Asante san mkuu maana na mimi nina changamoto kubwa sana maana kwa sasa nahitaji marine board 100 kwa ajili ya slab na kila moja ni 48000 sasa kwa nini nitumie hela yote hiyo kwa ajili ya kazi ya mda mfupi tu basi....
Haya sawa nitatoa rushwa ila nakukamatisha ufukuzwe kazi so nani anakuwa ame loose??Nahitaji huduma na unalipwa mshahara so shida ipo wapi hasa??Hata kama ni bongland mama mnamuweka chini sana.....
Hajui na ana akili za kijinga sana...Hajui hata hizo hela za kununua ATCL zinatoka wapi hafahamu kabisaaa hata kidogo....ila wamezoea kuwaendesha watanzania na wanakaaa kimya....Kodi zinalipwaaa na inabidi wafanye kazi inavyotakiwa...Huyu jamaaa mjinga sanaaa
Hiyo rushwa kwa nini nitoe rushwa kwa huduma ambayo nimelipia hivi watanzania mpo dunia gani lakini??Yaani keep change serious??Natoa kwa kupenda na sitaki connection....
Hana akili kabisaaa huyu jamaa na hajui shida tunapitia au kupata....Leo simu ngapi wamepokea ofisini kwao??Kwanza ile number yao ya mobile wameweka kwenye website ipo off haipatikani na landline ndio kabisaaa hawapokei.....
Huna akili kabisaa wewe na tunajuwa unafanya kazi hapo ndio maana unashabikoa huu upumbavu.....Na endelea kufanya hivyo ila mtabadilika na tutaleta watu wafanye investigation happ bila nyinyi kufahamu na tutatoa evidence piaa subirini tu....Mtu kama wewe huna akili kabisaa hata kidogo....
Kaka sasa tutaishi maisha ya connection kwenye swala kama hili huoni kama.ni rushwa hiyo??Why connection??Huoni kama ni mbaya sanaa....Yaani ni book ticket na nilipe hela na nahitaji connection kweli ni sawa??
Wanadharau hawa watu vibaya sanaaa tena sanaaa alafu wanajiona wenyewe ndjo kila kitu....Me nitaenda ofisini nataka niende wanijibu kwa dharau then tuone itakuwaje.....Maana nimeona sana na hili swala Serikali wanafatilia tayari...Alafu mpo humu mnasema hampati wateja sasa hao wateja watakuja...
Na wote mtafukuzwa kazi....Nani amesema swala la tunataka attention hapa....Mnapigiwa simu hampokei na mnakata na kuongea kwa dharau so unatakaa tukae kimya??Basi mtupe ticket za bure then mtoe dharau mjinga sana wewe.....
Nimehuzunika sana kaka....Hawajali wala kujua watu wanapiga simu ila mwisho wa mwezi wanalipwa hela so wote watolewe hapo ofisini kuanzia Manager na wacha tuta deal nao hamna neno
Ndugu zangu naomba nitoe la moyoni kuhusu Air Tanzania Head office. Kama wakisoma na wakikasirika ni sawa tu. Sio wote humu ndani tunaishi Tanzania tuna book ticket online tunahitaji confirmation kuhusu ndege na kila kitu ila ukipiga simu kwanza wafanyakazi wana dharau sana tena sana na pia...
Nasikia Musukuma yupo vizuri sana tena sanaa...kuna siku niliona youtube ana appartment zake kama kijiji acha kabisaaa na zote kapangisha na mfugaji mkubwa sana wa ngomba pia na ana mabus mengi sanaaa
Sio kuzinguana hiyo ni pay back maana nadhani mwaka jana alikuwa na demu kwenye appartment sasa haijulikani ilikuwa yule demu akaanguka kutoka juu mpaka chini na kufa na alikuwa na huyo jamaa na jamaa akazingia kwamba ameanguka bahati mbaya tu...Si unaona sasa hapo watu wamelipiza sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.