Heshima yenu wanajamvi.
Naomba tafadhali mtu anayejua maneno ya wimbo wa
"Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge"
Sijui ulitungwa lini lakini ni wimbo unaojulikana sana. Nadhani ulitungwa na kikosi cha muziki cha Jeshi Pengine miaka ya mwisho ya sitini au mwanzo wa sabini.
Tulikuwa tunauimba sana JKT.
I Read an article written by Ms Ayana Hirsi Ali about her participation in the activities of the Brotherhood when she was a teenager in Kenya. I was surprised to learn that the Brotherhood is active and well in Kenya. Can our Kenyan friends on the blog give me more information about this. Ms Ali...
Hi Guys,
So No former African leader qualified for the Mo Ibrahim Money again this year. May be he should start to give it posthumously, he can get a couple of good presidents.
I have mixed feelings on the fact that the CITES has refused to allow Tanzania to sell stockpiles of ivory, saying that the source of the stockpiles is unknown. On one hand I feel bad whenever Tanzania fails to do anything, on the other hand, I feel Ok because I do not know how the proceeds of...
Salamu marafiki.
Nimekuwa nikisoma mabandiko kadhaa katika ukumbi. Nimeona kuwa kuna watu wana tabia ya kufupisha maneno kama kusikia basi nakadhalika kwa kueka herufi "c" badala ya herufi "s". Kitu kinachonishangaza utaona kuwa mtu anaadika bac akimaanisha kuwa ni kifupisho cha basi au...
Hasheem Thabeet Named to U.S. Basketball Writers Association's All-America Second Team
STORRS, Conn. (March 16, 2009) - Junior Hasheem Thabeet (Dar Es Salaam, Tanzania) was selected to the 2008-09 U.S. Basketball Writers Associations All-America Second Team as announced by the association...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.