Raha ya Milele umpe ee bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie Apumke kwa Amani. Amina x 3
Adolph Simon Kivamwo wewe ni mavumbi na mavumbini utakwenda. kwa jina la baba nala mwana nala roho mtakatifu. AMINA Alikuwa rafiki yangu sana.Anazikwa wapi jamaani?
"Picha inaongea kila kitu, hapo Waziri wetu wa Fedha Waziri Mpango (CCM) alipokutana na Wabunge ktk nchi ya Uswidi, kilichonivutia klk vyote ni jinsi watu walivyo busy wakiwa na kalamu na karatasi na hii ni ktk pande zote mbili yaani viongozi wetu na Waswidi!
Picha kama hii zamani ilikuwa ni...
Wananchi wa Chemba kataeni hila za Nkamia na mawakala wake.Nilishuhudia fedha zikimwagwa wakati wa kura za maoni kutoka kwa chama cha kijani.Tujihadhari jamani,waungeni UKAWA!:blah::blah::blah::blah: nyingi za C.C.M
Mganjwa pole ndugu yangu. Na mimi ni mwana chemba,hebu nijuze CHADEMA tumeshinda vijiji gani na vitongoji vingapi? CUF ni ndugu zetu usiwe na wasiwasi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.