Search results

  1. M

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Yeah mama Makinda kajitahidi sana Angekuwa hivi always
  2. M

    Natafuta software inayoitwa CHIEF ARCHTECT

    Wadau na wakuu wa jamvini ninaomba msaada wa copy ya hiyo software yenye key na malipo ni maelewano. Email yangu ni lijonjo@hotmail.com
  3. M

    Msaada

    Hi wakuu, Tafadhali ninaomba mdau mwenye software ambayo inaitwa CHIEF ARCHTECT ili niweze itumia. Actually aniweza kunipa copy ambayo iko registered. Malipo ni mazungumzo. aliyenayo awasiliane nami kwa lijonjo@hotmail.com Have nice days to all
  4. M

    Mahali pa Biashara panauzwa

    Hey wakuuu, Kuna mahali pa biashara panatolewa kwa mtu pakiwa na kila kitu, Computers 11 zikiwa zinafanya kazi na zina network na zina wasiliana, na kuna simu za ndani ina reception, General office, Pool Place, Utility place na three cubics for the net PCs. Ofisi ipo Lindi Mjini...
  5. M

    Nasikia usiku wa leo kuna mtu kachinjwa zanzibar

    Hey wana jamvini mwenye taarifa hizi atujulishe vema ni kweli? Na kama ni kweli itakuwa tunaelekea wapi hasa? Tafadhalini tuliangalie kwa ufasaha kama ni kweli
  6. M

    tiGo WAP Manual Configuration Settings

    Mie natumia nokia E71 its ok, but kuna jamaa yangu ana nokia 3110 inagoma kupata setings na amewapigia sana na wanatuma setings lakini model hii haipokei. Tumejaribu kwa Zain na Voda inapokea vizuri but Tigo haitaki so please can someone help on that?
  7. M

    tiGo WAP Manual Configuration Settings

    Kaka unatuma number ipi hiyo medel
  8. M

    Tanzania inaweza kuongeza bei ya kahawa kwa kuwatumia kinyesi cha " Civets"-Fungo

    Kwa kweli sidhanii hata kama hii itaendelezwa hata kama ikiwa na maana, maana sio utamaduni wa watu wetu kushulikia reseach. Watakula pesa za walala hoi then jii. jiulize mradi wa kuyaangamiza magugu maji kwa wadudu umefikia wapi? Na wadudu wapo wengi mno na watu walirushwa nje kama wehu, fund...
  9. M

    Nafasi mpya za kazi (national insurance corporation) chc

    Hongera mkuu, tuansubiri majibu yako baada ya hilo zoezi.
  10. M

    Pinda, Muungano, na Hatima ya Zanzibar

    Nadhani Mh. Pinda kawapa sawasawa kabisa, kwani kuna baadhi ya wabunge na wajumbe wa wawakilishi wanakuwa kama hawana vision ya mbali juu ya Muungano. Maana mataifa makubwa yanajaribu kutafiuta mbinu ya kuweka nguvu pamoja but huku watu wanatafuta kuvunja hata kadogo kalikopo. Issue ni kutafuta...
  11. M

    Raisi kuidhinisha stahili ya Spika - ndio utaratibu ?

    Mimi nadhani issue kubwa hapo ni akina nani walio wazalendo zaidi. Mimi nadahania pia uongozi ni karama ila imefanywa kuwa ni biashara na hasa vile vigezo halisi vya uongoziu bora ni vipi vilipoanza kutipangilwa.
  12. M

    Business Opportunity kuwa ISP Mikoani na Wilayani

    Cool tuwasiliane kwa E-mail hii (lijonjo@hotmail.com), visit the website (www.lijonjo.webs.com)
  13. M

    Kuchukua Mkopo bank

    Mkuu "Shiumiti" issue ni kuwa vijana hawaaminiki kutpokana na wazee walio wengi kuwa na imani potofu kuwa viujana hawawezi. Yaani wagumu kubadilika
  14. M

    Kuchukua Mkopo bank

    Hey washkaji tuwe makini na kujibu kwetu hapa jamvini, Issue ni kuwa haya mabenk kwanza wale wahusika na maamuzi ya mikopo hawako na moyo wakutrust, na wameiweka mbele risk ya mkopaji kuwa hana uwezo wa kulipa. So kutokana na hilo wanakuwa na Negativity ktk swala lako lote na hata ushauri...
  15. M

    Mandela's 91st Birthday

    Hsaka Mzee anastahili furaha na faraja ya namna hiyo.
  16. M

    Incredible Maths! - (I)

    353535, true its incredible Lol!!!
  17. M

    Mtalii na mtafsiri wake bongo hotelini

    Duh hii kali kwelikweli!!
  18. M

    Nafasi za kazi JWTZ

    Hebu imwage vema, Kwani tuna ndugu na jamaa zetu. Tujulishe wanajiandikisha wapi? deadlini ni lini. Au hiyo source ni website au gazeti? But it cool to have this info....
  19. M

    Natafuta kazi popote

    Yeah hata sunday news leo imetoa kwa kifu[pi za wiki nzima na hizo za NIC. Pia waone radar recuitment - Backlays house pale
  20. M

    Natafuta kazi popote

    Vpi ktk serikali za mitaa uko tayari? Manake wengine wanawagwaya madiwani
Back
Top Bottom