Search results

  1. M

    Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

    Hata kama utakuwa tajiri kiasi gani huwezi kumtoa maskini kijijini kwako akawa tajiri. Na huwezi kuwa unawapa chakula kila siku.
  2. M

    Taarifa ya polisi na picha 7 za mganga wa kienyeji aliyekamatwa na kiganja cha binadamu kikivuja dam

    Mungu atunusuru! Inavyoonekana ni wazi pasi na shaka yeyote kuwa polisi walihusika kuua kwa mazingira yafuatayo, hawawezi kueleza kutueleza kuwa kiganja hicho kilikatwa ndipo wakapata taarifa kutoka kwa wasamaria wema! Ingekuwa hivyo kiganja hicho kisingekuwa bado kinavuja damu! Yaonekana wazi...
  3. M

    Disasters every 26th (What a date!)

    11964 hahahahaha!
  4. M

    Anayefahamu website za vyuo vya afya vya serikali!

    Nowdays mambo sio kama zamani ya kuomba anwani ya sanduku la posta! Just type jina la chuo kwenye search engine ya google then utapata kila kitu. Sio lazima kukariri web address.
  5. M

    Kodi ya Maendeleo(kichwa), Uzembe na Uzururaji...

    Mimi naunga na Shimwemwe na FJM kwa asilimia mia moja. Serikali ilipofuta kodi ya kichwa ili-introduce swala la VAT. Kwa haraka haraka serikali kupitia VAT inapata kodi kubwa kuliko ya kichwa. Kama kodi zingekuwa zinasimamiwa ipasavyo serikali inapata pesa nyingi sana. Issue ni kwamba kila mtu...
  6. M

    Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

    Sasa wamekubali vipi kuishi ndoa na zulmati wao?! Shida ni tamaa hapa!
  7. M

    Mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA Arusha: Watuhumiwa watoroka mahakamani mbele ya polisi!

    Ki ukweli polisi tushawazoea. Hii kauli waliozoea kutumia ya kutii sheria bila shuruti wanafika mahali na kujisahau kuwa hata wakifanya tukio gani mwisho wa siku wa kulaumiwa ni raia!
  8. M

    Unaushauri wowote kwa Dr Steven Ulimboka na kurudi Tanzania?

    Umeonae@Vicent. kuna ka uhuru fulani hivi wananchi wanamiss maanake hii haikubaliki wala kuingia masikioni mwa watu kuwa waliomtesa Dr wetu ni vibaka< hata mahakama haiwezi kuprove hilo.
  9. M

    Unaushauri wowote kwa Dr Steven Ulimboka na kurudi Tanzania?

    Homosapien na wewe unajitahidi kuja na mawazo ya kale! watanzania wote wangekuwa kama wewe Tanzania isingekuwepo. Yaani wewe unaangalia watanzania waliokufa wakati wa mgomo tu ila wanaokufa kutokana na ubovu wa huduma mbele ya madaktari huwaziii! hauna tofauti na wale wananchi wanaosema kwamba...
  10. M

    Rizmoko ahusika na sms za wabunge wa chadema

    Haaaaahahaha, swala la kukataa moja kwa moja sikubaliani nalo Mapaoz. Marando sio kwamba mi mtu ambaye kabobea sana kwenya mambo ya IT< so you might find kwamba alikuwa an refer an application lakini kutokanana kutokuwa na uelewa sana wa haya mambo akasema ni kifaa! Naamini kabisa kwamba yule...
  11. M

    Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

    Kwa kweli kama watafikia hatua ya kuunganisha matukio hivyo watakuwa wajanja. mchezo wote utakuwa umeishia hapo. nchi yetu imakuwa ya kisanii!
Back
Top Bottom