Search results

  1. M

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    H Habari Je Umefanikiwa tiba. Nina mdogo wangu anatatizo kama Lako Naomba kujua Kama Umefanikiwa utujuze twende wapi my namba 0786855280
  2. M

    TUITION TUITION TUITION

    KARIBU TUITION TEGETA NYUKI TUNAFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI PHYSICS MATHEMATICS CHEMISTRY KWA WANAFUNZI KUANZIA KIDATO CHA KWANZA MPAKA CHA SITA PIA HOME TUITION TUNATOA KWA MAELEWANO MAALUMU. KWA MAWASILIANO TUMA UJUMBE KWENYE NAMBA 0786855280
  3. M

    KUIBIWA VIPULI VYA GARI CARINA

    Salaam Wakuu.... Usiku wa kuamkia jana niliibiwa vipuli vya gari aina ya Caina Ti T711 DEH Kwakuwa jamii forum ni mtandao mpana nimeona ni vema kuwajulisha ili ambao mna magari mkawa makini msije kukutwa na yaliyonipata.. Vifaa walivyoiba ni side mirror,power window na taa za nyuma, vifaa vyote...
  4. M

    True story: Kila msichana nikitaka ku date naye nahisi ana UKIMWI

    Kuwa na mmoja aliyemwaminifu by the way si unamke wewe. Wasalimie Mafinga. Piga kazi acha michepuko
  5. M

    Sheikh Mkuu DSM: Diamond acha utani na Mungu, utapotea

    tumia kiswahili her own business ndo nini khaa
  6. M

    Kwa wafugaji kuku wa kienyeji kibiashara

    Nipo Dar nahitaji mayai ya kanga
  7. M

    Kwa wafugaji kuku wa kienyeji kibiashara

    Mkuu kwa dar naweza pata alovera wapi?
  8. M

    Waziri Kairuki amkingia kifua waziri mkuu, aongeza muda wa uhakiki NIDA

    Vuta subira zoez linaweza kukamilika october na kukamilika kwa zoez hakuna uhakika wa hayo uyaombayo cha msingi nikuwa na subira na kumuomba sana MUNGU
  9. M

    Press kuhoji utolewaji wa ajira mpya. 15-10-2016.

    Duuuh. Sababu ya kuhoji ni nini maana ajira zitatoka baada ya zoez la uhakiki kuisha
  10. M

    Natafuta Mwalimu wa kunifundishia mtoto wangu nyumbani

    Sio ujanja nauwezo wa masomo matatu physics chemistry na math
  11. M

    Natafuta Mwalimu wa kunifundishia mtoto wangu nyumbani

    Kama upo serious nicheki kwa 0786855280
  12. M

    Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Source Mimi mwenyewe nabahatisha ikifika october tunajipa moyo november n.k
  13. M

    Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Mabadiliko ya salary tusubiri october
  14. M

    Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Okay poa
  15. M

    Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Mpo kufurahisha jukwaa tu. Mteja aliye serious huwa acomment zaidi ya madalali. Umewekewa namba unataka nn zaidi.
  16. M

    Kiwanja kinauzwa Kibaha

    ungakaa kimya hiko ungepungukiwa nn. Hakukuwa naulazima wa ww kucomment.
  17. M

    Kiwanja kinauzwa Kibaha

    Ungeanzisha thread kuuza shamba lako hilo. Muwe mnajitambua lol
  18. M

    Kiwanja kinauzwa Kibaha

    U Geanzisha thread yako kuuza hicho chako. Mnaboa sana
  19. M

    Kiwanja kinauzwa Kibaha

    huyo ni mpuuzi hajapiga simu achane naye hajielewi
Back
Top Bottom