Search results

  1. N

    Elections 2010 Wasanii wa kizazi kipya wameitosa demokrasia nasi tuwatose

    Hao ni wakali tu wa muziki wao na "stage entertainment excellency". Mtu fulani akawagundua kwamba wanaweza wakasaidia kufanikisha uchaguzi, akawakodi. Sasa wapinzani (competitors) wakizidiwa mapigo nadhani inabidi wanyoshe mikono tu, na wajifunze tayari kwa ngwe nyingine. Ni kama vile mtu...
  2. N

    Elections 2010 Mbona ile link ya general election result ya jk imelala? No updates

    Mhuu-u-u! Au kuna ka-virus kameisimamisha. Hivi mbona matokeo mengine ambayo watu mbalimbali wameshayaandika humu JF, bado hayaonekani kwenye link hiyo? :yield: Please, bring the service back online.
  3. N

    Elections 2010 Matokeo ya Mbeya Mjini

    Nilikuwa natafuta matokeo, live, nikaenda <http://www.nec.go.tz/maps/>. Nikakuta matokeo ya mwaka 2005. Hivi kuna website, yoyote inayoonyesha matokeo ya nchi nzima, kadri yanavyozidi kumiminika, au ni Jamii Forums pekee. Nilidhani kutakuwa na statistics somewhere. Mhuu-u-u!
  4. N

    Kiswahili mtandaoni..

    I just read this thread. I was myself looking for such an individual who want to do this kind of stuff. I'm thrilled and ready to volunteer. Let us get in touch and make a team, if anybody else wants will join on the way. My contact: tntambala@online.nl
  5. N

    Mwana Siasa kama ThinkTank

    Je hatuoni umuhimu wa Kuwa na ThinkTank za aina mbalimbali nchini kote, au katika kila fani ya maisha yetu? ThinkTank hizo zingeweza kuiamusha au kuishtua serikali yoyote iliyoko madarakani, kama ikilala. Nina maana hasa ya kuamsha, siyo kuchapa kiboko. Nadhani wengi tutakubaliana kwamba...
  6. N

    Too few ThinkTanks in Tanzania

    RealTz77 na King of Kings, - Rwanda ni nchi ndogo, wakazi wake hawafikii wakazi wa Kigoma. Kama Kagame akipata matatizo leo, huwezi kujua wataelekea wapi. Kama tunataka kujilinganisha na Rwanda, basi inabidi tuwe na ThinkTanks kama 200 hivi. Huwezi kuwa na thinkTank iliyo Arusha, haina internet...
  7. N

    ThinkTank ya Sheria na Haki za raia

    Juma Kontena na Ngoshwe, Nashukuru sana kwa mchango wenu. Naona tunaelewana vizuri. Nimependekeza vilevile hilo pendekezo la Ngoswe kwamba inabidi kuwe na Think Tanks zinazogusa kila sehemu ya maisha. Angalieni hapa :<...
  8. N

    Too few ThinkTanks in Tanzania

    Umnhuu-u-u! :grouphug:
  9. N

    Matumizi ya Kiswahili katika Sayansi na Technolojia

    Hivi kuna kikundi chochote kinachotafiti, namna ya kuhakikisha Kiswahili kinakuwa lugha ya nguvu, katika kufanikisha EAC, conflict resolutions, biashara nk. Natumaini mkakati kama huo upo, vinginevyo itakuwa ni zile siasa za Chema chajiuza na kibaya chajitembeza, nadhani. Ukiangalia hata...
  10. N

    ThinkTank ya Sheria na Haki za raia

    Nina maana ya organizations ambazo haziko ndani ya serikali, na ambazo watu wake wamejitolea muhanga kuyatetea hayo wanayoamini. Organization kama hizo hazisubiri ziombwe na mtu, ndipo zianze kutafakari jambo fulani. Mifano michache hapa: Centre for Conflict Resolution : South Africa Centre...
  11. N

    Too few ThinkTanks in Tanzania

    Waungwana, Je itasaidia kuwa na ThinkTanks, angalau moja kwenye kila fani ya maisha yetu hapa nchini? Kuna riporti moja nimeisoma inayosema kwamba kuwepo kwa ThinkTanks kunachangia sana katika maendeleo ya nchi husika. Iko hapa...
  12. N

    Matumizi ya Kiswahili katika Sayansi na Technolojia

    Swahilian, Niko mbali kidogo na UDSM, nitaingia kwenye tovuti yao nione kama nitapata chochote. Nashukuru kusikia kwamba nakala zilizochapishwa zinapatikana. Basi nitatafuta mtu pale niwasiliane nao moja kwa moja.
  13. N

    ThinkTank ya Sheria na Haki za raia

    Wapenzi wa sheria, Napenda kujua kama kuna kikundi chochote nchini ambacho tunaweza kukiita ThinkTank katika mambo ya Sheria. Nadhani kuwepo kwa kikundi kama hicho kungesaidia sana katika mambo mengi. Yakiwemo - kutoa uchambuzi na ushauri wa maswala mbalimbali ya sheria, kwa serikali, NGOs na...
  14. N

    Wazo: Kampuni ya Wakulima na Wafugaji-JamiiForums

    Hatua hii mliyoichukua inatia moyo sana. Naona wenzetu memchoka kuendelea kuwa ma-NATO. You have every reason to be proud of your decision. Endeleeni kutumegea mtakapokuwa njiani. Nawatakia kila la heri, na naimani mtafanikiwa. Thadeo.
  15. N

    Matumizi ya Kiswahili katika Sayansi na Technolojia

    Waungwana, Nimekuwa nikitafuta kamusi ya kiswahili inayoweza kukidhi fani kama za Kompyuta, Internet na Telecommunication, bila mafanikio. Kama kuna mtu yeyote anafahamu ni juhudi gani zinafanyika ili kuhakikisha tunaweza kuwafundisha watoto wetu shule za msingi, mambo ya Information and...
Back
Top Bottom