Search results

  1. I

    Mtihani wa kidato cha sita ni february 2013

    katika hali ya kuonesha wamegundua makosa yao,Baraza la mitihani ya taifa NECTA,wameondoa ratiba yao ya mwez mei na kurudisha ya mwez february katika mtandao wao
  2. I

    Kwa wale mliokosa mkopo na previous lonees soma hapa kutoka kwa mdodosaji...

    mbona kama idadi waliyotoa mwanzo ya watu watakaopewa mkopo ndo hii idadi ya majina haya yaliyotoka,au hiyo second and third allocation wanatoaje,naona kama unanipa moyo bure
  3. I

    Julio: Mimi ni mtu maarufu sana,sasa nagombea ukatibu mwenezi Dar

    Jamaa nimemuona mara mbili aliwahi kuja dodoma akiwa kocha wa simba iliyokuwa ikicheza na polisi dodoma.Matokeo yalikuwa ni sare.Baada ya mechi hiyo Julio alitukanana sana na watu waliokuwa wanashuka jukwaani.Kwa jinsi alivyokuwa anatukana matusi makubwa na mazito nilimdharau sana kutoka kipindi...
  4. I

    Binti wa kiiraq(mtoto wa kimbulu) kanishika msaada tafadhali

    daa kaka utajutia wewe,mwenzio nasema yashanipata tena juzi juzi tu,hawajui kukataa af wana sura ya kipole ukambiwa amefanya kitu kibaya unabisha mpaka misuli inakusimama.hawana lolote hao,sikujui ila nakuonea huruma sana
  5. I

    RPC Morogoro akana polisi kutumia risasi za moto

    Kuhusu mauji ya raia asiye na hatia askari wa morogoro si waadililifu wameanza kulalamikiwa toka kitambo
  6. I

    Kigaila, unataka jimbo gani?

    Kigaila huwa anagombea kwenye jimbo la kibakwe(kwa george simbachawene) kwa bahati mbaya wananchi wa kule elimu duni sana wanasema akihamia ccm wanampa ubunge.nadhani iko siku ataupata
  7. I

    Intelijensia ya Chadema inazidi kukidhoofisha chama

    Hoja hazina mashiko,mtu kupigia kura mbunge sio lazima ampigie na Rais wa chama hicho.kwa mfano hata kama ni mpinzani huwez kumnyima kura Dr mwakyembe,Magufuli nk lakini na bado kura za Rais ukapeleka upinzani.Watu wengi walifanya hivyo.Mimi ni mmojawapo
Back
Top Bottom