Search results

  1. kupe

    #COVID19 Maabara ya Taifa (COVID-19), wateja wakiulizia majibu au kuomba msaada sio uhalifu

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Kwanza niwapongeze hapo maabara kwa kuweka namba za simu yaani customer care au kwa kizungu call center. Ili mwenye malalamiko au maswali apate Majibu. Sasa basi hapa ndio kuna tatizo. Hawa watu wa kupokea simu kutuona sisi wateja kama wahalifu au tunapoteza...
  2. kupe

    Viongozi na wanasiasa waache kujipa majina yao katika mitaa, Shule au Hospital

    Nianze Kwa haraka haraka kuna daraja la Mfugale. Soko la Ndugai.. Shule ya Jokate huko kisarawe.. Shule ya Juma Homera huko Tunduru ... Hospital ya.... Mtaa wa.... Na wengineo wengi... inakuwaje wanajipa haya majina au huyo anayewapa anawapa kwa kigezo gani. Maana mfano Ole Sabaya angejipa mtaa...
  3. kupe

    LATRA iruhusu magari binafsi yatoe huduma za usafiri Dar kuepuka misongamano

    Au wanataka mpaka Rais aseme. Hivi kuna faida gani kuvaa barakoa mjini au maofisini halafu unapanda mwendokasi au daladala zilizojaa abiria bila kuwa na hewa safi. Mamlaka husika kwanini wasiruhusu vibali vya muda kwa gari binafsi kubeba abiria kama daladala kuepusha Msongamano wa watu kwenye...
  4. kupe

    Mheshimiwa Rais Tumbua hii LATRA.

    Abiria wamejazana ubungo. Magari binafsi yapo tayari ubungo kupata vibali vya muda kama. Miaka yote ila wao LATRA wanasema hawana vidhibiti mwendo. Kifupi hawa watu hawakujipanga wakati inajulikana miaka yote issue ya December na shida ya usafiri. Lakini wao wako na magari yao binafsi kukamata...
  5. kupe

    Rais wa wanyonge iangalie Latra

    Hivi hawa Latra kwanini wanakataa kutoa vibali vya muda kusafirisha abiria kwa ma. Bus yaliyokuwa yanasafirisha wanafunzi ikiwa shule zimefungwa . Kuna tatizo gani. Maana kwanza serikali utapata hela halal kwa watakaoomba hivyo vibali. Pia itaondoa usumbufu wa abiria hasa mida ya asubuhi na...
  6. kupe

    Saudi Arabia nayo yarekebisha ndoa kwa wenye umri mdogo

    Marekebisho hayo yalifanywa na Mfalme wa saudia Mr Mohamed Salman. Ili upate kibali cha kuoa mtoto aliye chini ya miaka 18 ni lazima upate kibali kutoka mahakama maalum na ijidhihirishe kuwa ndoa hiyo haitamuathiri au kumuumiza muolewa au muolewaji. ==== Saudi Arabia on Monday issued a de...
  7. kupe

    Hili la kumtetea Dangote ni ushamba au upeo mdogo wa akili?

    Nakumbuka kuna mwaka boss wa CNN mmarekani alisema Kenya siyo nchi salama kutembelea. Issue kubwa ilikuwa ni mambo ya ugaidi kipindi cha Al-Shabaab.Kwakweli huwezi kutegemea Wakenya waliungana wote nchi nzima wakavamia twitter ya yule jamaa na akaunti za mitandao yote ya CCN. Wakamshambulia...
  8. kupe

    Baada ya Mkapa angefuata Magufuli nchi yetu ingekuwa mbali sana sasa hivi

    Kikubwa naongelea katika ukuaji wa uchumi na mfumuko wa bei , nidhani ya uongozi na utendaji kazi katika Nchi yetu {heshima ya hela na kazi imerudi nchini}.........naendelea na utafiti nitarudi baadae kidogo
  9. kupe

    Makundi ya whatsapp yalivyogeuka makundi ya michango isiyoisha

    Lengo lilikuwa kuwakutanisha watu mbalimbali waliopoteana tokea primary school, secondary, mtaani hadi makazini ili kuchat, kufurahi na kubadilishana mawazo. Lakini sasa ma group haya yamegeuka ni ya michango isiyoisha kama sio kila siku basi kila week. Wengine ni kweli na wengine ni usanii tu...
  10. kupe

