Wana JF
Nimeona picha ya Meja General Gaudence Milanzi, aliyeteuliwa na kuapishwa na Rais hivi karibuni kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, kwenye blog ya Mpekuzi Huru, ikanipa Maswali.
Kwenye picha hiyo ( ambayo nimei copy na kupaste hapo chini tena), Major Generali Milanzi...
TAFADHALI VYOMBO VYOTE VYA HABARI!
Kwa kuzingatia uzalendo na maslahi ya umma, kwa kumwogopa Mungu na kutumia vipawa na previleges zenu kama wanahabari, tunaomba muitawanye, muandike kwa mapana na kuhakikisha kuwa kila mtanzania, wakuangalia TV, Radio, magazeti, blogs nk, wanapata hotuba ya...
Wana JF
Habari za uhakika nilizozipata hivi punde ni kwamba Manji amekunywa sumu kwa nia ya kujidhuru, hivi sasa anakimbizwa aghakhan hospital kwa matibabu!
Tahadhari kwa vyombo vyetu vya usalama..anaweza kuwa anafanya kamchezo alikokafanya siku za hivi karibuni ka kujifanya...
Habari za kuaminika toka kwa jamaa yangu ambaye ni polisi -FFU pale morogoro amesema kuna vurugu kubwa sana zinaendelea, wazazi wamevamia mashule wanapiga wafanyakazi wa afya, na wamemwaga dawa za chanjo zote. Polisi imewalazimu kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia hizi.
Hivi ni chanjo...
It may sounds ridiculous but hey, kujifanya unajua kumbe hujui ni upumbavu!
Can someone explain Rep Power to me and may be to the advantage of other members, I know it is probably quite simple but at the moment it eludes me.
Wapiganaji, nimepenyezewa taarifa hii na wafanyakazi wa ATCL- Haitii kichefuchefu bali ni kinyefunyefu! Hebu tuijadili!
Sisi wananchi tuliyo ndani na nje ya ATCL tumeona hatuwezi kukaa kimya tukiangalia jinsi kampuni inavyoangamia kwa ufisadi wa kisayansi.
Ufisadi wa kisayansi kwa sababu...
Ndugu zangu
Moyo wangu unataka kupasuka kwa uchungu na machungu ya huyu wanayemsifikia kuwa ni Mtengenezaji wa Mafisadi (King Maker!)
Naomba wale Investigative Journalist na yeyote anayeweza kupekua tunataka kujua details maana issue ni ya ukweli. KWamba,Serikali yetu ilikopa mafuta toka...
Habari nilizozipata kupitia kingo za ukuta za kuaminika, viongozi waandamizi wa Habari Corporation wameanza kujiuzuru mmoja mmoja baada ya kushinikizwa na Rostam Aziz kumsafisha kupitia magazeti yake! Maanayake Habari Corporation imeshaanza safari ya kwenda makaburini kujizika!
Chanzo changu...
Quote toka Gazeti la Tanzania Daima
Lowassa achimbwa
na Mwandishi Wetu
SIRI zinazohusu utajiri na mipango ya baadaye ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tisa wa Tanzania, Edward Lowassa, baada ya kuachia wadhifa wake kwa kutajwa katika kashfa ya Kampuni ya Richmond, zimeanza kufichuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.