Search results

  1. I

    Samsung Galaxy S9 na S9 Plus, Muonekano, Bei na Features mpya

    Hivi kuna toleo jipya la Samsung note 10.1
  2. I

    Natafuta nyumba au Chumba

    Natafuta nyumba au Chumba kupanga maeneo karibu na muhimbili,
  3. I

    Binti mdogo kutoka Kenya akijibu kuhusu Watanzania; "I don`t like their Logic"

    Sio kweli, hakuna logic hapo, kubaguana kimakabila Hiyo nayo utasema ni logic kwa Nchi, hakuna walichotushinda, tujipange na Kujiamini tu
  4. I

    Huu ndio ujumbe alioandika Askofu Gwajima akiambatanisha na Picha ya RC Makonda

    Dar inawakazi zaidi ya million 5,wameitwa 65...unafikiri wamekurupuka,tumia akili kidogo
  5. I

    Huu ndio ujumbe alioandika Askofu Gwajima akiambatanisha na Picha ya RC Makonda

    Kaka naona huelewi nini kinafanyika,nikuulize kwanza una ndugu mwasilika wa madawa?kama huna huwezi jua machungu yake,kudeal na mapapa wakubwa ni lazima jasho na damu,lets go makonda
  6. I

    Huu ndio ujumbe alioandika Askofu Gwajima akiambatanisha na Picha ya RC Makonda

    Hakuna urafiki kwenye hii vita,madawa huwa yanauzwa na watu tusiowadhania so hatuangalii sura,lets go makonda
  7. I

    Makongoro Mahanga: Makonda, ukiteuliwa Soma na elewa vizuri mamlaka, madaraka na mipaka yako ya kazi

    Nyie ndo mliotufikisha hapa,huo ushauri wako ushachelewa sasa ni kula sahani moja na wahusika mpaka kieleweke miaka mingi mnazingua tu hakuna linalofanyika mwacheni makonda afanye kazi,huna cha kuchanga kaa pembeni mtachie hii vita
  8. I

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Nashangaa mtu anapanic na hausiki ,sasa kama hausiki nenda katoe maelezo kw1bza police watakusafisha wenyewe
  9. I

    Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

    Binafsi nampongeza sana zitto kw1 h1tua hii,sio hatua ndogo tunahitaji viongozi kama wewe,,,what i know u wil b our president one day belive me,god bless u
  10. I

    Ukweli kuhusu "Kaskazini kuendelezwa na Wanakaskazini"

    Hii mada ni ya kibaguzi,tukianza hivyi tutaishia pabaya
  11. I

    RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    Huna cha kufanya ,wewe na hao maafisa ardhi wote ni wahujumu wananchi...tunaanza kushughulika na nyinyi kwanza,,mmetutesa sana ,kiama chenu kimefika
  12. I

    RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    Nyie watu hamna kzi za kufanya?tumechoka na hawa watu waa ardhi makonda wanyooshe,wanatia hasira tumeshadhurumiwa sana baada ya kuwatetea waliodhurumiwa mnatetea hao wezi ,ujinga sana huo mnaofanya ,inatia hasira sana hasa kwa sisi tuliodhurumiwa...
  13. I

    Ujumbe wa Bashe kwa Rais Magufuli

    Tunataka wabunge wanaopasua vichwa vyao kama bashe asante sana mkuu
  14. I

    Bodi ya ATCL yaivunja Menejimenti ya Shirika hilo

    Safi sana kulikuwa hakuna elimu inayotakiwa kwa watendaji wa juu,wengi wameungaunga,ni vizuri kufukuza wote
  15. I

    Nimenyimwa mkopo MD Muhimbili

    Hujasema muhimbili unasoma nini?na umepata dv ngapi?ili tuvompere na unachokisema
Back
Top Bottom