Mwambie pia..ule unafiki alioshiriki kuwafanyia watanzania bado hajatubu, bado anao muda kuutubu wananchi wamsamehe! asipofanya angali hai mwambie pale safari yake itaishia..
Kabla ya kuongelea mambo ya katiba. Swali alilopaswa kuulizwa Mabeyo kwanza ni kwa nini wananchi hawakujulishwa juu ya ugonjwa na wakati Rais anaumwa wanakuja kutangaziwa kifo?
Mbona kifo walitangaza, lkn wakati anaumwa hawakusema. Ingefaa wakae kimya hivyo hivyo waendelee na maziko na huo...
Swali alilopaswa kuulizwa Mabeyo kwanza ni..kwa nini wananchi hawakujulishwa juu ya ugonjwa na wakati Rais anaumwa wanakuja kutangaziwa kifo?
Mbona kifo walitangaza, lkn wakati anaumwa hawakusema..ni upumbavu kudhani unaweza kumfanyia timing aliyekupa uhai!
Kwa hiyo hii hospital ni bora zaid ya hospital za Jeshi ambako ndiko kunapaswa kuwepo huduma za kitabibu za juu zaidi kulingana na mahitaji..wanajeshi wanakwenda vitani na ni kundi kubwa wanahitaji huduma bora za kitatibu..nje ya kutibu viongozi wanapougua hii hospital ya mzena wanamtibu nani...
......"At his side, was his dear wife Madame Monica Geingos and his children.”
In 2013, Geingob underwent brain surgery, and in 2023 he underwent an aortic operation in neighbouring South Africa."
Hage Geingob, Namibia’s president, dies aged 82 after cancer treatment.
Watu wanaofikiri kama...
Mzee Yese angeweza kupinga wazo la Mzee Samweli la kumwita Daudi kutoka machungani kuhudhuria gwaride la utambuzi kumpata mrithi wa Sauli kwa kuweka mbele VIGEZO VYA KIBINADAMU..umri, uzoefu wa vita, umbo nk ambavyo kwa sasa ndio hiyo katiba mnayosema ilitaka kuvunjwa..nadhani wangekubali katiba...
Katiba inavunjwa kila mara na kuleta madhara makubwa kwa nchi..watu wasiofaa kuwa viongozi wanakuwa viongozi kupitia uchaguzi haramu unaovunja katiba ya nchi kwa kupata viongozi wasiostahili kuwa viongozi..kunapotokea nafas ya kiti cha urais ni nafasi pia ya kujisahihisha inawezekana hao...
Ujuaji si kosa kama unachojua ni sahihi na umekipata kwa juhudi zako binafsi..cheo, hadhi au Mali havimfanyi mtu kujua lolote kama yeye mwenyewe hana bidii ya kutaka kujua!
Hao vijana mnaowazungumzia kumshauri Rais aangalie kuwateua, hawapo hapa Tanzania..wapo wenye akili za kwenye makaratasi, walalamikaji wategemezi na wasaka fursa!
wewe ukiambiwa kula mavi ya mwanao utakula? magufuli ndiye alibeba masanduku ya kura? ok aliyeagiza hayo hayupo, aliyemweka gerezani Mbowe kwa mashitaka bandia yupo au hayupo! au uchaguzi peke yake ndio eneo la kutathmini ubaya na uzuri wa kiongozi..
Ukitathmini rafu za uchaguzi mkuu bila kuhusisha ujinga na upumbavu unaotokea kwenye mchakato wa kura za maoni za CCM jumuisho utakalotoa litakuwa ni bandia si halisi..na hivyo kusema Magufuli pekee ndiye aliharibu uchaguzi 2020 si kweli!
Akiwa Mwenyekiti wa ccm alileta mabadiliko muhimu ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.