Search results

  1. Mshangai

    Watu Wanapigana Vita Kulinda Ardhi yao Sisi Tunafukuza Wamasai Kuwapa Waarabu

    Nimetafakari na kutoa machozi. Wakati huko Mashariki ya kati vinapiganwa vita ambavyo ukichunguza kwa makini ni sababu ya kupigania ardhi yao kila mmoja akiamini ni urithi wao hivyo wako tayari kupoteza maisha lakini kulinda urithi huo, sisi huku kwetu tuna wafukuza Wamasai kutoka Loliondo na...
  2. Mshangai

    Silaha haramu ni zipi, mbona Polisi haitoi ufafanuzi?

    Haya ndio maelezo ambayo Polisi walipaswa kuyatoa kwa umma ili ieleweke vyema. Kwa hiyo kuchelewa KULIPIA LESENI YA MWAKA hakuifanyi silaha iwe haramu kiasi cha kutisha mtu kifungo cha miaka 15 au faini milioni 10. Mie namfahamu mtu yuko Ulaya masomoni miaka 2 na silaha yake halali na documents...
  3. Mshangai

    Silaha haramu ni zipi, mbona Polisi haitoi ufafanuzi?

    Boss kwa sheria ipi hiyo? Sheria imeweka loophole kuwa ukichelewa kulipa utalipa na 50% faini sasa iweje uweke nafasi hiyo kisheria kisha uikane kitamko? Hapo ndio mara nyingi tunapokwama, tunajiwekea sheria kusha tunashindwa kuzitafsiri na kushindwa kesi nyingi mahakamani. Kama wapo wanasheria...
  4. Mshangai

    Silaha haramu ni zipi, mbona Polisi haitoi ufafanuzi?

    Kuna tangazo linatangazwa sana kuwa Raia wasalimishe silaha zao wanazo miliki kabla ya 31 October 2023 la sivyo kutakuwa na msako na kushtakiwa ambapo adhabu ni faini milioni 10 au kifungo miaka 15 jela au vyote viwili. Tatizo msemaji wa Polisi hatoi ufafanuzi kwa kina; 1. Silaha haramu ni...
  5. Mshangai

    Jumaa Aweso umeponaje wakati Jiji la Mwanza tu linakushinda maji?

    Mwanzo nilidhani huwa unafanya mizaha, lakini kumbe uwezo wako ndio uko chini sana!
  6. Mshangai

    Jumaa Aweso umeponaje wakati Jiji la Mwanza tu linakushinda maji?

    Pengine huelewi hata miundo ya mamlaka za Maji za miji na majiji ndio maana unasema hivyo. Mwauwasa haiko chini ya Local Authority ndio maana hata mkurugenzi wake anateuliwa na waziri. Hivyo Jumaa Aweso hakwepi tatizo hili sugu
  7. Mshangai

    Jumaa Aweso umeponaje wakati Jiji la Mwanza tu linakushinda maji?

    Mabadiliko ya mawaziri na wengine kung'olewa yamekuja ghafla na kwa mshangao mkubwa. Lakini kwa wakazi wa jiji la Mwanza ndio wameshangazwa zaidi na kupona kwa Waziri wa Maji kijana alite jaa mbwembwe lakini utendaji ziro, Jumaa Aweso. Jiji hili lililo pembezoni mwa ziwa kubwa kabisa barani...
  8. Mshangai

    Ni aibu Jiji la Mwanza siku 7 bila maji na Ziwa Victoria bado halijakauka

    Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa maji? Nimetembelea hapa na kukuta baadhi ya maeneo mengi wakilalamikia hali hiyo na MWAUWASA wao...
  9. Mshangai

    Serikali ya Rais Samia Haiwathamini Wazee Wastaafu Kama ya Mwinyi Znz

    Hivi kweli inamaana kelele za wale wazee wastaafu vikongwe wanaolopwa directly kutoka Hazina hawazisikii huko madarakani au furaha yao ni taabu zao na vifo tuu? Mbona walao Mwinyi wa Zanzibar amewaona na kuwaongezea pension 100% hao wazee kupunguza makali ya taabu zao? Kweli Kanali wa JWTZ...
  10. Mshangai

    Wabunge wetu mnataka mpigwe na mayai viza ndio mjue mnatukosea?

