Search results

  1. M

    Mashaka Wa Takukuru Kiboko!!!

    TAIKUBWA Nakupongeza kaka, mambo ya TAKUKURU basi,Mrisho hoja imekufa labda utoe maelezo ya kina kuhusu LILIAN MASHAKA. Hosea na Lilian Mashaka ni kitu kimoja na kama ni kuondoka waondoke wote au Takukuru ivunjwe!!!!. Hoja imefungwa!
  2. M

    All about Edward Hosea, Mwanyika

    Wana JF ushauri wa Augustoons nauunga mkono, taarifa original ya Hosea ipatikane mapema. Tatizo ninaloona hivi sasa, itakuwa ni vigumu kupata habari kwa sasa kwa kuwa baadhi ya wana JF wametoa siri ya njia walizotumia kupata taarifa na data za TAKUKURU, ulinzi wa nyaraka utakuwa mkubwa...
  3. M

    All about Edward Hosea, Mwanyika

    Hoja ya sande kama ni ya kweli, MWAKYEMBE na kamati yake wanastahili kushtakiwa kama hakuna ushahidi wa rushwa na siyo HARUFU YA RUSHWA AU MAZINGIRA. La, itungwe itungwe sheria mpya ya kuzuia rushwa itakayotamka HARUFU ZA RUSHWA NA MZINGIRA YA RUSHWA! Naifagilia tume ya mwakyembe.
  4. M

    Hoseah na Richmond

    JF Mrishog na Mrisho Shabani ni mtu mmoja? ni kama vile Mrishog ameanzisha hoja mwenyewe halafu akaingia kama Mrisho Shabani kwa hoja iliyo kinyume na hoja aloanza nayo. Wametoa hoja nusu nusu lakini hawajatoa DATA zaidi kila wakiombwa hadi sasa...... tunaweza kuwa tumeingiliwa na mashushu...
Back
Top Bottom