Search results

  1. C

    Kuku aina ya Bukini

    Mama Timmy afadhali umenitoa kimaso maso kwa kusema wapo na kutoa sifa za kuku hao. Je, unawafahamu wafugaji wa kuku hao?
  2. C

    Kuku aina ya Bukini

    Wajameni hili ni jukwaa la ujasiriamali, mtu anapouliza au kutaka kufahamishwa jambo fulani ana maana yake. Sasa ukiona huna cha kusema afadhali kusoma na kujiondokea tu kuliko kuandika mambo yasiyoeleweka. Tunaulizia habari hizi na zile ili tufanye Ujasiriamali. Kuna watu wameeleza kuwa hakuna...
  3. C

    Kuku aina ya Bukini

    Nadhani kule Dar es Salaam Zoo kuku hao wapo, wanaitwa VINYOYA, ila wale jamaa hawawauzi bali ni wamewafuga kwa ajili ya kitoweo chao wenyewe. Na wwalisema waliletewa na watu wa mikoani (bila kuitaja).
  4. C

    Kuku aina ya Bukini

    Kwa wadau wote mliochangia mada yangu, kama mnavyoona hata mimi nimeonyesha mshangaowa kuwepo kwa kuku hao. kuku BUKINI na KUCHi wametajwa katika Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ya mwaka 2011/2012 na sijawahi kuwa na mawasiliano na watu wa Wizara hiyo. Pengine labda walimaanisha...
  5. C

    Kuku aina ya Bukini

    HELLO GREAT THINKERS! Huu mfugo ni mpya kabisa yaani hakuna waliokwishafuga au kuona waliofuga? Tuelimishane jamani
  6. C

    Kuku aina ya Bukini

    Habari wanajamvi Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimeona aina ya kuku ambayo sikupata kuisikia - BUKINI. Najua kuwa kuna BATA BUKINI kumbe sasa hata KUKU BUKINI wapo? Kwa wale wanaowafahamu kuku hao ningependa kujuzwa mambo yafuatayo:- Je, wanasifa gani? Umbile lao, uzazi wao (utagaji...
  7. C

    Mambo ya ndoa: Yawezekana naibiwa?

    Wakati mwingine tunaepuka kufanya maamuzi ya haraka bila kuwa na uhakika wa mambo. Uhakika ukiwepo hata mhusika atajilaumu mwenyewe tu
  8. C

    Mambo ya ndoa: Yawezekana naibiwa?

    Nimepata UJUMBE MURUA kuwa baadhi ya wanawake wanajichuklia kama wao wako sahihi kwa kila jambo na wanaume ndiyo wakosaji tu. Kwamba mke afanye visa halafu mume ajikaushe tu eti asiwe na wasi wasi. NAWE THANKS PIA KWA ELIMU YAKO
  9. C

    Mambo ya ndoa: Yawezekana naibiwa?

    Mkuu umetoa ushauri mzuri sana maana wengine utadhani wana mioyo ya chuma au labda hawana kabisa yaani ni kama mawe. Ni muhimu kujiridhisha na mambo kama ni kweli au la kabla ya kuchukua uamuzi wowote. THANKS BWANA
  10. C

    Mambo ya ndoa: Yawezekana naibiwa?

    Habari wanajamii Mwenzenu naleta hoja hii. Inanihusu mimi mwenyewe na simzungumzii mtu mwingine kama ilinavyofanywa na wengine. Nina mke na watoto, kwa muda mrefu tuliishi vizuri japo mikorogano midogo midogo haikukosa. Lakini mwaka huu mwenzangu kabadilika sana na nimeingiwa na hisia kuwa...
  11. C

    Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

    Uvivu huu utatumaliza walahi, mie niende kutanua miguu yangu kwa mtu kama vile najifungua aka? Halafu sehemu yenyewe ilivyo nyeti nikiambukizwa magonjwa kwa mikono na nyenzo zake je? Shauri yenu
  12. C

    mume na mke

    Mwanaume siku zote hapendi kuoneka mwenye makosa au kuonekana yuko chini,hata kama kosa amefanya yeye hutaka kuligeuza na kuwa la mwanamke,lakini ,mengine huchagizwa zaidi na tabia ya mtu binafsi pamoja na mazingira aliyokulia nayo. Wengine ni VICE VERSA, KINYUME CHAKE NDIYO HIVYO
  13. C

    mume na mke

    Afadhali umejisemea mwenyewe. Wanaume wakisema hivyo sauti zitapazwa sana kwamba ni unyanyapaa kumbe ni hali halisi
  14. C

    Unataka kumjua anayekuibia mumeo? Mbinu hizi zitakufaa!

    na ingekuwa au itakuwa vizuri ukiweka sifa au dalili za upande mwingine
  15. C

    Waliotegemea malipo ya uzeeni ujanani sasa tena basi! Ufafanuzi kutoka Mamlaka - SSRA

    Wenye ajira za mikataba mafao yao yatakuwaje mara mikataba inapoisha?
  16. C

    Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

    Basi tuwe na wabunge wasio na vyama
  17. C

    Hii penis vp!

    Mhhh MAMBO MENGINE SIJUI KAMA NI YA KUTAKA KUSHAURIWA
  18. C

    Wanaume acheni hii tabia

    nadhani kwa suala la mapenzi ama mwanamke au mwanamume anaweza kuwa mwongo kuingana na anachokitaka kwa mtu wa jinsia nyingine
  19. C

    Naombeni ushauri ndugu zangu!!

    Nadhani pamoja na kushauriwa, uamuzi wa mwisho utabaki mikononi mwako
Back
Top Bottom