    Hili jambo nilishuhudia nchi moja Ulaya na matukio hayo baadhi ya nchi Afrika yamekuwapo. Wananchi wamekuchagua (au wamewekewa) mwakilishi wao kuwasemea Bungeni, lakini badala ya kutimiza wajibu wako kwa waliokutuma unaenda kutumika kupitisha vitu ambavyo unajua kwa uwazi kabisa watu hawataki...
  11. Mshangai

    Guru la sheria, Halima Mdee na wenzie 18 wamelishinda baraza kuu la CHADEMA

    Hizo Bachelors na masters labda za ujinga.
  12. Mshangai

    For Political Survival, Halima Mdee na wenzake wahamie ACT Wazalendo

    Mahakamani wanaenda kupigania uanachama wao au ubunge? Nadhani ukiliangalia kwa makini swala kwa kina Halima wanahaki ya kupambania uanachama wao Chadema lakini ubunge hawana maana sio wa kuchaguliwa na wananchi bali wa kupendekezwa na chama(viti maalum) kwa ridhaa ya chama wakati chenyewe...
  13. Mshangai

    Uchaguzi 2020 CHADEMA mkimsimamisha Lissu najiunga na chama chenu

    Hao ni wagumu kukubali ukweli. Ona mpaka bosi wao anapagawa jukwaani utadhani anafika kileleni? Bado ndani ya siku hizi zilizobaki atapiga kelele "Nileteeni Lisuuu, nileteeni Lisuu" hadi watamnyang'anya mic wakijua tayari! (Ona hapo chini clip [emoji116][emoji116]) Wakati nafanya maamuzi haya...
  14. Mshangai

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Kama haupo Ulipojiandikisha hupigi kura hata za Rais?

    Naam, hilo ndio lilikuwa swala langu la msingi hapa. Mambo in electronic iweje tufanye utekelezaji manually?
  15. Mshangai

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Kama haupo Ulipojiandikisha hupigi kura hata za Rais?

    NEC watupatie elimu hii sawa sawa. Je, ni kweli kuwa bado nikiwa ndani ya Tanzania lakini nje ya kituo nilichojiandikisha siwezi kupiga kura ya Rais? Kuhusu ubunge hiyo ni sawa, lakini kura ya Urais inashindikana nini wakati mataifa mengine wameweza hadi kupigia nje ya nchi? Katika zama hizi...
  16. Mshangai

    Uchaguzi 2020 CHADEMA mkimsimamisha Lissu najiunga na chama chenu

    Nikiangalia mwenendo wa kampeni unavyo endelea kwa kweli sijutii maamuzi yangu. Kwanza nafurahishwa na jinsi Lissu anavyo mwaga Sera kwa ukweli na hadhi ya Presidential person tofauti na mgombea wa chama changu cha zamani asiyejua hata anataka kusema nini zaidi ya kuji contradict tuu...
  17. Mshangai

    Uchaguzi 2020 Ubunge Morogoro Mjini: Abood apitishwa kuwa Mgombea pekee. Wenzake wakosa vigezo

    Wasimamizi wa uchaguzi wengine wanatamaa sana ya kumuona malaika Israel kabla ya wakati walio pangiwa na Mungu
  18. Mshangai

    Uchaguzi 2020 Mgombea wa CCM "apigwa kipapai" akiwa Jukwaani. Point zayeyuka

    Unaniudhi Mshana Jr, sii iseme neno moja tukusikie? Jee ni kipapai au kitu kingine tuu katika kuweka mambo kwenye line? Maana green sio mchezo, 2015 mzee white hair nasikia walimfix hadi halikuwa anaogopa "kupumua" jukwaani, akijaribu tuu ngoma inatema na hali ya hewa inaharibika.
  19. Mshangai

    Uchaguzi 2020 Tusemezane: Uhalisia wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Acha uzoba wewe! Unaijua Hai au unaisikia tuu? Usibebwe na ushabiki wa kitoto wakati watu wanajadili kwa mapana
  20. Mshangai

    Uchaguzi 2020 Ombi: Tume ya Uchaguzi tunataka mdahalo wa Wagombea Urais

    Ni vema watokee waandaaji na wawaalike wagombea wote kisha kama yeye atagoma kuhudhuria kivyake na tutaelewa kwa nini
Back
Top Bottom