Search results

  1. dr samg

    Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

    Kuna mengine nimeacha au yananipa ukakasi mf kitubio, kuabudu msalaba nk by the way sina mpango kuhama RC
  2. dr samg

    Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

    Tuko wengi, ulichoandika kina ukweli 100% , nina miaka 3 sasa cjaenda huko jumuiya na sitaki waje kwangu
  3. dr samg

    Je, oil ya petrol italinda kenchi zangu?

    Umenifurahisha sana, petrol ni compound ambayo ni volatile sana, ukiimwaga mahari ni dk chache inakuwa ime evaporate
  4. dr samg

    Transmission filter

    Sijui kama kuna muongozo sahihi, mimi niliifanya baada ya kuona gari inakuwa nzito ilikuwa ni baada ya kukaa nayo miaka mitano na kumwaga gearbox oil mara kadhaa, baada ya pale gari ilikuwa nyepesi sana, ukimwaga oil vila kawaida huwa kuna inayobaki kwenye sample so kama kuna uchafu bas unabaki...
  5. dr samg

    Transmission filter

    Ipo ndani ya sample ya gear box, ibadili tu maana cjui kama una service history ya hiyo gari kama gharama itakushinda au haina physical demage huwa ina namna inaoshwa tu na petrol, kitendo cha kufungua gearbox oil sample ni moja ya service ya gearbox.
  6. dr samg

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Ulikuwepo enzi za mercy?
  7. dr samg

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Underground ya bweni la mkapa na kule uwanja wa basket ball
  8. dr samg

    Shida ni nini? Mishipa ya damu inadunda sana na moyo kwenda kasi mpaka nauskia

    Baba njoo tu tuyajenge mezani baada ya maelezo na vipimo kadhaa
  9. dr samg

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Asubuhi hii
  10. dr samg

    Barabara ya Njia 4 Kibaha - Morogoro itakuwa na Tozo

    Hapa misugusugu karibu na kiwanda cha sabuni nice one zaid ya km 2 toka main road nilikuwa najenga kakibanda kangu kule nimepigwa stop kujenga tuliambiwa kuna barabara ya "mwendo kasi" itapita labda ndio hii, dah wanipe pesa zangu nikaangalie ustaarabu mwingine dah
  11. dr samg

    Tatizo la Kujisikia Vibaya Safarini

    Ndugu zangu nunueni hata pikipiki mkimbie hizo adha ndogondogo, nakumbuka mwaka 2010 nili faint pale tabata relini kwenye daladala ya kwenda segerea, mida ya jioni nimetoka mbezi, nmegonga ugali wa maana nafika stendi ya zamani ya ubungo, daladala chache watu wengi, nikakomaa nayo hivyohivyo...
  12. dr samg

    Tatizo la Kujisikia Vibaya Safarini

    Ah mwenyewe sikuelewa, nikajua labda jockes zenu😄😄😄
  13. dr samg

    Tatizo la Kujisikia Vibaya Safarini

    +/- ila ukiwa na njaa hali inaweza kuwa mbaya zaidi mtu unakuwa na dalili ya hypoglycemia na hypotension yaan sukari na presha chini, wengi husweti sana, kupata uoni hafifu (bluired vision), kulegea nk, solution kubwa nunua baby walker yako iwe na a/c na wewe ndio uwe dereva, ukiwa una drive...
  14. dr samg

    Tatizo la Kujisikia Vibaya Safarini

    Wewe una motion sickness, cha msingi kabla ya safari njoo hospital tukuchome sindano ya metroclopamide pia tukupe vidonge vya kutumia kama safari yako ni zaidi ya masaa nane. Motion sickness ni vile reaction ya matumbo baada ya mtikisiko wengine huharisha pia
  15. dr samg

    Tatizo la Kujisikia Vibaya Safarini

    Nina tatizo kama lako, hii sio motion sickness kama mjumbe mmoja alivyosema hapo juu, hii hali hasa huchangiwa na uoga wa safari pia kuto kufanya safari mara kwa mara, solution ya kwanza uwe na usafiri wako mwenyewe yaani gari, ukishakuwa na gari jua utaliendesha daily safar fupi, za umbali wa...
  16. dr samg

    Barabara zipi zimewekwa lami zamani

    Barabara ya makambako hadi songea iliwekwa lami miaka ya 1980 mpka leo sehemu chache sana ndio zimefanyiwa repair, asilimia kubwa bado ni ile ile lami ya mwingereza, kwangu mimi ile ilikuwa ndio lami kongwe zaidi
  17. dr samg

    Tetesi: Mabadiliko ya Vifurushi yanakuja Tarehe 18.08.2022: Tutegemee unafuu au maumivu zaidi?

    Vodacom wanakupa 8mb/s tena kwenye 4G?😳😳😳 Sasa kwenye 2.5G yaani E itakuwaje si 0mb/s. Halotel napata hivi kwenye 3G na 4G, mara nyingi huwa siwashi kabisa 4G kwenye simu yangu, sababu speed ya 3G inanitosha kabisa, speed ya 4G inamaliza tu chaji! na 4G
Back
Top Bottom