Search results

  1. J

    Vipaji kwa vijana Manispaa ya Kinondoni kutoka kwa Diwani Boni

    VIJANA WA KINONDONI KUNUFAIKA - Women 4 Women Tanzania
  2. J

    CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

    Hivi ile arusi yako uliyotutangazia inafungwa lini? buhahahahaaa
  3. J

    CCM wajiandae kumlipa Tundu Lissu millioni 76

    Hahahaaa JF huwa mnanipa raha sana
  4. J

    BAVICHA ni roho ya chama: Jemedali nimerudi kurudisha mapambano, chagua mwenyekiti Mshinga

    wewe nimekupenda ni mzalendo na kamanda wa kweli
  5. J

    Clouds TV yamzalilisha binti wa miaka 17

    Ndo uelewe kuwa bado mdogo hata upeo wake ni mdogo na hawa clouds wakamshukia kwa hizo weakness zake
  6. J

    Clouds TV yamzalilisha binti wa miaka 17

    Kama wamefanya hivyo jamani wanaharakati embu mnusuruni huyo binti apate haki zake, maana wamemdhalilisha kwa udhaifu wake. Hizi media nyingine nazo zinabidi ziwe zinafanyika semina za kuwakumbusha hasa hawa wenye talk shows. Mbona last week wanawake live waliweka clip ya mtoto na wakamficha...
  7. J

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    Najua wote tunamfahamu vilivyo na zaidi huyu mtu amekusababishia mabadiliko fulani katika maisha yako, yanaweza kuwa Chanya au hasi. Ningependa kila mmoja anitajie mazuri mawili ya JK na mabaya mawili ya JK. Natanguliza kuomba ushirikiano na kukutaarifu ya kwamba sitaishia kwake bali...
  8. J

    New member

    Nawashukuru wote, nilikuwa napitapita huko kuangalia mazingira. Alhamdulilah rabilahmina nimeburudika nafikiri nitakuwa mwenyeji mwenzenu yaani nimevutiwa kurudi kwetu sijisikii
  9. J

    Tutani

    Asante sana kakangu kwa msaada naomba usichoke kunijibu maana umenifungua zaidi ngoja nianze process hizi. Be blessed
  10. J

    Tutani

    Nafikiri ndivyo maana kabla ilikuwa nayo sasa katika kuedit bila kujua nafanya nini zaidi ya kutafuta muonekano mzuri wa macho yangu. Ngoja nilifanyie kazi kidogo, nakuhusu nimefungulia wapi ni hapa Tanzania na ni joofree@blogspot.com
  11. J

    Tutani

    Naombeni msaada wenu, nimefungua Blog yangu inayohusu maswala ya elimu na biashara. Swali langu ni jinsi ya kitufe cha komenti wakati mtumiaji anatumia simu, nimejaribu nikakuta inanionyesha pale kwenye kuchagua kati ya anony au zile option nyingine zinajificha na huwezi publish email bila ya...
  12. J

    New member

    Helow, you hear me........ Thanks pombekali maana hizi lugha za watu tunazing'ang'ania na maulimi yamebaki vipisi kwakujing'ata lakini tumo tu
Back
Top Bottom