Sasa kama wanataratibu walizojiwekea wao wenyewe, hii katiba wanayo iandaa itakuwa ya wananchi au itakuwa yao kwa taratibu zao na matakwa yao. Nisaidieni ama sijamuelewa vizuri.
Swali la dogo la nyongeza kwa mh zzk, Je utaratibu wa sasa wa bunge la jmt wa kupiga kura kwa kuuliza wanao sema ndio na wanao sema hapana ni sawa na unakidhi matwaka ya kidemokrasia. Nini maoni yake, uendelee au ubadilishwe na kuboreshwa ili kuongeza imani ya bunge kwa wananchi?
Maswali yangu kwa mh zzk.
1. Kazi ya utabiri alianza lini? kwani majina karibu yote aliyopendekeza kuwa wajumbe wa kukusanya maoni ya katiba mpya yalichaguluwa na rais.
2.Anatabiri vipi kuhusu umri wa mgombea urais kwenye katiba mpya. Je utapunguzwa ili kumaccomodate au la?
Umeonae ukweli unavyo uma. Siishangai hiyo reaction yako, ila wewe na chama chako ndio uzao wa nyoka, hata kauli za viongozi wenu, tangu kujivua gamba mpaka nyoka wa ndimi mbili, Chama cha uzao wa nyoka. Hebu nitajie majina ya wenyeviti wa jumuia za chama chenu, halafu tutaendelea.
Kwa nini isiwe kampuni nyingine? Kampuni inayo milikiwa na msomali imehusishwa na kusafirisha meno ya tembo. Kumbuka wasomali ni kati ya wahusika wakuu wa biashara hii ya ujangili nchini.
Hebu fikiri ndugu yangu analetwa mgombea wa chama msimu kavaa gwanda kama la mgombea wa chama tishio kwa chama tawala. Hii yote inafanyika kuwachangaya wapiga kura tena wahuko vijijini, kazi kwelikweli.
Kweli nimemkubali yule muimbaji wa super virunga. "jua maisha ni mlima" yaani kauli za viongozi wa upinzani ndio leo hii zimekua mtaji wa kisiasa wa viongozi wa chama dume la mbegu. Tena viongozi wakuu na waandamizi.
Kwa kuanzia tupunguze vyama visivyo na mbunge hata mmoja na sababu ni kuwa havina mbunge hata mmoja. Angalizo hapa si maanishi mbunge wa kuteuliwa, angalau kidogo wa viti maaluumu anaweza kuwa amefanya kazi kuupata ubunge wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.