Search results

  1. dasenior

    Ukweli mdogo kuhusu alliance in motion global

    Ninafikiri hakuna asiyefahamu kuhusu ALLIANCE IN MOTION GLOBAL, Basi hizo picha hapo chini moja wapo inayomuonyesha Donald Trump akiwa ameshika hilo bango linaloonyesha Food Supplementary za Kampuni hiyo (Nilitumiwa na Rafiki anayejishughulisha ba biashara hiyo akiwa katika kunishawishi). Kwa...
  2. dasenior

    Mbinu za kufuata ili uweze kutumia unofficial whatsapp bila kuwa banned

    Habari zenu wakuu!?.. ________________________ Uzi huu ni maalumu kwa wale ambao walikuwa wanatumia Unofficial Whatsapp kama GBWhatsapp,YoWhatsapp,FMWhatsapp n.k kisha wakajikuta wanakula (BAN) bila kutegemea wala kutarajia. Nitakupa ujuzi nini chakufanya kulingana na uzoefu wa matatizo ya...
  3. dasenior

    01Apr inaboooaaaaaarrghhh!!!

    Sijui ni nani aliyeanzisha hii siku ya kipumbavu ya wapumbavu?,Kila kitu unaweza kuona ni upumbavu tu,uongo tu.Hata ukiletewa taarifa za mkeo anakucheat jua ni uongo tu,ni upumbavu tu.Ni siku ya kuwa makini ikiwezekana zima simu halafu jifungie ndani(Ushauri wa bure) ili usimkie mtu wala...
  4. dasenior

    Kuna SIRI gani hapa???...

    Nimeshuhudia mara kadhaa baadhi ya watu wakizinunua hizi shilingi,Huwa hawaelezi kuwa wanazifanyia kazi gani.Sasa wadau ninaomba tusaidiane kung'amua hizi shilingi zina siri gani???.
  5. dasenior

    Tecno P6 imenizingua

    Kuna mtu nilimuachia,Nilipoichukua kutoka kwake ikaanza kunidai Privancy Protection Password.Nikaona sio ishu sana kuepusha shari niende kuiflash tu maana kila tarakimu niliyojaribu kuingiza ilikataa.Sasa nimeiflash ila tatizo lipo palepale,Kwa ambae anafahamu universal Password za ku-unlock...
  6. dasenior

    Foundation Course

    Wana JF ninaomba maelekezo kuhusu Foundation Course na jinsi ya kujiunga na hiyo Course.
  7. dasenior

    Mti wa Ajabu

    Sio mtaalamu wa masuala ya misitu ila kwakuwa ninautimamu wa akili ninaweza nikagundua vitu mbalimbali katika mazingira ninayoishi,mfano ni huo mti hapo. Huo mti upo maeneo ambayo ninapita pindi ninapoelekea katika shughuli zangu za kila siku sio mbali sana na nyumbani ninapoishi. Mara nyingi...
  8. dasenior

    Tecno Android® gani ipo vizuri na haisumbui???

    Ninahisi kuchanganyikiwa aseeh ninaombeni msaada wenu.
  9. dasenior

    Umefika Muda Vijana Kufanya Mabadiliko ya Utawala.

    2015 zamu ya Chadema.
  10. dasenior

    "Nyama nisile hata mchuzi Nisiunywe"

    Jamaa mmoja bana alikuwa anafukuzia demu kitaani bila mafanikio,kila akimvizia demu anabana hataki kusikia la mnadi sala wala sauti za kanisa. siku moja jamaa ikabidi atimbe hukohuko kwa demu anakoishi na kumkuta demu anafua viwalo vyake vya ndani yaani chupi,na mazungumzo yakaya hivi:-...
  11. dasenior

    demu yupi atanifaa eti?

    Ni kati ya mademu wawili na kila mmoja anatabia yake,na mbali na hao niliwahi kuwa nao zaidi ya hao wa3 ila kupitia mchujo wangu hiyo ndiyo top2 yangu!,... Sifa zao ziko hivi;- 1-anadeka halafu 24h/week anataka akipiga tu akupate na umpigie muongee tu hata kama hamna la maana la...
Back
Top Bottom