Search results

  1. Makoroboi

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Bbc: ukishindwa urais utafanya nini ? Lowasa: nina ngombe nyingi, naenda kuchunga. Very shallow
  2. Makoroboi

    Lowassa ni mtumwa wa Mungu kwa watanzania

    Mto post, hatumii akili, anatumia uchafu, Lowasa anatamaa ya madaraka, tu, na kulipiza visasi, haleti kitu chochote, amekufa ccm, Hakuleta mabadiliko, kama ccm haijaleta mabadiliko basi Lowasa hajaleta mabadiliko, coz ccm ni watu, Mungu hawezi kuwa na mtume mwenye tamaa ya madaraka, na walk...
  3. Makoroboi

    Hivi ni kwanini mabinti wanapenda sana wanaume waliosoma UDSM?

    Alitoa post hii akili hamuna kumkichwa,
  4. Makoroboi

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ntakula source wanascience hawajadhibitisha mambo hayo,
  5. Makoroboi

    Wakati sisi tunaadhimisha Idd Mubak watu 100 wauwawa Iraq!!

    Waislamu, nawashangaa sana, ukija za na bokoharam, alshabab, Islamic state,wamefanya majaji makubwa hapa duniani ya waislamu wenzao na wasio waislamu, kwa Imani ya kupata thawabu kutoka kwa Alla, kupata mabikira 60 peponi,huyo ni Mungu mnaemwabudu ni Mungu gani?, Hakuna chombo chochote cha...
  6. Makoroboi

    Kuishi na mwanaume mlevi ni mzigo

    Pombe si mbaya kama unakunywa kwa kiasi na unajielewa. Kuna tofauti kati ya mlevi na mnywaji, nakunywa lakin siwezi kosa kujielewa naendesha gari etc
  7. Makoroboi

    January Makamba acha mchezo huu mara moja

    Kwanza umenitumia kupost kitu kama hiki, mara ngapi umepata sms kutoka matanagazo ya biashara, kama sheria ya cyber crime, inakataza kumtumia ujumbe mtu usiemjua ni kosa basi tutafungwa wengi, wewe ni team wa mgombea mwingine, Janauary amekuomba hajakulazimisha, hajakutukana, kama hutaki achana...
  8. Makoroboi

    Natafuta Gari dogo IST, Toyota Allex, au Runx

    Mzungu wa marekani
  9. Makoroboi

    Natafuta Gari dogo IST, Toyota Allex, au Runx

    Lav4 old model, namba c. Mungu wamarekani anauza ten milliion' 0712195940
  10. Makoroboi

    Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

    Hakuna ukweli wowote kuhudumia thread hii, Mtu akifa amekufa hajui jambo lolote, hawezi kufanya chochote, tafadhali soma Mhubiri 9:5, 10 na 11.
  11. Makoroboi

    Nawapenda sana malaya

    Mbozi hakuna malaya? Acha kupost uongo,
  12. Makoroboi

    Wauza sura Mlimani City

    Unajuaje simu zao hazina, salio
  13. Makoroboi

    Nampenda mke wangu mtarajiwa (Picha)

    Alievaa njano balaa, usije Badili mind mkuu
  14. Makoroboi

    Zamani ilikuwa raha

    Zamani saa unarekebisha, kulingana na redio. Baada ya zile ngoma unasikiliza: ti, ti, ti, tiiiiiiiiiiiiiiii. Hi ni Redio Tanzania Dar es salaam
  15. Makoroboi

    Lowassa si muadilifu, ni wa kuogopwa kama ukoma

    Kudanganya watanzania eti, wanambembeleza achukue form ya uraisi, wakati tunamjua fika, halali usingizi kwa ajili ya urais-hastaili coz ni mdanganyifu
  16. Makoroboi

    Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Nchi zote za kiislam ni vurugu tu hakuna Amani, na mahakamani za kadhi zipo, angalia sudani, Somalia, Afghanistan etc, hiyo za mahakamani za kadhi zimeshindwa kusuluhishwa matatizo huko sembuse hapa BOngo, waislamu ndg zangu, concentrate Kwenye mambo ya kiuchumi, mate cha kuwasaidia wengine...
  17. Makoroboi

    Ni haki kumwabudu marehemu?

    Mhubiri 9:5 unasema mtu akifa hajji chochote, Hana kumbukumbu tena
  18. Makoroboi

    AIRTEL, VODA Mkome kudhalilisha dada zetu..!

    Word!!! Pesa ngumu sana aisee
  19. Makoroboi

    Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

    Duh!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom