Search results

  1. J

    Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana

    Kwani na wewe si ulikua mawindoni, wote mlikua eneo moja la tukio mnawinda. Pambaneni na hali zenu, msituchoshe
  2. J

    Wanawake na matiti yao...

    Mxiiiiiu
  3. J

    Iphone 4S inauzwa

    Current iOS ni 7.1 na inawork to iPhone 4s
  4. J

    Kinachodumisha mapenzi hiki hapa...

    Ha ha ha hahaaaaa loh "ng'ong'ozo" wat a name??u'v made my day :)
  5. J

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Udini upo kwako!na hayo ni matatizo yako bt the idea presented by CDM ni nzuri! Cha muhimu kuendeleza nchi yetu sio kila kukicha watu wanakimbilia Dar tu na sehemu zengine ziwe na uwezo wakuvutia watu kuishi na kupata huduma sawa na si kujazana Dar tu!
  6. J

    Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    Haya bwana washatuona cc ----- kila siku kutudanganya...aliemteka Dr. Ulimboka mkenya,haya leo hawa wamekamatwa Kenya!!...
  7. J

    King'amuzi cha IPP (Digtek) kuanza rasmi Jumatatu!

    Alikua anajipanga cha kuleta kwenye huu ulimwengu wa soko huria. Hata ww unaweza kuanzisha cha kwako! Sio lazima ununue...tafuta utakachokua na uwezo wa kununua. Kumbuka vizuri gharama
  8. J

    DCI Manumba akata kauli

    Hapo sasa!!!!
  9. J

    Haya ni mtokeo ya kupiga simu wakati unaendesha gari

    thanx kwa kutukumbusha. bt that was soo sad
  10. J

    leo temeke haibu tupu!!

    nimependa sana comment zako..kuna ''post" zengine hadi kero kusoma kutokana na makosa ya matamshi yanayohamia hadi kwenye maandishi!.... ni lugha yetu namba 1 basi tujitahidi jamani
  11. J

    Startimes wameiachia EATV

    mayb kina low standard/quality....ndo maana anasitasita...king'amuzi chenyewe ukikaa sehemu kuna tall buildings tabu tupu.
  12. J

    Hii ni sawa jamani!? [Kwa wanaume tu!]

    hovyoo...umeelewa kweli
  13. J

    Mgomo: Madaktari waiangukia serikali!

    kwani madaktari ndo waliwaua hao unaosema wakaombwe msamaha...wa wapi ww!hovyoooo
  14. J

    Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    hii nchi kizungu mkuti jmn...tutajuaje kama ndo mbinu yakutaka kuzima kilichotokea iringa,na kuconcetrate kwa hili???...usanii tu.am tired n sick of ths country
Back
Top Bottom