Search results

  1. steveslove

    Redio za Solar na Digital voice recorder

    Habari JF people, Nahitaji redio 20 za solar kwa ajili ya mradi vijijini pamoja na digital voice recorder. Ambae anajua kampuni au unadeal na hivi vitu please niambie. Kama utakuwa na contacts naomba unipe nikutafute. 20 kwa vyote its URGENT, ASANTENI
  2. steveslove

    Redio za Solar na Digital voice recorder

    Habari JF people, Nahitaji redio 20 za solar kwa ajili ya mradi vijijini pamoja na digital voice recorder. Ambae anajua kampuni au unadeal na hivi vitu please niambie. Kama utakuwa na contacts naomba unipe nikutafute. 20 kwa vyote its URGENT, ASANTENI
  3. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    Asanteni sana wote mliochangia mada hii kwa sasa mtoto ameanza kuongea na anaongeza baadhi ya vocabularies. Muhimbili wamesema hana tatizo lolote ila chakusikitisha sikupata huduma ya audiologist wala speech therapist. Inasikitisha kuona huduma hizi kwa sasa Tanzania hazipo. CCBRT ilikuwepo hii...
  4. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    mimi ni me co ke!! Kusikia anasikia vizuri sana hata ukinong'ona na pedetrician alisha mcheki kwenye swala lakusikia
  5. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    nimeenda ccbrt hii huduma kwa sasa haipo aliyekuwepo alishaacha kazi karudi kijijini kwao. Bado nashughulikia appointment ya waliopo muhimbili. So far anazidi kutamka baadhi ya maneno mapya ila huwezi kumwelewa vizuri
  6. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    nitaleta jibu mkuu
  7. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    asante sana sana nashkuru kwa ushauri wako
  8. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    mimi sijaajiriwa nimejiajiri so muda mwingi nipo home na mtoto I do talk to him, day care i think is the best idea
  9. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    he is a boy
  10. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    hadi miaka miwili kasoro
  11. steveslove

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ina madharara 1. Dhambi mbele za mungu 2. Hutaweza kuridhishwa na mwanaume 3. Kuacha ni ngumu kama mvuta sigara 4. Unaweza kuja kuwa lesbian
  12. steveslove

    Tupe uzoefu wa ndoa iliyovunjika ikakupa masikitiko sana

    ok, sijalazimisha lakini bt if saying that meant that way to u, sorry
  13. steveslove

    Tupe uzoefu wa ndoa iliyovunjika ikakupa masikitiko sana

    It seems ww unapenda kubishana na sio kuelewa, huu sio uvumilivu bali ni mtu kakosa msaada. Zingine zinavunjika coz mtu anaona anauwezo hawezi kuvumilia ujinga. Tunajua maisha ya ndoa c raha ila co na karaha, ni shida na matatizo ambayo yanamface kila mwanadamu. Na ndio maana hata kiapo cha ndoa...
  14. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    Asante kwa ushauri kama kumchanganya ni solution i think ni better nimpeleke shule kuliko kumpeleka mbali na mie kiukweli i cnt. I will take him to school instead naamini kama ni kumchanganya zaidi then school is the best, thanks :redface:
  15. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    kaka yake hawezi kuwaza fb he is 7 so bado wanacheza pamoja n they real play all the time, nje anakaa ila haongeagi anacheza bt he doesn't improve
  16. steveslove

    Tupe uzoefu wa ndoa iliyovunjika ikakupa masikitiko sana

    Uzoefu ni uzoefu tu lakini sio wa ndoa. Experience ni best teacher ila sio kwa mambo ya mahusiano hiyo muelewe, NDOA ni kitu kingine hakifananishwi na experience ya kitu chochote coz hata mitihani yake haifanani acheni kujifunga fikra uzoefu wa ndoa co wakazi
  17. steveslove

    Tupe uzoefu wa ndoa iliyovunjika ikakupa masikitiko sana

    Hivi unahabari kuna wanaodumu ila they v never bin happy na hawezi acha ndoa coz hajui pakwenda, hana pakuanzia na mila na desturi haruhusiwi kwenda kwao? hivi unajua kuna watu wako ndani ndoa tu coz hawa any options? Kukaa kwenye ndoa siku nyingi co eti kudumu kwa ubora hiyo uelewe. I believe...
  18. steveslove

    Mwanangu haongei vizuri

    Nina mtoto ana miaka mitatu sasa bado hajajua kuongea vizuri nishampeleka hospitali kwa uchunguzi hakuonekana na tatizo ila matamshi yake yananipa utata sana anapotaka kusema bye anasema tai, suprise anasema tataizii anapohitaji kitu hawezi sema anaonyesha ishara au anakuchukua mpaka kwenye...
  19. steveslove

    Tupe uzoefu wa ndoa iliyovunjika ikakupa masikitiko sana

    Ndoa ni ndoa tu iwe ya miaka 100 au ya siku moja so no formula kila ndoa ina mitihani yake wala hayafanani. Unaweza kupewa ushauri na mkongwe according to what he or she has experienced ukapply kwako ikabuma.
Back
Top Bottom