Search results

  1. D

    Kuna Wanyama wangapi hapa?

    Kuna wanyama sita 1.Sokwe 2.Tembo 3.Farasi 4.Mbwa 5.Panya
  2. D

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Hongera sana mkuu kwa kutuchambulia vzr na kutufanya tuelewe sehem nzuuuri ya kuwekeza
  3. D

    Fahamu utajiri uliopo kwenye uwekezaji wa dhamana za Serikali (Treasury Bills & Bonds)

    Ni mzuri saana ila wengi wetu hatuna uelewa mpana ktk hisa
  4. D

    Kweli mazoea mwanzo wa dharau

    Inaukwel kabisa!
  5. D

    new 1

    Karibu sana!
  6. D

    Dunia ya malimwengu

    Sasa akijiskia haja ndogo au kubwa cjui atafanyaje!
  7. D

    Utility bills ni kitu gani ?

    Usitume chochote, hao ni wezi tu!
  8. D

    Kwa lugha ya kwenu hii kitu munaitaje?

    Kikaango na mfuniko
  9. D

    Nisaidieni ndugu zangu

    Pole sana nzugu yetu! Lakini mi niseme tu kwamba, ili kulikabili na kulimaliza tatizo lolote basi ni kitafuta chanzo cha tatizo lenyewe kwanza
  10. D

    nimetoa cheka na kitime?.

    Duuuuuh hii kali
  11. D

    Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma

    Hata iweje tutayapata tu yaliyozungumzwaa
  12. D

    Huyu shoga angu kanichefua sana

    Mmmh, Bosi akiweza kumpatia pesa ya matibabu si ndo atakuwa amenunua mgodi!
  13. D

    Wamarekani wamshukia Hasheem Thabeet

    Kijana anapenda FM sterio/mchicha
  14. D

    Askofu wa Kanisa la Christian Assemblies of God jela miaka 32 kwa ujambazi

    Kiukweli tuwe makini sana na hizi tittle za makanisa Ikibidi kulichunguza kanisa litakaloanzishwa
  15. D

    Ushauri wa bure: Wabunge wanaotetea Serikali mbili wapewe ulinzi wa kutosha

    Kirkwall ulinzi unahitajika Lakini kwa nini mijadala uwepo katika baa? Ukizingati a hali ya ulevi matokeo yake ni vurugu tu
  16. D

    Naombeni ushauri

    We pia mblacklist, halafu skilizia...
Back
Top Bottom