    Hivi inaruhusiwa kuwinda na kula Twiga

    ..Tukio hili limetokea nchini Kenya karibu na mpaka wa Tanzania . ingawa kwenye habari wameandika ni South Africa... The men are heard shouting "Allahu Akbar" as giraffe is shot and falls to ground before using hunting knife on poor creature . A sickening video has sparked outrage on social...
  11. kupe

    rais wa zamani wa Brazil kushtakiwa kwa rushwa

    Hiyo inatokana yeye na mkewe kujenga nyumba za gharama. Luxury house thamani ya dola laki 4 kutoka katika hela za rushwa. Jaji kapitisha uamuzi ashtakiwe...... Federal prosecutors in Brazil have asked a judge to file corruption charges against former president Luiz Inacio Lula da Silva. The...
  12. kupe

    Nchi zinazotegemea mafuta hali yazidi kuwa ngumu

    Mojawapo ya nchi zilizoathirika sana ni Venezuela pamoja na upungufu wa bidhaa. Pia thamani ya hela imeshuka sana kupelekea Hata shirika la ndege Ujerumani kutangaza kuvunja safari za ndege nchini humo. The German airline, Lufthansa, has announced that it will suspend flights to Venezuela from...
  13. kupe

    Why hii sheria isije Tanzania

    For all living in UAE: Yesterday there was a law passed in UAE that if any one Writes or forwards any msg on any social networking (wats app, Facebook, Twitter) about any religion by defaming them or their belief's or is involved in any kind of any harsh religious comments which can hurt any...
  14. kupe

    Wakimbizi wa kiume {arabs} wapigwa marufuku kwenye swimming pools nchini ujerumani

    German town has banned male asylum seekers from a public swimming pool after women complained of harassment. A government official in Bornheim said men from a nearby asylum shelter would be barred until they "got the message" that such behaviour was not acceptable. It follows outrage over...
  15. kupe

    Whatsapp yangu imegoma kufanyakazi

    Whatsapp yangu imegoma kufanyakazi . Nikijaribu kuifungua inaniletea ujumbe huu your phone number is no longer allowed to use our service. Anayefahamu zaidi tafadhari
  16. kupe

    Pombe zikipigwa marufuku, nchi itapiga hatua sana kimaendeleo

    Nimefikiria tu ni kiasi gani watanzania wanapoteza kila siku kwenye unywaji wa pombe . Na madhara kiasi gani wanayoyapata baada ya kunywa pombe naamanisha kiuchumi na kiafya . Watu wanapoteza hela nyingi kwenye ma bar . Pombe haina faida yeyote mwilini mwa binadamu. Vipo vinywaji vingi vya...
  17. kupe

    Malaysia airliner crashes in east Ukraine 17 July 2014

    A Malaysia Airlines passenger jet crashed in a rebel-controlled part of eastern Ukraine on Thursday, spurring swift accusations from Ukrainian officials that "terrorists" shot down the aircraft. The United States has concluded a missile shot down the plane, but hasn't pinpointed who was...
  18. kupe

    SUMU {chemical weapons} yatumika kumaliza El Shabab Kenya

    Baada ya utata mwingi wa kusambaa ni vipi vita imeishaje huku hakuna gaidi alikamatwa katika vita ya siku nne . Hatimaye imefichuka kuwa sumu imetumika kumaliza utata...... The militant group behind the four-day takeover of a Nairobi mall claimed Wednesday that Kenyan government forces used...
  19. kupe

    Kwanini MNYIKA anaweka namba za simu za wabunge na Viongozi hadharani

    Hivi huo ni ustaarabu kuanika namba za simu hadharani. Navyojua mimi namba za simu ni issue binafsi. Hii ni aina gani ya siasa . Au ni ushamba . Alianza na namba ya mheshimiwa spika. Sasa ametoa namba ya JANUARY Makamba . Nia yake hawa watu wasumbuliwe au watukanwe Hivi hakuna sheria ya kumshtaki.
  20. kupe

    Kumbe ndio maana CHADEMA haikubaliki Dar

    Watu wa Dar hawana ushamba kama wa Arusha. Watu wa Dar huwezi kuwadanganya kijinga jinga au kuwafanya ngazi. Wana upeo mkubwa wa kuchambua na kuchuja kujua ukweli na uongo. Hayo maandamano , mabomu,uongo,vurugu etc yataishia huko huko Arusha. Watu wa Dar wanajua maisha na wanapenda amani...
Back
Top Bottom