Search results

  1. B

    Pendekezo: Katibu wa Bunge ajiuzulu kwa kupotosha taifa

    Kwa mtazamo wangu hata spika wa bunge anatakiwa ajiuzulu kwa sababu wametumia budget ambayo haikujadiliwa bungeni hivyo amelidharau bunge.Awajibike
  2. B

    Tamko kwa Jakaya Kikwete

    Maneno haya angesema mzee mwana KJJ kwa sababu muda wote yeye yupo huko kjjn ndio angesema hajui kwa nini TZ ni masikini.Kauli hiyo kutolewa na JK ni kututukana sisi watz.Jk amekua serikali kwa muda mrefu sana,naamini kwamba ni mambo mengi sana anayajua.Kama kweli mtu umekomaa kifikra huwezi...
  3. B

    Kwa nini Master J asiwajibishwe?

    Master J ninaye muongelea ni huyu aliyekua eti Jaji wa Bongo Star Search iliyomalizika hivi karibuni na kushuhudiwa na mamia ya watanzani.Kwa bahati mbaya siku hiyo sikuweza kuhudhuria mpambano huo Live. Baada ya siku kadhaa nilibahatika kuona marudio ya tukio hilo lililofanyika pale Ubungo...
  4. B

    US Naval Bases In Africa (AFRICOM): Sababu, Pingamizi, Faida na Hasara

    Ni jambo la kushangaza sana tena sana,wasomi tena Maprofesa eti wa UDASA,mnasumbua vipara vyenu eti kutaka Bush asije TZ hivi mna akili sawasawa?Hizo sh.billion miasaba mngezitoa wapi,What I believe is that Proffesor has a lot of things to do and not this stupidity things eti Bush asije...
Back
Top Bottom