Search results

  1. Sukununu

    Lini NHIF itatoa rasmi tangazo kuhusu viwango vipya vya Bima ya Afya kwa watu binafsi?

    Kuanzia tarehe mosi Septemba mwaka huu NHIF walisimamisha usajili mpya wa bima ya afya kwa watu binafsi, na vilevile kusimamisha kulipia, kwa wale ambao bima zao zimekwisha muda, hadi hapo watakapotoa utaratibu mpya. Suali kwa NHIF: Watu ambao wameshindwa kulipia kwa sababu ya "zuio" la NHIF...
  2. Sukununu

    Zitto Kabwe kupeleka Bungeni hoja binafsi ya kutokuwa na Imani na Rais Magufuli

    Tanzania buana, sina hamu nayo :-) Vyama sasa hivi vipo bize kuwaonyesha "raison d'etre" wapiga kura.... kwi kwi kwiiii Hoja= zero/sifuri/nada/zilch!
  3. Sukununu

    Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

    Kama Che-N'kapa alisema kuwa Vincent siyo mwanafamilia ya Julius Nyerere alimaanisha familia ipi? Nucleus family ya Kambarage (yaani Mama Maria na watoto wake) au extended family ya Kambarage, ambayo inahusisha watoto wa siblings wake, kama Josephat na Joseph na wale wa wake wengine wa Chifu...
  4. Sukununu

    Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

    Kati ya Julius Kambarage Nyerere, Joseph Kizurira Nyerere na Josephat Kiboko Nyerere, nani baba yake Vincent Nyerere. Au wote kwa mpigo:thinking:[/FONT][/COLOR]
  5. Sukununu

    Balozi Mulamula aula ikulu

    Duh!:frown:
  6. Sukununu

    Mgomo wa madaktari - Updates

    Kwa hiyo ndio maana madaktari wamegoma... kutokana na maoni ya wasomaji wa The Guardian UK, ambao, by the way, wanaweza kuwa ni watanzania waliopo bongo! Unachohitaji ku-register kwenye tovuti na kuandika unachopenda, regardless of where you are!
  7. Sukununu

    Mgomo wa madaktari - Updates

    Madai ya msingi ya madaktari ni halali kabisaa. Ukosefu wa vitendea kazi Mazingira magumu ya kazi (na ya kujifunza - kwa Ma-Interns) Mishahara/posho ndogo Tatizo la madaktari waliopo mafunzoni kutolipwa posho zao lilikuwa uzembe wa watendaji wakuu wa wizara ya afya, ambao tayari...
  8. Sukununu

    Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

    Baada ya hawa wawili kuondolewa (kama wataondolewa) jamaa watadai Pinda na Kikwete pia waondoke! Kama madai ya msingi ni mishahara/posho, vitendea kazi pamoja na mazingira mazuri ya kufanyia kazi, suala la viongozi wa kisiasa kuondolewa linakujaje, ikitiliwa maanani kuwa watendaji, Katibu Mkuu...
  9. Sukununu

    Ze Utamu blogger under arrest?

    Mkuu William, Poleni na mambo haya. Kama ni kweli kuwa Peter anasingiziwa basi tumwombee ili aepushwe na matatizo ya kupakaziwa. Labda ungemuuliza kwa nini amefunga akaunti yake ya www.hi5.com [hii hapa] kama alivyojieleza kwenye website [hii hapa]. Je, Peter ni raia wa Tanzania au Uingereza au...
  10. Sukununu

    Ze Utamu blogger under arrest?

    Dah! Wageni wengi sana leo :-) Currently Active Users Viewing This Thread: 193 (57 members and 136 guests)
  11. Sukununu

    Ze Utamu blogger under arrest?

    True, Huyu bwana aliacha track zake sana kwenye blogu yake ya rudepichaz, tena kwa initials zake za mplusinde!
  12. Sukununu

    Katibu mkuu wa Wizara ya Afya lawamani (Blandina Nyoni)

    Hansard za kikao cha Bunge cha tarehe 30 Januari 2009. Soma ukurasa wa 10 onwards. [Press here to download them] Quote from the hansard:
  13. Sukununu

    Katibu mkuu wa Wizara ya Afya lawamani (Blandina Nyoni)

    MwanaHALISI angesaidia sana wasomaji wake kama angetoa "Job Description" ya Medical Attache kwa sababu watu waliotajwa katika habari hii ni madaktari, japo kwa viwango tofauti. Huyu Dr. Chale ninahisi atakuwa ni Dr. Stella Chale ambaye ni daktari bingwa pale Muhimbili upande wa Internal...
  14. Sukununu

    nahitaji msaada na nokia n96 tv tunner

    The cellphone cannot receive analog, DVB-S or DVB-T signals (S=satellite, T=Terrestrial). DVB-H (Digital Video Broadcasting - Handheld) transmission is a prerequisite for cellphones with DVB-H receiving capabilities to receive TV signals. The TV station has to transmit in DVB-H format for your...
  15. Sukununu

    Dk Slaa kuanika hadharani nchi nzima posho za wabunge

    Nampongeza Dr. Slaa kwa uamuzi wa busara aliofanya, na ninamuombea mafanikio katika kuhakikisha kuwa malipo ya wabunge yanakuwa fair na siyo kuwanyonya wananchi. Hata hivyo nina masuali machache: Dr. Slaa mwenyewe amekuwa mbunge (na hivyo kupokea marupurupu hayo) tangu mwaka 1995. Yaani baada...
  16. Sukununu

    Rehema Mwakangale hayupo nasi

    I never knew the presenter at personal level but through ITV she became part of the regular faces in our living room. Our prayers and thoughts are with the bereaved family. May God console you during this hard time. Amen
  17. Sukununu

    Singer Isaac Hayes is no more

    Soul singer Isaac Hayes, 65, is dead THE ASSOCIATED PRESS Updated Sunday, August 10th 2008, 3:44 PM Pereira/WireImage Isaac Hayes performs during the 30th Celebrate Brooklyn Summer Season on June 12, 2008 at the bandshell in Prospect Park. A family member found Hayes unresponsive near a...
  18. Sukununu

    Captain George Mazula wa Air Tanzania afariki dunia

    Aliyetekwa na akina Yassin Memba ni Deo Mazula, kaka yake Merehemu George Mazula. RIP Brother George
Back
Top Bottom