Search results

  1. N

    FAw Vs Shackman Truck

    Naomba ushauri kati ya FAW na shackman ipi gari nzuri katika biashara ya building materials kama kokoto mchanga n.k katika ubora na upatikanaji wa vifaa
  2. N

    FAw Vs Shackman Truck

    Habari .nataka kuchukua mkopo wa truck naomba ushauri kati ya FAw na schackman hipi ni gari nzuri katika uimara au ubora na upatikanaji wa spare,biashara ya mchanga,kokoto,na construction work kiujumla.
  3. N

    Sarafu mpya yatolewa leo na BOT

    Inasikitisha sana kwa kweli...sijui tunaelekea wapi...mwisho wa siku tunakuja kuambiwa uchumi umekua kwa asilimia 10.....wakati value of money is going down everyday....ukishika 10000 ...kama umeshika elfu 1000... this is very bad
  4. N

    How to process scholarship application forms

    Hata udsm kwa walio somea pale wanachukuliwa
  5. N

    Bima ya Afya

    Mm nikisikia kuna insurance company ambazo zinatoa hiyo huduma ya bima ya afya ....
  6. N

    How to process scholarship application forms

    Mbona mm nina G.P.A 3.0 ya udsm na nilifanikiwa kupata admission ya kusoma masterz mzumbe......
  7. N

    Nimepishana na NIDA

    Kimara maeneo gani mkuu ....
  8. N

    AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    Tafadhali weka ushahidi uhamiaji weka makini kutusikiliza sasa...u
  9. N

    AJIRA 200 zilizotolewa Uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

    Tunashukuru sana uhmiaji kwa kusikiliza kulio chetu sisi wananchi tunaomba mchakato wote urudiwe upya...upelelezi ukikamika....
  10. N

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Kama ww mtahalamu wa kiswahili katunge vitabu watu hata vya hadithi watu tusome ......hapa tunaitaji uchangie madat ....kwani nimetukana hapo...pa..mba..vu.
  11. N

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Ww ulichoona ni hicho tuu uoni mada changia mada ....umeelewa ujumbe wangu au la....ww ndio mjinga wa kufikiri changia mada kama uweguswa...
  12. N

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Kama mlijua mna ngugu zenu majumbani wana sifa mlitangaza kazi za nn....kuwapotezea watu muda tuu....achane usumbufu kaeni na ajira zenu.....
  13. N

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Kwa hiyo kama wana sifa mnataka ukoo wenu mzima wafanye kazi sehemu moja...eti kwa vile wanasifa ina maana wengine hawana sifa wenye sifa ni wao tuuu watanzania sio wapumbavu kiasi hicho...achani kutubuluza nyie binadamu...
  14. N

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Tunachotaka ni kujua mchakato ulivyokuwa kuwapa hao ndugu zao...ina maana wao ndio wako vizuri kuliko wengine...ni vigezo vipi walivitumia kuwapata ...there is something wrong somewhere ...and u know it......
  15. N

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Kwenye hili haiseee tunaomba maelezo....uhamiji
  16. N

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Una uhakika na uchozungumza unaweza ukakitolea maelezo ...
  17. N

    Aibu Kuu Uhamiaji: Uchakachuaji wa matokeo ya usaili wa nafasi za koplo na konstebo

    Vijana mpo...tuhamke sasa ....tushikamane serikali walisikie hili....tumechoka bwana...kunaitajika watu wenye usubutu.....tunaomba uhamiaji watupe maelezo wao si walikuja kwa mbwembwe.na.kuvunja record ya dunia kwenye usahili wakimanisha kwamba kila mtanzania halikua na haki ....
Back
Top Bottom