Search results

  1. N

    Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?

    Ndugu yangu kuongezea uliyoyasema ambayo nakubaliana nayo - lazima watu watambue huduma mbalimbali ambazo Mungu ameweka katika kila mmoja wetu! Bukuku kwasehemu yake anafanya la kwake hasa nyimbo za kuabudu na kweli watu wanabarikiwa, anaweza kuwa na mapungufu ya kwake kama Rose pia lakini si...
  2. N

    Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?

    Kwakweli- u have touched me! Huyu mwanamke is unique kwa sasa, wakina Upendo Nkone na Kilahiro wako vizuri lakini Shushu she is coming up very well! Just a top up to what u have said!
  3. N

    Tibaijuka ashushwa cheo UN

    Kiranga lazima uelewe sitetei ufisadi hasirani, lakini haitoshi tu kumhukumu huyu mama kwa kupeleka sehemu ya miradi huko Muleba! Ulitaka apeleke Nachingwea - lakini yote si Tanzania? We tatizo lako liko wapi? I would love to see you exhausting on other issues rather than this? Ama labda sijui...
  4. N

    Tibaijuka ashushwa cheo UN

    Jamani watanzania wacha tuache unafiki, we always have something to comment! Hivi ni nani ambaye angepata hii nafasi akashindwa walau kutengeneza nafasi ama kusaidia watu wake. Naamini kabisa kama huyu mama asingefanya haya leo hii mngemtukana sana na hata kumtemea mate. I believe she might...
  5. N

    Mchungaji Lwakatare Arudisha Yatima 250 Kwao

    Baba Gwakisa, naweza sema sifahamu sana habari za namna ya hizi shule kuendeshwa lakini nimepata kusikia habari miaka fulani nyuma nikiwa na watu wanaofanya pale na wengine wa ndani kidogo! Kuna wakati nadhani alirudisha watoto kwao kwasababu baada ya kuchunguza ikagundulika sio yatima kweli...
  6. N

    News Alert: Tanzania yasaidia msaada wa milioni 75 Zimbabwe

    Binafsi nimefurahiswa na u moyo wa kutoa ambao umejionyesha lakini pia hili liwe somo kwa viongozi wetu wa Afrika na waafrika wote! Kama tungeweza kuzalisha vya kutosha katika nchi zetu hizi na kuwa na surplus, kutumia vizuri resources zetu hakika tusingekuwa na tashwishi ya kusaidia maendeleo...
  7. N

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Kigoma North MP, Zitto Kabwe, yesterday named the Minister for Home Affairs, Lawrence Masha, as the one who presented the proposal on how to ruin the business muscle of IPP`s Executive Chairman, Mr Reginald Mengi, at a high ranking meeting involving a number of senior cabinet ministers...
  8. N

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    Pundit i like your comments sometimes but i'm worried if often communicate - plz just learn to use alittle more simple english! Mawazo yangu tu lakini mkuu, heshima yako!
  9. N

    Dr.Slaa ajiandikisha rasmi kuwa member JF.

    mzee, u r warmly welcome! Let us join hands to discuss the future and presents of our lovely country!
  10. N

    Uwanja wa ndege kukodishwa Wachina

    Guys i think this is quite right, kwakweli ni aibu mno kuona viwanja vya ndege vingi ulimwenguni kwa sasa vikiwa vya kisasa zaidi, kuanzia na ASIA,America,Europe na mwishowe ni huku kwetu! Kwa afrika ya mashariki, Entebbe waliufanyia marekebisho wa kwao na kujenga termina nyingine mpya ambayo...
  11. N

    Finland freezing part of its aid to Tanzania

    It doesn't bring sense, such little money will never scare anyone! Fisadi mmoja anaweza kuwa na more than that in the account! Hawezi jali hata mara moja hako ka fedha kakiwa frozen! Kweli jamani - logically hiyo fedha out of 31mil si kitu ati!
  12. N

    Africa Ni Bara La Giza

    Mkamap, Trust me, nimekuwa nikifikiri sometimes the same - ukianza kuangalia benefits zote walizo nazo viongozi wa Tanzania kwamfano kwa ngazi ya Raisi, makamu na waziri mkuu! Haingii alkilini kuona mtu bado anakurupuka kukwapua hata kidogo ambacho yamkini kingemsaidia kusomesha watoto wa...
Back
Top Bottom