Search results

  1. G

    Mtangazaji Nguli wa VOA, Mwamoyo Hamza, Azangumzia Mchakato wa Kumuondoa Rais Trump Madarakani, Ateleza Ulimi Kuhusu Idadi ya Kura za Kumuondoa

    Was Clinton impeached au ndio kuteleza kwa ulimi? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. G

    Maiti mfululizo zaokotwa katika Beach kubwa za Mkoa wa Dar ndani ya mwezi

    Bifu na serikali na kuokotwa maiti coco kuna uhusiano gani?
  3. G

    CCM muombeni Mh Rais aongoze kipindi kimoja tu apumzike

    Tunahitaji supreme Court ipitie haya matokeo ha ha ha bao la mkono
  4. G

    DAR: Zitto Kabwe(Mb) akamatwa na Polisi akiwa Uwanja wa Ndege akitokea Kigoma

    Kwani kile kipaumbele cha viwanda wamekiacha?
  5. G

    Uchambuzi wa The Citizen kuhusu majadiliano ya Acacia

    Hapa kuna shida, what you a calling undisputed scientific evidence which are results ya test zilizofanywa na lab iliyotumiwa na serikali hazifanani na results za tests zilizofanywa na ACACIA from more than one international accredited labs! au ndio janja yao?
  6. G

    Uchambuzi wa The Citizen kuhusu majadiliano ya Acacia

    ON 2012 GNT the government have another chance to renegotiate afresh, With the owner of PAN AFRICA at Lupango for Escrow scandals I don't think his current situations will allow him to make any conditions! The government should kill two birds by one stone. Hatuna haja ya kumwangalia huyu mtu...
  7. G

    CUF yatinga Mahakama Kuu kuwashitaki AG, NEC, Lipumba na wengine..

    Una hakika mkuu unachokisema? isije kuwa kama yale ya haki ya Zanzibar inakuja wakati ukweli utabaki kuwa uchaguzi ndio umekwisha hivyo tusubiri 2020, labda tujadili kama haki na sheria vinaendana kwani saa nyingine vipo opposite kabisa!
  8. G

    Tetesi: CUF: Lipumba kuwafuta uanachama wabunge wote wa kuchaguliwa majimbo yote ya Bara

    Kuchaguliwa tena? sijui kama itakuwa rahisi kwani CCM sio Ile ya 2015 sasa hivi watashinda hata kwa nguvu yaani ni ubabe usipime. Maalim Ana option moja ampigie magoti lipumba akubali amezidiwa kete yaishe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. G

    Kitu gani hukipendi kinachofanywa na serikali ya awamu ya tano?

    Hiyo pointi number mbili anayeikubali lazima atakuwa mchawi. Watu wote wanatakiwa kuishi kama binadamu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. G

    Kinachotokea kwenye msafara wa Rais Magufuli kinatoa picha gani?

    Vipi ulinyimwa ukurugenzi sio? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. G

    Sukari Tsh 4000 watu kimyaaa

    Sukari hapa geita ampapo ni pembezoni sukari inauzwa 125,000 Kwa mfuko wa 50kg rejareja 2700 hiyo bei ya 4000 ni ya wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. G

    MALAWI: Going to war with Tanzania would be foolish

    The Malawi first President kamuzu Banda once advised Nyerere "Malawi and Tanzania should annex Mozambique" so don't surprised when next they call it lake Blantire! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. G

    Kuna mtu kaniambia hii kauli sijailewa bado ila naomba kwa yoyote aliyeielewa anieleweshe tafadhali

    Unasema mkuu mengi aliimunga mkono mmasai? Then it is a matter of time yatamkuta tu. Not at that extent! Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
  14. G

    Dar es Salaam Chief aendeleza ' chuki ' zake za waziwazi kwa Clouds Media Group

    Hili neno, kila siku natafuta sababu ya huyu mtu kubebwa na mkulu kumbe ni ukabila tu! Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  15. G

    Mpaka sasa madiwani 5 wamehama CHADEMA Arusha.

    Walimpa nafasi yakugombea ukulu! Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
  16. G

    No more dairy products from Kenya in Tanzania

    Can you ask yourself why they do that? Do they still make money after that long trip?
  17. G

    CUF Lipumba yatambulisha Bodi mpya ya wadhamini, yadai kupata usajili RITA

    Ingekuwa rahisi hivyo ingependeza lakini waswahili wamesema 'mafahali wawili hawakai zizi moja' unafikiri Maalim ataiweza Demokrasia? yeye na Lipumba wanafanana tu kwao demokrasia ni wao wawe viongozi wa kudumu! labda apewe uenyekiti wa chadema
  18. G

    Poll: Mikataba ya hovyo ya madini na hasara taifa limepata, je nani alaumiwe?

    Nafikiri tumechelewa, Resolute, Buzwagi na Tulawaka dhahabu imeisha yamebaki mashimo mbaya zaidi hata kufukia hawakufukia, iliyobaki imebakiza miaka kidogo tu lakini bora tuanze sasa kuliko kuwaachia tu. nafikiri sasa tunaanza kumuelewa mh Raisi.
  19. G

    Gwajima: Makonda ni zero brain, amuomba Magufuli kumpangia kazi nyingine

    Oh kumbe ndio sababu, nilikuwa napata shida kuelewa kwa nini mheshimiwa JPM anamkumbatia Makonda.
Back
Top Bottom