Search results

  1. Mr. Wise

    Huu Mgao wa Umeme shida ni nini?

    Habari za majukumu! Kuna mgao unaendelea hapa Arusha, Umeme unakatwa asubuhi unarudi saa moja kasoro usiku. Tanesco kwanini wasituambie shida ni nini? Mlituaminisha mgao uliopita ni sababu ya kufanya maintenance, ni juzi tu mkatangaza maintenances zimeisha sasa hii ni nini?Nadhani kuna mahali...
  2. Mr. Wise

    Naomba kufahamishwa vyuo vya afya vya serikali hapa Tanzania

    Habari wana jamvi Samahani ningependa kuvijua vyuo vya afya vya serikali, plz kama umesoma ama umewahi kukisikia chochote naomba nitajie katika huu huzi kisha nivichuje. Je mtoto wa form IV mwenye C-Chemistry C-Biology D-Physics F-Mathematics Anaweza pata nafasi ya kusoma Diploma ktk vyuo hivi?
  3. Mr. Wise

    Wadau site ipi naweza download Movie, Kickass.so Siipati tena

    Kichwa cha uzi kinajitosheleza, natanguliza shukrani zangu. Mnijuze
  4. Mr. Wise

    Barack Obama akiwa na miaka 26

    Muonekano wa rais Barack Obama alipotembelea kijijini kwao Kenya. Nadhani baadhi ya hawa jamaa ktk picha hizi kama wapo hai basi watakua wamezifanya kumbukumbu kua walipiga picha na president before hajawa president.
  5. Mr. Wise

    Sababu kuu mbili za mabinti wengi kuolewa na baba zao/wazee ama vijana kuoa vibibi

    Najua ziko nyingi ila naona kama hizi ndio kuu 1. Umasikini, ama tamaa ya kuzidaka fedha za mali ki wepesi 2. Kutendwa na vijana wenzao, ivyo uamini kua wazee hawawezi kuwatenda. Je umewahi ona binti akiolewa na mtu Mzee ama kijana kuoa Kibibi kwa madai kua ni penzi??
  6. Mr. Wise

    Aisha madinda

    Hivi yuko wapi na anafanya nini kwasasa aliyekua mnenguaji maarufu wa Twanga Pepeta!!alikua ana umbo fulani Hivi, akianza kukata mauno utaitazama tu Twanga.
  7. Mr. Wise

    Thamani ya Fedha

    Wachumi Ebu nisaidieni hapa : Hivi nini ufanyika pale ambapo Taifa fulani baada kuona ela yake imeshuka thamani uiinua na kua yenye thamani, nikichukulia mfano jirani zetu Zambia ela yao ilikua haina thamani ila nimeshangaa ghafla ilifutwa na kubadirika na kua yenye thamani. Je nini hufanywa...
  8. Mr. Wise

    Wireless communictions and networks

    Karibuni wadau mliosoma ama ambao bado mnasoma Telecommunication Engineering, Lets us share ideas What are the main causes of FAST FADING and SLOW FADING, and when we are dealing with these two, Why in Rayleigh Distribution we don't consider LOS, but in RICIAN we do consider? Naona kama...
  9. Mr. Wise

    Support itolewayo na Avatar

    Wakuu nilikua nimekaa nikawaza tu aisee, ingawa jambo nililoliwaza halitaweza kutokea kamwe, What if Siku Avatar zetu zikigoma kuonekakana na kuanza kuonyesha sura halisi ya mhusika!! basi nikahisi kua watu wengi wataikimbia na kuiogopa MMU kama ukoma, haswa mabinti!! Big up to your avatar...
  10. Mr. Wise

    Wiki mbili baada ya kubaguliwa rangi, Mwenzao kanasa kwenye penzi kwangu!!ILA...

    Wakuu, Hawa watu huwa ni wabaguzi wa rangi, ila si wote!Two weeks ago kuna binti mmoja alinibagua rangi kwa kuniita Negro na sababu ya kuniita ivyo ni tulipishana kauli kidogo....Sasa Baada ya wiki mbili mwenzao kazama kwenye penzi kwangu, kwasasa uyu binti imefikia hatua hadi baba yake...
  11. Mr. Wise

    Unatafuta KAZI, ebu jaribu Hapa

    Jaribu kufuata maelekezo http://bit.ly/18mpOhq All the Best.
  12. Mr. Wise

    Cha Kwanza Huwa Hakisahauliki

    Imekua kawaida kwa binadamu mara nyingi kukumbuku kitu chake cha kwanza kutumia ama kufanya, Naamini kabisa wengi wenu mnakumbuka vitu kama Mpenzi wako wa kwanza kulala nae, Simu yako ya kwanza kutumia, Nyumba yako ya kwanza kununua ama kupanga, Gari yako ya kwnza kununua, Kazi yako ya kwanza...
  13. Mr. Wise

    Je Inakuaje, na Kinga lakini mtu kapata Mimba.

    Wana MMU Eeeeeeeeeeeeeeehhhhhh. Ebu tujuzane jamaa yangu kalala na binti, binti alikua bikra siku ya tukio kinga ilitumia,,kinga yote ilitapakaa damu..Leo binti kapima kwa vipimo vile vya kawaida kaambiwa hana mimba, kapigwa picha kaambia anayo ina kama wiki 10 ila hawana uhakika na picha...
  14. Mr. Wise

    Je ataweza kuningojea??Najiuliza Sana.

    Wakuu, Niko abroad nimekuja kufanya masters ya miaka mi2,nimemuacha my sweet girl wangu Tz na ana umri wa miaka 26 now!anajitegemea anafanya kazi na nimemuacha anaishi peke yake,kabla sijaja huku tulitamani sana tufunge ndoa ila ilishindikana,kila mara alitamani mtoto maana tulipokua tukiwa...
  15. Mr. Wise

    Je Mabikra wote mko Hivi

    Wana JF naomba kujua hili,...Kuna jamaa yangu wa karibu tulipokua mwaka wa kwanza chuo kuna binti alimfungua na kumuingiza ukubwani nadhani nimesomeka,tulipofika mwaka wa tatu akawa na mwingine wa form 5, naye alikua bado jamaa akawa mfunguzi tena, jamaa anadai alikua akikereka maana haikua kazi...
  16. Mr. Wise

    New Member

    Brother's and Sister I new here(HOME OF GREAT THINKERS) ...to share things Thanks.
Back
Top Bottom