Search results

  1. payroll

    Kesi ya rushwa dhidi ya Mbunge wa Bahi Mh. Baduweli leo Kisutu

    hivi hii ndio ile kesi aliyoomba rushwa halmashauri ya wilaya ya mkuranga? au ipi maana magamba wana rushwa nyingi nyingi.
  2. payroll

    Sebo makutano show: M4C CDM wamecopy na ku paste from Uganda.

    napata wasiwasi magamba wamenunua kipindi,, njaa kitu mbaya sana.
  3. payroll

    Sebo makutano show: M4C CDM wamecopy na ku paste from Uganda.

    nahisi kibali hana kaka ndio maana anajikomba kwa magamba
  4. payroll

    Sensa 2012: Yanayojiri

    Poleni sana ,ndio mambo ya dhaifu hayo
  5. payroll

    Sensa 2012: Yanayojiri

    inaonyesha jamaa hawakujipanga, walikurupuka na sensa yao.
  6. payroll

    Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

    naambiwa hapa kuwa mtu mwenye lugha za kuudhi kama wewe pengine anasumbuliwa na ugonjwa wa akili ambao kitaalam unaitwa “BIPOLAR DISORDER' Nashauri umuone daktari haraka.
  7. payroll

    Kauli ya Mh. Aden Rage dhidi ya Mh. Msigwa si ya kiungwana!

    nimesoma gazeti moja pendwa sana katika jamii limeandika kuhusu baadhi ya waheshimiwa kuingia bungeni wakiwa wamelewa mihadarati ,gongo, sigara kubwa na mirungi( wasomali huipenda sana) HEBU CHUNGUZENI PENGINE NI MMOJAWAPO WA WATUHUMIWA ,NA HII KAULI ALITOA AKIWA OUT OF SENSE
  8. payroll

    Exclusive interview with Mohammed Dewji

    dada fina nakuamini sana kwa kuuliza maswali magumu bia woga,nakuomba muulize na haya 1: je kwa kumbukumbu za katika biashara zake amewahi kupata ajali za moto mara ngapi? maana kumekuwa na mfulilizo ajali za moto katika maghala yake ya kuhifadhia bidhaa hali ambayo imekuwa ikihusishwa na...
  9. payroll

    Mdee naye amkana Zitto na Urais...

    zitto ana urafiki wa karibu sana na mhariri wa mwananchi DENIS MSAKI, na mara nyingi wameripotiwa na interijensia ya cdm wakikutana sinza ktk pub ya msaki iliyopo jirani na wanyama hotel.
  10. payroll

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni afungua shina la ccm 1 metre barabarani!!

    Habari za leo wakuu, nimepita pale mikocheni hospital opposite mchana huu , huwezi kuamini nimekuta shina la wakereketwa wa ccm lipo barabarani ndani ya mita moja kutoka ukingo wa barabata ya lami, kinyume na sheria ya barabara za manispaa na tanroad. nikachoka zaidi baada ya kugundua...
  11. payroll

    CCM inawatakia Ramadhani njema, kila la kheri!

    kaka haya ndio madhara ya akili ndogo kuongoza akili kubwa,,, nape hajui alitendalo mkuu
  12. payroll

    Mbunge wa CHADEMA ahukumiwa jela

    Mungu si wa nyinyiem tu
  13. payroll

    Simu - Wabunge Chadema wafanyiwa ujasusi, mtoto wa kigogo CCM ahusika

    hapo anakunywa nini hiyo? isije akawa anakunywa gongo bungeni maana ndio kinywaji cha kijiji anakotoka huko kwa kina mura
  14. payroll

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    mama porojo ni nyumba ndogo ya chemba nini?? umepataje kimemo ambacho kimefuliwa ndani ya shati?
  15. payroll

    Wafuatao wasirudi bungeni 2016...hawa ni hatari na janga kwa Taifa

    ni kweli mkuu ila hapo red ni mwigulu
  16. payroll

    Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

    dada usiwashangae magamba ndio kawaida ya kitu kikiwa karibu ya kufa,,, "kumbikumbi akikaribia kufa huotesha mabawa''
  17. payroll

    Nape: Marando futa kauli kuwa CCM tuna mashine ya kutunga SMS za kihuni...

    Atakuwa riziwani au february makamba
  18. payroll

    Mazishi ya mwandishi James Mwakisyala leo Pugu!

    Pumzika kwa amani!!
Back
Top Bottom