Search results

  1. R

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Ile ni Hesabu ya kiwango cha juu na ndio maana ya kubeti ukigundua siri wala hutajuta kucheza hakuna cha laana wala nini kama uko fit jipange siku nikupe timu mbili na matokeo yake bureee kabisa utanishukuru mkeka ukitiki.
  2. R

    Chuki ya Yericko Nyerere dhidi ya Zitto Kabwe ni chuki yake binafsi na sio ya CHADEMA

    Uko sahihi kabisa huyu Yerico ndie aliwauza ukawa wakati wa uchaguzi 2015 kwa kuonyesha vituo vyote vya najumuishi ya kura , alichukuliwa na polisi ili kuwazuga wasioelewa kama anabisha aeleze siku ya uchaguzi alikuwa anafanya nini kwenye gari ya Kiongozi wa CCM landcruiser nyeupe GX old model...
  3. R

    Ikulu, Dar: Rais Magufuli azungumza na Wabunifu wa mitambo midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji ya mito

    Kwa dhati kabisa nimependa jinsi ambavyo Rais amekutana na wabunifu hawa, hii italeta hamasa kwa wabunifu wengine kufanya ubunifu wenye tija katika kufikia Tanzania ya viwanda. * Pongezi Mh Rais John Pombe Magufuli*
  4. R

    Critical analysis: High Court decision vs Attorney General notice of appeal (bob wangwe's case)

    Notice of Appeal *does not* operate as automatic stay of execution of decision of High Court in constitutional cases where act, decision or provision of law declared by High Court to be unconstitutional *”constitutes or involves continuous breach”* of provision of the constitution in issue...
  5. R

    Sarakasi za Vote 20 iliyopokea bilioni 978 ripoti ya CAG

    Bunge dhaifu ha ha ha ha hili ni bunge la kisiwa gani vile 🤣🤣 puetorico
  6. R

    RPC Arusha aliyetumbuliwa na Kangi Lugola anaendelea kuchapa kazi. Lugola nani bwana!

    Maana haiwezekani uwe mjinga kw kiasi kile katiba na taratibu hazijakupa mamlaka ya kuwatoa watu kwenye nafasi zako lakini kama ukilewa unawatoa tuu kwa maigizo tena unasema kihuni huyu nimemla kichwa du ajabu kabisa.
  7. R

    RPC Arusha aliyetumbuliwa na Kangi Lugola anaendelea kuchapa kazi. Lugola nani bwana!

    Huyo Lugola atakuwa alilewa pale Break point akaropoka
  8. R

    Naona Kula Mgahawani ni nafuu kuliko kupika kwa mtu mmoja

    Acha ubwege ww hivi nyanya za hiyo bei unapikia kw siku moja huo ni ufala na sifa za kijinga, hivi kweli hoho za bei hiyo tajwa unapika kwa siku moja labda kama akili yako ni ya pumbavu acha ujinga bana ww huna unalojua acha ufala
  9. R

    Je, mnakumbuka yale ya kamati ya Bunge iliyochunguza madini ya Tanzanite na taarifa ya kamati kukabidhiwa kwa Rasi bila Bunge kuijadili?

    Wakiambiwa dhaifu wananuna yaani hawa ni dhaifu dhaifu dhaifu kabisaa hamna kitu kuanzia supika na wenyewe
  10. R

    Hakuna wa kumtetea Assad, si serikalini si upinzani...

    Dada Dada Faiza ina maana hata msimamo wa Halima Mdee baada ya tamko la wito wa spika hujaona kwamba ameendelea kusimama katika kukubaliana na CAG?
  11. R

    Zitto Kabwe: Spika wa Bunge hana mamlaka kisheria kumwita CAG Kamati ya Maadili

    Hata juzi tulisema wakigombana huko sie tutatumia ugomvi wao kwa faida mie nina mafuta ya alizeti nataka kupeleka Dodoma siku ya kikao nikamuuzie CAG na watakao msinfikiza hebu acha kutoa ushauri atakao tunyima masilahi hapa ala
  12. R

    Kuhusu utaratibu: CAG ataitwa bungeni baada ya kupitishwa kwa azimio. Spika, wapi mlimjadili CAG kama bunge?

    Yaani hii ndio itakuwa akili sana nafikiri kuna haja ya kuanzisha mada humu ya ushauri kwa CAG asiende kuiona kamati halafu wafanye wanavyotaka wamzalilishe tuone ni kwa kiwango gani huu ujinga utaendelea nchi hii nadhani huyu supika anapelekwa pelekwa tuu yaani ni Dhaifu kabisa.
  13. R

    Kuhusu utaratibu: CAG ataitwa bungeni baada ya kupitishwa kwa azimio. Spika, wapi mlimjadili CAG kama bunge?

    We nae unapenda tu kujibu kabla ya kupitia comment Na alikatwa kwa sababu ya udhaifu wa hao hao wadhaifu wakiongozwa na masemaji ya hilo lichama linaloongoza hii gari ya 2015 to 2020
  14. R

    Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Endelea kupiga makofi nyie si kazi yenu kushangilia ndio maana mkiambiwa kikokotoo kipya ndio sawa mnapiga makofi mkiambiwa hakifai mnapiga makofi sarakasi na kuandamana kupongeza sasa na hili ni sawa tu kwako shangilia maamuzi ya Supika
  15. R

    Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    wataita watanzania wengi sana kwenye kamati ya madili ya kulinda udhaifu wao ni wadhaifu sana sana sana nasema ni dhaifu kabisa
  16. R

    Halima Mdee: Msimamo wangu kuhusu kauli ya CAG uko palepale, ninajua nitaadhibiwa na niko tayari

    Mbona ni dhaifu kabisa hata mie msimamo wangu ni pale pale yule anayesimamia hao wabwabwaji ni dhaifu zaidi namanisha kiongeleo cha redio ndio kubwa la dhaifu na hao wasikilizaji wenye kubishana ni dhaifu dhaifu kabisa mpaka basi sasa msiambiwe ukweli nyie kina nani.
  17. R

    Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?

    Asante Mkuu, naomba kujua kuna darasa maalumu la kujifunza haya mambo ili kuwa mwerevu, na je unaweza kunisaidia kupata darasa hilo? natanguliza shukurani.
  18. R

    Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

    Yaani mkuu hii point yako hata mie hua ina ifikirisha sana hivi Mungu huyu anaependa watu wake bado anakaa anaangalia tuu ujinga huu ufanywe kwa watu wake
  19. R

    Ni wakati gani wafu hufika kuzimu?

    Hivi Mkuu hizi tamaduni mila na desturi zikichanganya na Imani kuna ubaya wowote au kuna makosa maana kuna mambo bado inanipa shida sana kuelewa
  20. R

    Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

    Utasema umekutana na bwawa😂😂😂 simple kabisa kama hawatakuamini wawnde wenyewe
Back
Top Bottom