Search results

  1. B

    Jinsi gani ya kupata kazi UDART?

    soory ni 198 post
  2. B

    Jinsi gani ya kupata kazi UDART?

    na leo UDART wametangaza nafasi 178 za cashier kupitia maxmalipo so angalieni zoom
  3. B

    Mwenye taarifa za DART kuita interview

    Angalieni gazeti la mwananchi la leo wametoa majina kibao interview trh 21 May DUCE kama kawa
  4. B

    Vyumba vinapangishwa Magomeni-DSM

    Kuna vyumba viwili vinapangishwa (Chumba na Sebule & Chumba na Sebule) bt sio master bedroom bei ni sh 80,000/= na Sh 100,000/= kwa mwezi but inatakiwa kodi ya mwaka mzima, Umeme ni Luku na nyumba luku meter haina deni. Vyumba vipo Magomeni Mikumi mtaa wa Manda Jijini Dsm. Kwa mawasiliano zaidi...
  5. B

    Vyumba vinapangishwa Magomeni-DSM

    Kuna vyumba viwili vinapangishwa (Chumba na Sebule & Chumba na Sebule) bt sio master bedroom bei ni sh 80,000/= na Sh 100,000/= kwa mwezi bt inatakiwa kodi ya mwaka mzima,Umeme ni Luku na nyumba luku meter haina deni.Vyumba vipo Magomeni Mikumi mtaa wa Manda Jijini Dsm.Kwa mawasiliano zaidi...
  6. B

    Selcom Machine

    Habari wa ndungu kama kuna mtu ana Selcom Machine na haitumii naomba aniuzie mimi cherger yake au kama mtu anacherger ya Selcom Machine naomba tuwasiliane ili aniuzie.
  7. B

    Msaada kwa wanaoifahamu DKT International

    Kama unaishi Dar es salaam,panda bus shuka kituo cha sanyansi then fuata barabara ya kwenda kijitonyama/police mabatini utakiona kibao chao kipo mkono wako wa kushoto kwako
  8. B

    Muuza duka la Vipodozi

    Natafuta dada kwaajili ya kazi ya kuuza vipodozi,Duka lipo maeneo ya Manzese so nikipata dada anayeishi maeneo ya Magomeni,Usalama,Mwembechai,Kagera,Manzese,Tiptop na Mabibo itakuwa poa coz duka linafunguliwa saa mbili asubuhi na kufungwa saa mbili usiku.Kwa maelezo zaidi Tuma sms kwenye simu no...
  9. B

    Tigorusha,vodarusha,airtelrush a&zantel mimina

    Habari wandungu,nashida na lize zinazotoa huduma ya Tigorusha,Airtel rusha,voda rusha na zantel mimina,naomba mnifahamishe ni njinsi gani naweza zipata? Thanks. This is Baba T,
  10. B

    Duka la vipodozi

    Natafuta Binti anayekaa maeneo ya Magomeni, Mwembechai, Kagera, manzese au Magomeni Usalama kwa ajili ya kuniuzia duka la vipodozi. Awe mwaminifu, mchangamfu, mchapa kazi, atakuwa anafungua duka saa mbili asubuhi hadi saa mbili usiku. Kwa mawasiliano zaidi ni 0782444310 au email ni...
  11. B

    Nahitaji kijana wa kiume/wakike

    ni fihavangoa@yahoo.com
  12. B

    Nahitaji kijana wa kiume/wakike

    Wandugu nahitaji kijana wa kike au wa kiume kwa ajili ya kuniuzia duka la vocha na tigo pesa,ila after nitaweka na Mpesa,airtel money,vocha za jumla,max malipo,tigo rusha na vinginevyo.Mshahara ni maelewano,uka lipo maeneo ya Mgomeni Kagera.Kwa mawasiliano zaidi ni kwa kupitia fihavangoa@yahoo.com
  13. B

    Kijana wakiume/wakike anaitajika kuanzia trh 1/08/2012

    Wanajamii nahitaji mtu wa kuniuzia duka langu la vocha za simu + tigo pesa,duka ni jipya ila natarajia baadae niweke na Mpesa,Airtel Money,Tigo rusha,vocha za jumla,Max malipo na vinginevyo,kuhusu malipo ni makubaliano,duka lipo maeneo ya Magomeni Kagera.Kwa mawasiliano zaidi ni kwa email ya...
Back
Top Bottom