Search results

  1. L

    Huyu wa Kulia ni Nani, Kaazi kweli kweli Jamani........

    Looks like former president mkapa
  2. L

    Ally kiba aongoza mauzo mkito !

    Kiba did not do music for three years. The videos that everybody is talking about are old and at per with the technology of that time.
  3. L

    Hivi mnazielewa nyimbo za Ally Kiba?

    Mi nadhani mtoa mada ana matatizo binafsi na Kiba. Kusema kuwa catalog nzima ya Kiba haikubali nadhani ana tatizo deep kuliko lilivyo hapo juu. Napenda Kiswahili na ninaupenda sana utunzi wa Kiba. Dushelele is about a guy who got his girl. analalami ka kuwa huyo mtu hakuona uchungu kumharibia...
  4. L

    Hivi mnazielewa nyimbo za Ally Kiba?

    Kama huelewi kiswahili nyimbo za Kiba zitakusumbua sana. Kiba anatunga very deep. Kimasomaso is a very common wedding song in swahili culture. Kiba amerudia wimbo wa Isaa Matona ambao unapendwa sana na watu wa mwambao. Huo ni wimbo mzuri.
  5. L

    Hivi sauti ya mwanaume nayo ni kigezo cha kupendwa na mwanamke?

    Jambo rafiki. Sauti ya Ali KIba anapoimba ni tofauti na anapoongea. Sauti yake ya kuongea ni kawaida tu kama ya watu wengine. Hata anapoimba siyo kila wimbo anaimba kwa ile sauti ya chorus ya msambinungwa au Dushelele. Sikiliza Mjanja wa jiji Raz Ft Ali Kiba.
  6. L

    Rais Kagame Kamteua Mtanzania kuwa waziri

    Watu wa Kagera huwa hawatumii Surname moja. Watoto wa baba mmoja huwa wana majina mbali mbali.
  7. L

    Leo ni siku ya Maandamano ,Wamalawi wanapinga utawala wa Rais Joyce Banda na Maisha magumu!!!

    Unaweza kumsema kuhusu ufanyaji wake kazi mbaya, lakini siyo haki kumwita changu doa ( nadhani maana yake ni malaya) sidhani kama una uhshahidi kuwa Mrs. Banda ni malaya, halafu, neno malaya limewarudisha nyuma akina mama kwa muda mrefu, linawakatisha tamaa na kufanya wawe waoga kuchangia...
  8. L

    Hivi nini kinawamaliza WASANII wetu wa BONGO MOVIE??

    Ni binaadamu kufa ni wajibu. Unafahamu vifo vyao kwa sababu vinatangazwa magazetini, lakini ukweli ni kuwa binaadamu huwa wanakufa.
  9. L

    Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    you forgot the Sinare Clan.
  10. L

    Tagg Romney: Father wanted to be president ‘less than anyone I’ve met’

    This is beyond insult. People select you to represent their ideas and fight for them to shape the country in a way they feel fit and you don't give a fair fight? If this was meant to say sizitaki zabibu mbichi,( sour grapes) it failed, instead it demonstrated lack of tact on the part of the...
  11. L

    Emergency landing

    yeah right,
  12. L

    MANGULA KUSHINDWA NEC WILAYAN: JE MGOMBEA mmoja u-mwenyekiti au makamu chair CCM ni JANGA au BARAKA?

    Hello its time CCM wanatambua walikotoka, safu ya Uongozi Kitaifa sasa hivi inadhihisha wazi kuwa Mwenyekiti Ndugu Jakaya ndiye yule tuliyemjua enzi hizo, halafu akayumbushwa na wala rushwa. Hongera mwenyekiti you are back to the real you! Baba Wa Tafia Mwalimu Nyerere huko aliko analala...
  13. L

    Askari waliomteka Ulimboka ni wazalendo wa kweli

    Hawana uzalendo wowote. Kama wewe ni askari umeambiwa kamuue mtu, jibu ni kuwa hapana kuuwa watu haimo kwenye maelekezo yangu ya kazi. Dr. Ulimboka, Kyala aikuupoka bho ngamu jako jikunsuma kyala ukuti akupokeghe.
  14. L

    Brg Gen Mwakanjuki afariki dunia

    Pole sana bwana Kibunango kwa kuondokewa na mzazi. Ni pigo kubwa sana kwa sababu yeye ndiye anayewaunga ninyi nyote. RIP the Bingwa. I think that is your nick name for him.
  15. L

    Hongera Asma Gharib Bilal

    njomba kwa kiswahili cha mkoani Lindi tunasema huyu mwanzishaji wa huu mjadala anang'ola. yaani anakebehi. Anataka uone kuwa huyu ni mtoto wa mwanasiasa maarufu huko Unguja hivyo inawezekana kuwa kapendelewa.
  16. L

    Hkmu

    What is going on at HKMU. Nasikia kuna Wanafunzi wamegoma kufanya mitihani. Kuna ajuaye yanayojiri.
  17. L

    Swagga za Shein..Dk Shein na Balozi wa Zambia nchini

    Hivi hiyo nguo ya balozi ni moja kati ya mavazi ya asili ya Zambia? Nimejitahidi sana kuvumilia kutouliza hili swali, toka juzi hii picha ilipoanza kuonekana kwenye mablog mbali mbali, lakini nimeshindwa imebidi leo niulize.
  18. L

    Who's the daddy and who's the mummy

    By surrogate mothers. Kinachotokea ni kuwa mbegu za kiume zinatolewa na mmoja wa hawa wanaume ( kwenye kisa cha D. Furnish na E. John walichanganya mbegu zao ili asijulikane nani amefanikiwa kutengeneza mtoto kati yao) Halafu wanatafuta yai la kike kisha kitu inachanganywa kwenye petri dish...
  19. L

    Ya G. Jonathan Nigeria na muongo mmoja wa uongozi

    Heshima kwako. Nillisikia hii jana kwenye NPR. Nilishtushwasana na pendekezo hilo maana nimelitafsiri kama vile Bwana Goodluck Jonathan anataka kuleta aina ya kukaa madarakani kwa muda mrefu amabayo itawaharibia wananchi nafasi ya kuchagua mtu mwingine kama wanaona yeye hafai ( au raisi aliye...
  20. L

    UDSM Chapel

    Yombo ni cafeteria "mpya" karibu na Hall six. Kama ulisoma in the seventies and huwezii kuifahamu. Nadhani ilikamilika 1982 au 83.
Back
Top Bottom