Search results

  1. J

    kwa nini Tunaoa/kuolewa?

    Ili kupunguza ugomvi kati ya mwana jamii na mwana jamii.
  2. J

    Nimepata Jack Daniel....

    duuu kweli hii ni kituko
  3. J

    Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao)

    Duu kazi tunayo watanzania, naona tunalazimishwa kuingia kwenye vita vya wenye navyo na maskini wakutupwa, sijui kwa sheria za kimataifa hii itaitwa nini, vita vya kikundi fula au kabila fulani inaitwa genocide. Sasa yetu itaitwaje???
  4. J

    Kwanini Zitto na Lowassa wanapotajwa kuhusu urais kelele zinakuwa nyingi?

    Sii kwamba wanaogopwa ila wanaushawishi mkubwa kwenye siasa, mipango yao ni kimya kimya na wanapoibuka huwa wanaibuka na point tuu. Pia wote ni wachapa kazi ingawa mmoja wana dai kwamba ni fisadi ila hamna ushahidi wowote au wa moja kwa moja mike ninawakubali asilimia 100. yeyote kati ya hawa...
  5. J

    Jamani ID zetu zinaficha mengi, khaa!

    Duu mie wote ambao ni marafiki zangu ndio walinishawishi niingie huwa sii mpenzi sana na mitandao ya kijamii hasa kuwa registered.
  6. J

    msaada tutani

    Hivi mjadala wa sheria ya mfuko wa hifadhi, kwamba mpaka umri wa kustaafu ulijadiliwa na bunge la ngapi
Back
Top Bottom