Search results

  1. M

    USHAHIDI wa NYARAKA zinazomuhusu Zitto Zuber Kabwe

    Duh! Eti huyu ni msomi na ushahidi wake, mmh!
  2. M

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Duh! Kweli nimeamini shule ni muhimu,sasa huo ushahidi aliombwa lema ukowapi?
  3. M

    Samsung laptop mpya inauzwa

    Vp betri inakaa chaji masaa mangapi?
  4. M

    Samsung laptop mpya inauzwa

    Ikileta matatizo nitakupata wapi?
  5. M

    Live update: Simba SC va Azam FC

    Naona simba anakula nyasi pale!baada ya kukosa nyama
  6. M

    Live update: Simba SC va Azam FC

    Naona mda si mrefu simba ataanza kula nyasi
  7. M

    Wako wapi Mashujaa wa Uhuru wa Tanganyika?

    Tunashukuru sana mzee mohamed said kwa kututoa ukungu, mungu awarehemu wazee wetu mashujaa waliotangulia mbele ya haki
  8. M

    IPE MANENO PICHA YANGU JAMANi................

    Kwa kweli inatia huruma
  9. M

    Kanisa lingine lachomwa moto Vingunguti

    Itakuwa wenyewe kwa wenyewe wamedhurumiana sadaka
  10. M

    Hajj Live

    Ishaallah
  11. M

    Nalaani kumbukumbu ya kifo cha Mwl Nyerere,hatustahili hata kusogea kwenye kabuli lake

    The big show..umeongea ukweli mtupu..laanatullah nyerere
  12. M

    Libyan PM Ali Zeidan 'taken by armed men', freed!

    Tangu kanari gadaf auwawe hakuna nchi hapo
  13. M

    Shabiki wa Man U ajitundika baada ya kipigo cha 4-1

    Anazuga huyu wala hajajinyonga
  14. M

    Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    Mbona wameshaanza kukata tangu zamani,sababu ya kupandisha vifurushi bei wanasema kwa sababu ya kodi
  15. M

    Kilichotokea Kenya hata Tanzania kinaweza kutokea...tuchukue hatua!!!

    Tuache kiherehere kwa mambo yasiyotuhusu
  16. M

    Hatimaye redio imaani kurudi hewani

    Kuna watu wanatetemeka kwa kufunguliwa redio imaani
  17. M

    Hatimaye redio imaani kurudi hewani

    Hivi jamani nini maana ya udini?
  18. M

    Hatimaye redio imaani kurudi hewani

    Nachowapendea redio imani haisemi kitu bila ushahidi
  19. M

    Hatimaye redio imaani kurudi hewani

    Kile kituo chetu cha redio imaani a.k.a elimu bila mipaka au sauti ya waislamu, kinatagemea kurudi hewani tar.28 mwezi huu kwani ndiyo mwisho wa kifungo chake...hivyo waislamu wote na wapenzi wake wote tukae mkao wa kula kwa vipindi motomoto
Back
Top Bottom