Naibu Waziri mwenye dhamana-TAMISEMI 3. Katibu/Naibu Katibu Mkuu/Waziri/Naibu...
  6. Omari Issa

    A specialist teacher in ICT and Geography is AVAILABLE

    Hi folk! Its my hope that your constitutions are all the way good and you are proceeding well building Tanzania. I am a teacher, a pursuant and specialist of ICT and Geography subjects I hereby re-advertise that I am currently available to any teaching queries whether in secondary schools or...
  7. Omari Issa

    Natafuta kazi ya ualimu

    Habari wakuu JF? Bila shaka mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku katika ujenzi wa taifa. Natoa rai kwa watakaopitia uzi huu kuwa natafuta kazi kwa wenye nafasi za kazi. Si uungwana kukejeli, kukebehi, kudharau ama kuponda kwa namna yoyote. ………………………………………………………… Natafuta kazi ya...
  8. Omari Issa

    Mwalimu Anapatikana: Pitia Hapa

    Heshima kwenu wakuu JF! "Kwanza kabisa naomba niwatanabaishe wale wote watakaopitia uzi huu kuwa sio uungwana kukashifu, kukebehi, kudharau, au kuponda kwa namna yoyote ile. Nipo kutafuta kazi kwa wenye nafasi za kazi. ……………………………………………………………… Naomba jamani kwa mtanzania mwenye nafasi za kazi za...
  9. Omari Issa

    Mwalimu anapatikana

    hi folk My name is ISSA OMARI ISSA. I am in Arusha. I humbly appear before you purposely for presenting my quest believing that my post will be/is read by education institutions/Colleges principals, heads of schools, and other education stakeholders. Since July, 2015, I tirelessly submitted a...
  10. Omari Issa

    Urgent help: Chronic ulceration problem needs to be treated!

    Hi jf! I am ISSA. One of jf members. The heading above is my problem. I have been suffering with ulcers since 2012 but currently the problem seems to be chronic as I started to experiences some terrible signs for example faeces and bloody vomitting. Serious stomach aches that overdo at night...
  11. Omari Issa

    Mwalimu pre-primary education qualified!! Anatafuta kazi kwa mwaka wa masomo 2016

    Habari zenu wakuu JF! Nimeombwa nitoe taarifa hii kutoka kwa mdau huyu kwa kuwa hana akaunti humu JF! Anaitwa Jamila Seif, mkazi wa Arusha (U), ni mwalimu aliyebobea katika tasnia ya ualimu wa awali akiwa na elimu ya awali ngazi ya cheti na diploma. Ana uzoefu usiopungua miaka 2 katika...
  12. Omari Issa

    Mwisho wa uchukuaji wa vyeti vya form six kwa wahitimu mwaka 2012

    Habari wanaJF! Mwenye taarifa kuhusu mwisho wa uchukuaji wa vyeti vya form 6 kwa wahitimu wa mwaka 2012 atujuze tafadhal
  13. Omari Issa

    Looking for a vacancy

    Hi JF, A teacher, specialist for English medium schools, holder of Diploma in Early Childhood Education is available! 0766867700 With any vacancy available for Early childhood education, in english medium schools, or else please contact me.
  14. Omari Issa

    I am Looking for a Job

    Hi! Iam a 2015 University finalist, holding a Bachelor degree (Bed.Sc. ICT) specialized in ICT and Geography.
  15. Omari Issa

    Huu ndio uzoefu wangu kwenye Loan allocation na chuo

    Nimelazmka kufungua uzi huu ili tupeane ufahamu na uzoefu ktk mas'ala ya HESLB loan allocation na Chuo. Ndg. zangu FIRST YEARS suala la "disbursement" ya mkopo toka HESLB haliangalii "Chuo ulichochagulia" (nitatolea maelezo) isipokuwa inaangalia DEGREE PROGRAMMES uliyochaguliwa nayo, uhitaji...
  16. Omari Issa

    Msaada computer problems

    Hi guyz? A week ago, i had an ICT exam, Of the difficult questions i had experienced, here is one of them...I NEED HELP from whoever familiar of it;- "A Dell Pro 330 PC is rotating at 23.5 x 10(exponent 11) revolutions per minute". Calculate the following;- (i) an average processor speed...
  17. Omari Issa

    Am looking for a lady with true love to marry

    [B]hi! fellow GT!! sometimes, somewhere people project their laughs to others only because they see with accordance to relative acceptable norms are beyond adherence...this may be true...BUT also sometimes may laughs at you with little know-how of what you are doing and all of its...
  18. Omari Issa

    Muhimu

    Habari wadau? kwa wale wadau wa UDOM, Pata simu aina ya TECNO 630 with all accesories,kama vile Headphone,USB kwa bei nafuuuu sana 40,000 Tshs kabla ya kwenda likizo wasiliana nami kupitia 0655889646 au 0763832689
  19. Omari Issa

    Naomba msaada

    Kwa majina naitwa ISSA O ISSA nina imani wapo niliosoma nao humu ndani na wapo tunaofahamiana kwa namna moja ama nyingine Kimsingi lengo la kuanzisha thread ni kuomba msaada kwa wadau wote wa masuala ya elimu watakaoguswa!! Mimi ni mwanafunzi niliyechaguliwa kujiunga na masomo chuo kikuu UDOM...
  20. Omari Issa

    Udom boom latema...Hooray!!

    Boom latema, juzi humanities na social science,jana education,informatics,na natural&earth sciences leo wote tunafurahi
Back
Top Bottom