Search results

  1. T

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Debate Watanzania hatujui BILA kuwa na MATUSI personal. Mtei (pamoja na kuwa sijali udini wako wangapi wakristo au waisilamu wala sikufikiria) ila hoja yake hapa ni composition ya team. Sasa badala ya kujadili hiyo hoja anatukanwa kuwa amefilisika kimawazo?? Tena ndio kauli za VIONGOZI wetu...
  2. T

    EL; RA & AC Wamtunishia Misuli JK: Wagoma Kujibu Barua

    EL kama ana akili ataachana KABISA na hizi mambo za kuwa Kiongozi CCM. CCM na EL wacheze wafanye nini EL hawezi kamwe kupewa nchi na Watanzania. Watu wawe makini ni vizuri ila mwenye kuangalia mambo yote kwa makini ni dhaihiri hii ndoto haiwezi timia. Hawa BOY II MEN ni kama Tony Blair wa UK...
  3. T

    Bongo Star Search (BSS) na mshindi mzungu!!

    Ukaburu ni Ukaburu tuu. Ukaburu hauwezi kuwa mbaya wakati anaeonewa ni Mwafrika tuu. Hata ukiuelekeza kwa yule asiye na sura na hulka kama zako, huo bado ni ukaburu. Tuache fikara za kutupa viwango vya chini kimafikara. Mtu apewe heshima kutokana na utu wake, mwelekeo wake na huduma zake kwa...
  4. T

    Utetezi wa Mwakyembe: Hoja zangu katika PDF

    Hayo yote yapo sana. Mimi nilisoma na Waburundi waliokuja kukata Mkonge (Ukubwani nimkuja kujua walikuwa WaTutsi). Wengine walifika elimu za juu wengine walikuwa jeshini polisi na very succesfull, na hapo baadae nikasikia walienda Rwanda kwenye vita, some came back some sina data nao. Wengine...
  5. T

    Kagoda: Ni Rostam

    Haya ndio Maswali CCM wajibu na KIGODA na Mwakyembe. Sio kutupa viini macho vya KIKABURU na UFISADI mtupu
  6. T

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Siku zote huwa hoja za Mwanakijiji naziona nzito, za Kizalendo na za Kujenga! Hili hapa ni completely the opposite! Wewe ukianza na Wachaga, utaishia na nani?? Kwanza Wachanga unawajua vema?? Unajua kuwa wanaitwa Wachanga ila kwao Kilimanjaro ni kama Makabila 8 hivi au hata zaidi?? Haya...
  7. T

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Ukweli ni kuwa RA ni FISADI, period. Yes ni hard working, kwenye UFISADI. Dr ni , well, mwana CCM ila yes na yeye amesema maneno ya KIKABURU, kwa hiyo na yeye ni KABURU na inabidi awithdraw hizo statement zake kama anataka kuchukuliwa kama serious leader. Hizi siasa za KIKABURU za "uzawa"...
  8. T

    Mkutano wa Mwakyembe na Hoja za Mgongano wa Maslahi

    Someni KATIBA ya nchi Sifa za kuwa Rais wa Tanzania. Sifa za mtu kuchaguliwa wa kuwa Rais 39.-(1) Mtu hatastahili kuchaguliwa kushika kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano isipokuwa tu kama- (a) ni raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano kwa mujibu wa Sheria ya Uraia. (b)...
  9. T

    BoT hit by another mysterious cash loss

    Ndio Wazalendo hao wenye kujiita wenye nchi! Nina hakika hapa JF sio dua la kuku ! Hiki kilio kitabadilika, nina imani hiyo. Huwezi mgandamiza Binadamu endlessly. They will always reject and fight back. Hiyo sio sheria yangu. Ni sheria ya kibinadamu na history has proved it time and again.
  10. T

    Utetezi wa Mwakyembe: Hoja zangu katika PDF

    Tuache ushabiki ndio maana hatufiki mahali popote tunaishia kubadilisha mvinyo toka chupa nyingine hadi nyingine kutegemeana na nani anaongea na ametokea kundi gani. 1. Did Dr do a brilliant job with his committee - YES , sana and brave 2. Did the PM resignation happen rightly or wrongly - It...
  11. T

    New revelation, Dowans in huge debt

    Two wrongs don't make a right! Haya ndio matokea ya kufutwa kwa maadili ya Uongozi yaliowekwa chini ya Azimio la Arusha. We need these rules back and in full swing! Yes Mwakyembe did well to lead efforts to uncover the Richmond with his team and we all salute that, but how on earth can he...
  12. T

    Kagoda: Ni Rostam

    I believe even any citizens can sue them! Watu wa sheria watupe shule za upesi otherwise we can get the details za uhakika kwa kutafuta nyaraka. I say, the whole chain where items disappears and can be proven they have disappeared, then action can take place. This issues is not yet done deal...
  13. T

    Kagoda: Ni Rostam

    BUSARA ZA OBAMA (soma chini) ZINAAPPLY DIRECT KWA NCHI CHANGA KAMA YETU, TENA KWA MISINGI TULIOWEKEWA NA WAASISI WETU. We the people of Tanzania, will sail through these abuses we are witnessing. There is a Leader in Obama, and he is the one. For Tanzania, and Africa, the people, will get there...
  14. T

    Kagoda: Ni Rostam

    The enemy of Tanzania is not a person nor an institution. The enemy is the system which is made from ground up. The values ingrained in the system, the culture, the attitudes etc are full of corruption, and grand corruption tendencies. Uroho wa madaraka!. If everybody fights this, nothing is...
  15. T

    Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

    Mkuu - nipo nawe na pia nakubaliana nawe kabisa. Nadhani tunaongelea hilo hilo juu ya Umoja wa Upinzani, unless nimekusoma tofauti. Kampeni sangara ni vizuri kuona wanagusa mawazo toka humu ndani. Safi. Unalosema juu ya Uongozi shupavu pale juu ni kweli. Anahitajika JKN calibre ila mwenye...
  16. T

    Kagoda: Ni Rostam

    I predict this is it. It the start of the public and open defiance for the day time oppressions in Tanzania and the falling of those who plan to keep the ordinary Tanzanian down down and down. Unajua, uzuri ni huu mmoja. Huwezi mweka binadamu chini for too long. History imeprove hiyo time and...
  17. T

    Warioba afichua siri nzito

    Mkuu Mkandara... Mimi huwa nimekuwa nikimpa huyu Mzee wetu heshima kubwa tu, pamoja na anavyosemekana anapenda sana "chupa". Siku zote huwa nafurahishwa kusoma jinsi anavyopiga vitu hujuma mbalimbali. Nimemshangaa sana alipoanza kusema Dr Slaa akae kimya! Nihivyo hivyo nawashangaa hawa wenye...
  18. T

    Warioba afichua siri nzito

    Exactly my questions
  19. T

    Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

    Nisingependa CCM ivunjike au ijimegue kwenye kipande kingine. Ningependa iwe united in whatever they believe in and try to achieve. Ningependa wale wote wa Mbadala (kama ndugu yangi John Mwanyika anavyopenda kusema), wapate muafaka wa kukaa pamoja na kuwa na sauti moja. [1] Bila shaka kuna...
Back
Top Bottom